Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Nasikia huwa nyegemshindo zinakujaga juu mkikikaribia kupatwa na [emoji287]I'm ready for that huhuuu!
Sitaki...Wewe ni kaka wa kupokea mahari.
Unanikana kaka?Sitaki...
Nataka ufanyie tempo kwangu, nitakupa na mkataba wa mwaka mmoja baada ya 'probation'.Unanikana kaka?
Matatizo ni pale kazi imekunogea na mkataba unakwisha, mazee, unageuka stalker😀😀Nataka ufanyie tempo kwangu, nitakupa na mkataba wa mwaka mmoja baada ya 'probation'.
Atukuzwe aliye juu..basi penzi lenu lidumu ili hata atakaepatikana afurahie uwepo wenuYeah mayai silii chips khakhaa nasio kila siku mtu anagonja mwamba some days kitu nyavuni sio! Itakua baraka kwetu
mmmmmm...mambo ya multiplication niniKabla sijapata Ki-paimara.
Usijali, wewe kubali tu kupata experience kupitia kwangu. Huku tukisubiri response ya mlokole, huwa nakuambia 'usihesabu vifaranga kabla ya kuanguliwa' we hunisikiiMatatizo ni pale kazi imekunogea na mkataba unakwisha, mazee, unageuka stalker😀😀
Nimeicheki hiyo video nimecheka sana , you made my day aisee Nyani Ngabu ....in fact nimeshashuhudia mara kadhaa wadada jinsi wanavyokuwa soo relieved wanapokua na mashoga. They really enjoy their kampaniz... asa afadhali hao wawili kibabu na gay man, mie nina mashaka na huyo ugly man..au how do you know kwamba wewe ndie mandingo wake!!Au atafute a mandingo moja...hahaa.......impe what she has been missing
umewahi msikia Steve Harvey akisema every woman need four men'?
Utajiskia fresh!Yanasaidia nini??
ahaaaaaaa upon jaman? mis uUna mimba....
kapime.....
hako ka avatar ndo wewe?
Ohooo! basi kumbe we fundi?Sana tu mbona
Kwahiyo......?Aisee!!!
Kabla sijapata Ki-paimara.