Hovyo hovyo hovyo.

Hovyo hovyo hovyo.

Nice,na kama yaliyomo yamo itabidi ujidai kuwa huna kasoro yaani mayai yako yana rutuba

Yeah mayai silii chips khakhaa nasio kila siku mtu anagonja mwamba some days kitu nyavuni sio! Itakua baraka kwetu
 
Matatizo ni pale kazi imekunogea na mkataba unakwisha, mazee, unageuka stalker😀😀
Usijali, wewe kubali tu kupata experience kupitia kwangu. Huku tukisubiri response ya mlokole, huwa nakuambia 'usihesabu vifaranga kabla ya kuanguliwa' we hunisikii
 
Au atafute a mandingo moja...hahaa.......impe what she has been missing

umewahi msikia Steve Harvey akisema every woman need four men'?
Nimeicheki hiyo video nimecheka sana , you made my day aisee Nyani Ngabu ....in fact nimeshashuhudia mara kadhaa wadada jinsi wanavyokuwa soo relieved wanapokua na mashoga. They really enjoy their kampaniz... asa afadhali hao wawili kibabu na gay man, mie nina mashaka na huyo ugly man..au how do you know kwamba wewe ndie mandingo wake!!
 
Umepewa ushauri na The Boss na Nyani Ngabu kuhusu wanaume aina 4, umemkataa mandingo, basi tafuta shoga akuongelesheee mpaka uchoke. Nadhani uta injoi...kuna siku tumekaa sehemu akaja jamaa kavaa kanzu ya grey, hakukaa pale ila akamuomba dada mmoja wakatoka pembeni, then alipoondoka yule dada akaanza kuhadithia wenzie pale eti yule kaka kaona aibu kukaa hapa kuna wanaume...amevaa chupi tu kwenye lile dela....watu tukageukiana mpaka kuna mmoja akasema aah ni shoga yule kaka....life goes on..na kwa style hii nadhani watajitokeza wengi sana.
 
Back
Top Bottom