Matatizo ya kuvuta bangi za Temeke hizo. kuna jamaa pale anauza sigara huwa anauza na bangi pia nilikwenda na msela wangu kununua kumaliza kuvuta nilijiona kama mchizi fulani. Mpaka leo sinunui bangi kama sikujui dadeki zake
Mandingo tena..!!!!!!!!!!!!!!?? Heh!!!!!!!?
Kwani ushawahi fanya matusi?Mhmhmhmhmmmmhhhhmmhhhm! Ngoja kwanza nihesabu siku ukute....
Kabla sijapata Ki-paimara.Mara ya mwisho kukojozwa ilikuwa lini??