Hovyo hovyo hovyo.

Hovyo hovyo hovyo.

Matatizo ya kuvuta bangi za Temeke hizo. kuna jamaa pale anauza sigara huwa anauza na bangi pia nilikwenda na msela wangu kununua kumaliza kuvuta nilijiona kama mchizi fulani. Mpaka leo sinunui bangi kama sikujui dadeki zake

Uzuri sijawahi na situmii kilevi chochote tangu nizaliwe n will never
 
Loooooh!......Afadhali, kwani nilifikiri ni Mh.tena ametukanwa huku kwenye mitandao!!!
 
Dalili za kubeba kijusi nenda kacheki kama ulicheza tumbo wazi bila jezi jiandae na majibu
 
Back
Top Bottom