ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji85] Basi hata dole gumba halipiti tena!!Kabla sijapata Ki-paimara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji85] Basi hata dole gumba halipiti tena!!Kabla sijapata Ki-paimara.
Siyo kwamba umepatwa?[emoji286] [emoji295] [emoji287]Habari!
Yani siku yaleo sijui najionaje nahisi niko hovyo hovyo tu yani hovyo hovyo tu . mpaka watu hawawaelewi mtu akisema hivi najibu tu ilimradi akisema vile sieleweki yani. Akifanya hivi kwa ajili yangu nachukia kweli fanya kile namvuruga Uliza hiki napinga Uliza kile majibu ni hovyo hovyo tu twende sehemu nimenuna nipewe hiki vurugu tu nipewe kile kero tu!
What's the problem with me?
Binafsi hata sijielewi yani.
Ninasoma theory, nikipractice nitakumbuka formular.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji85] Basi hata dole gumba halipiti tena!!
Practice sasa hivi, tunahitaji experience siku hizi, huajiriki bila '5+ yrs working experience'Ninasoma theory, nikipractice nitakumbuka formular.
Ni kweliWengine huwatokea hili kama wanakuwa hawajafanya yale mambo kwa muda mrefu...
😀😀😀Practice sasa hivi, tunahitaji experience siku hizi, huajiriki bila '5+ yrs working experience'
Itakuwa juzi kati ulifanywa, lakini hukukojozwa..[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hizi mood swings shauri yako!!Sikumbuki exactly date ila nikama juzikati hapa hahaha
Hapo nadhani unaelekea kupatwa na [emoji287] [emoji287] [emoji287] [emoji287] [emoji287] be carefullHahaha nimepatwa namwezi au jua??
Nice,na kama yaliyomo yamo itabidi ujidai kuwa huna kasoro yaani mayai yako yana rutubaNtakubaliana tu na majibu make hakuna namna
post zako zinaniachaga na furaha tele natamani nikuone tu plzAhaaa kumbe!
Kama vipi nijitolee, kwako najitolea kutoa ujuzi coz ......[emoji125] [emoji125]
Wewe ni kaka wa kupokea mahari.Kama vipi nijitolee, kwako najitolea kutoa ujuzi coz ......[emoji125] [emoji125]
Du hili neno sikunyingi sijalisikia, kumbe bado lipo?Mpe jamaa akudinye....!!