Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #41
Nakitafsiri kwa ufanisi wake feasibility study haiungi mkono ujenzi wa Uwanja wa kimataifa toka mwingine ulio umbali wa chini ya 200 km! Geita town ina watu wapatao 350,000 ni ndege zipi za kimataifa zitatua pale na kwa shughuli gani za maana?Unatumia kigezo gani kuita ufujaji wa fedha? Wewe kwako kiwanja cha kimataifa unakitafsiri vipi?
Geza Ulole,
..LOL.
..huyo jamaa aliyekuita Mkenya ndiyo kanishangaza.
..lakini tayari huyu bwana alilalamikiwa kwa kupendelea jimbo lake ktk mradi wa barabara wakati akiwa waziri wa ujenzi.
..pia alilalamikiwa kwa tabia yake ya kufanya kampeni za kisiasa huku akizutumia lugha za kikabila. This was way back in 2006 or 2007.
..kuna RED FLAGS ambazo tulizipuuzia. Hopefully atadhibitiwa maana anaweza kutufikisha tusipopataka.
NB:
.. MK254 kuja chukua Geza hii ni mtu ya kwenyu.
Nakitafsiri kwa ufanisi wake feasibility study haiungi mkono ujenzi wa Uwanja wa kimataifa toka mwingine ulio umbali wa chini ya 200km! Geita town ina watu wapatao 350,000 ni ndege zipi za kimataifa zitatua pale?
mpango gani huo? wapi ulipoandikwa acha kutetea nepotism kwa miradi ya gharama isiyo na tija Taifa! Peleka upuuzi wako huko...! Haikubaliki kinachofanyika! huwezi kulinganisha investment ya barabara na international airport hata siku moja! Rudi shule mzee! BTW huko kwa Kikwete unapoongelea kuna hospitali ya Kairuki pia ukiachia mbali investment ya barabara haiwezi hata siku moja kuwa compared na ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Kimataifa. We are talking of over $100 mln investment and yet not approved by Parliament of Tanzania! Hivi Geita ina Referral Hospital? angalia mikoa inayofanana na Geita inachofanya!Kama nilivyosema sielewi mfumo wa Serikali yetu unavyofanya kazi, inawezekana kabisa ndiyo mpango wao wa kwamba kila Kiongozi anafanyiwa mambo fulani kwao kwa maana wote ni hivyo hivyo ukienda Same huko kuna lami mpaka vijijini hata hazitumiki akina Msuya walijenga, kwanza Same mbali hapa hapa Dar ukienda Mbezi Beach Kilongawima lami imejengwa mpaka mlangoni kwa Mwamunyange (Mkuu wa Majeshi) kupitia nyumba pia ya aliyekuwa Mkuu wa Usalama Apson kabla ya hapo kulikuwa hakuna lami ukienda Sala sala (Kunduchi) lami imepigwa kuzungunguka karibia Sala sala yote mpaka mlangoni mwa Mboma ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi, ukienda Ada estate Migombani kote kumezungushwa lami kwa sababu ya nyumba ya Kikwete, ukienda Mikocheni kwa Mzee Mwinyi ile br. inyaozunguka nyumba yake imewekwa lami kwa ajili yake tu, na hayo yote yanatumia kodi zetu ambapo pia ungeweza kuhoji kwa nini wasijenge lami sehemu ambazo ni muhimu zaidi?
Hivyo hoja yangu imejikita kwenye fairness kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu kwa sababu uwanja wa ndege unajengwa Chato siyo kuwa fair kwake kwa maana viongozi wote wa Tanzania hufanya hivyo, hivyo kama ulitaka kuwa fair ungehoji uhalali wa kujengwa Uwanja wa ndege Chato na siyo kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu huku wengine kama Mlm.Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mawaziri Wakuu karibia wote walifanya hivyo hivyo lkn wao kuwaacha kwenye ulinganisho na Mobutu
Wewe u-msafi kiasi gani mpaka uwaite wezako shetani!?Yaani Tz kuna machiziii chizi kama wewe, je kuna uhusiano gani na JPM?? Yaani wewe nahisi siyo mtanzania, unatuonea wizu sisi watanzania kwa kupata rais muadilifu. Mungu akulaani kwa huu uchochezi shetani wewe
Udikiteta POA ukikomaa huzaa UDIKITETA KAMILI-Johnson Mbwambo (2016)....Muda si Mrefu Chato itakuwa Jiji.
Ni kikaango cha juu.fry over ndio nini?
mpango gani huo? wapi ulipoandikwa acha kutetea nepotism! peleka upuuzi wako! Haikubaliki kinachofanyika! huwezi kulinganisha investment ya barabara na international airport hata siku moja! Rudi shule mzee!
VP mkuj mbon unaquote Uzi mzima bwanaa?haya ni matokeo ya uwekezaji usio na tija maana Mobutu hakuondolewa kwa vita kali alikimbia na majumba yake yakabaki magofu! haiitaji vita Chato kuwa hivi! Ni michakato tu kama hii tunayoiona isiyo na tija kule Chato!
