Huenda hormones ziko out of whack leo.
Jipe kama siku mbili hivi uone hali inaendeleaje.
Au atafute a mandingo moja...hahaa.......impe what she has been missing
umewahi msikia Steve Harvey akisema every woman need four men'?
Habari!
Yani siku yaleo sijui najionaje nahisi niko hovyo hovyo tu yani hovyo hovyo tu . mpaka watu hawawaelewi mtu akisema hivi najibu tu ilimradi akisema vile sieleweki yani. Akifanya hivi kwa ajili yangu nachukia kweli fanya kile namvuruga Uliza hiki napinga Uliza kile majibu ni hovyo hovyo tu twende sehemu nimenuna nipewe hiki vurugu tu nipewe kile kero tu!
What's the problem with me?
Binafsi hata sijielewi yani.
ka mie tu; nmebet mikeka ka kumi hivi .....out of timu 15 kwa kila mkeka vijitimu vi tatu tu vmeninyima utajiri.........Habari!