How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

I feel so good,kuna mwenyekiti wa kijiji chetu tumemfurusha baada ya kubainika na tuhuma za wizi,so nimemchinja jogoo hapa namkula pamoja na mama kijacho wangu Mallerina huku nikijiandaa kusimikwa uenyekiti mpya, raha iliyoje mwanawane?
Holoholo, hivi maisha yako huwa yanaboa kweli?
Wewe kila siku una tukio jipya, ni kweli Kahama ndiyo kumechangamka hivyo?
 
Binafsi siasa za Tanzania zimenipa msongo sana wa mawazo, usiku wa kumkia leo nimestuka saa nane hadi asubuhi nilikua nawaza siasa na yalio tokea na ripoti na hatma nk.

Ila kuna ndugu alisemaga ukiwa mfuatiliaji wa siasa za Tanzania kisha ukawa sawa kiakili basi hata jehanamu unaweza kuishi pasina shida.
 
1. Mimi na siasa hatuna ukaribu.. naonaga zinanivuruga tu
2. I focus on what I can control
3. Movie mpya ni 180 na Apex kwa Netflix
4. Sina picha ila emoj ya πŸ˜­πŸ™ vyatosha
5. Report ya viongozi wa Nchi kuhusiana na Oct29 πŸ™Œ
 
I feel so good,kuna mwenyekiti wa kijiji chetu tumemfurusha baada ya kubainika na tuhuma za wizi,so nimemchinja jogoo hapa namkula pamoja na mama kijacho wangu Mallerina huku nikijiandaa kusimikwa uenyekiti mpya, raha iliyoje mwanawane?
bia gani mkuu hiyo inayokupa steam huk ulp maana kimeshika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…