Hovyo hovyo hovyo.

Hovyo hovyo hovyo.

Habari!
Yani siku yaleo sijui najionaje nahisi niko hovyo hovyo tu yani hovyo hovyo tu . mpaka watu hawawaelewi mtu akisema hivi najibu tu ilimradi akisema vile sieleweki yani. Akifanya hivi kwa ajili yangu nachukia kweli fanya kile namvuruga Uliza hiki napinga Uliza kile majibu ni hovyo hovyo tu twende sehemu nimenuna nipewe hiki vurugu tu nipewe kile kero tu!
What's the problem with me?
Binafsi hata sijielewi yani.
Siyo kwamba umepatwa?[emoji286] [emoji295] [emoji287]
 
Sikumbuki exactly date ila nikama juzikati hapa hahaha
Itakuwa juzi kati ulifanywa, lakini hukukojozwa..[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hizi mood swings shauri yako!!
 
Back
Top Bottom