Mkuu Kwa kulinganisha maamuzi ya waliopita na mtukufu wetu kuna tofauti kubwa, wao waliinua miji yao not to that huge level ile kikawaida tu kuonekane kwa maana ila mtukufu kaenda mbali sana. Airport chato ya kazi gani wakati hakuna shughul inayofanya wananchi wakimbilie besides mwanza airport ipo. Angewekeza hiyo airport mtwara au lindi maana ndio miji inauwekezaji mkubwaKuna Kiongozi wa Tanzania ambaye hajawahi kujenga kwao ukiondoa Mkapa tena ambaye anachekwa na kulaumiwa na Watz hao hao kama wewe alipoenda kujenga Lushoto badala ya kwao Mtwara, hata hivyo Mkapa alijenga Daraja kwao lijulikanalo kama Daraja la Mkapa, alifufua Mtwara corridor ambapo lengo ni kuunganisha Bandari ya Mtwara na Ziwa Nyasa vile vile alijenga Daraja la umoja kuunganisha TZ (Mtwara) na Msumbiji kote huko ni kwao yeye Mkapa!
Mlm.Nyerere aliijenga kwao Butiama leo hii hata mtoto mdogo anajua Butiama ni nini na wapi ingawaje hakuna chochote huko isipokuwa ni kwamba ni mahali alipotoka Mlm.Nyerere hata Mkoa wa Mara haukuwepo wkt tunapata Uhuru lkn Ml.Nyerere aliuanzisha kwa sababu ni kwao achilia mbali Wakuu wote wa Majeshi TZ walitokea Mkoa wa Mlm.Nyerere Mara, ingawaje hiyo ni mada nyingine, akaja Mwinyi kwetu Pwani kulikuwa hakujulikani kwanza yote tulikuwa kama sehemu ya Mkoa wa Dar kwa kuwa Mwinyi kwao asilia ni Kisarawe akaanzisha hiyo Wilaya na kuunda rasmi Mkoa wa Pwani kuutenganisha na Dar leo hii Kisarawe imeendelea ni kwa sababu ya Mwinyi tu, akaja Kikwete hakuna aliyeijua Msoga na Chalinze ukiachia njia ya kuendea Mikoani lkn Kikwete (Serikali) aliwekeza Bagamoyo na Chalinze mambo mengi yalifanyika huko kama mradi mkubwa wa maji kwenda Chalinze, hata kulikuwa na mpango wa kujenga Airport mpya na kubwa ya Kimataifa Bagamoyo achilia mbali Bandari ya Bagamoyo na mambo mengine mengi tu, sasa kwa nini kwa raisi Magufuli ije kuwa nongwa na tayari mnamlinganisha na Mobutu kama siyo chuki binafsi ni nini?
Inawezekana kabisa labda ndiyo mfumo wetu na mpango wa Serikali yetu kwamba Kiongozi Mkuu wa nchi anakotoka kunapewa upendeleo fulani, kwa maana wote ni hivyo hivyo hata Monduli inajulikana tu na ilikuwa Wilaya kwa sababu ya Sokoine, Same imejengwa na kuunganishwa na Umeme na Br. kwa sababu ya Msuya kabla ya Msuya Same ilikuwa ni kijiji tu na vumbi tupu, Manyara na Hanan'g umekuwa tu Mkoa na Wilaya kwa kumegwa ktk Arusha kwa sababu tu ya Sumaye, yeye ndiye aliyefanikisha hilo kwa kuwa ni kwao, Katavi imekuwa tu Mkoa kwa sababu ya Pinda ambaye ni kwao, sasa kwanini iwe ishu kwa Magufuli kama kila Kiongozi kuanzia Nyerere wote walikupa kwao upendeleo maalumu? Kwa nini hamfananishi Mlm.Nyerere na Mobutu? kama siyo chuki binafsi dhidi ya Raisi Magufuli ni nini?
Mkuu Kwa kulinganisha maamuzi ya waliopita na mtukufu wetu kuna tofauti kubwa, wao waliinua miji yao not to that huge level ile kikawaida tu kuonekane kwa maana ila mtukufu kaenda mbali sana. Airport chato ya kazi gani wakati hakuna shughul inayofanya wananchi wakimbilie besides mwanza airport ipo. Angewekeza hiyo airport mtwara au lindi maana ndio miji inauwekezaji mkubwa
Chato.Kwani mnataka Rais aendeleze wapi?
Kwahiyo unaweza fananisha ujenzi wa uwanja wa Songwe na Chato? unajua una-bore vibaya mno! Uwanja wa Songwe hauna uwanja mwingine wowote wa kimataifa katika umbali wa kipenyo cha mzunguko cha km 200! Kitu kinachoufanya kuwa na manufaa na prospect nzuri sasa na hata hapo baadae! na maamuzi ya kuujenga yalifanywa na TAA bila ya shinikizo la kisiasa! Ule wa Chato Mwanza airport ipo umbali wa km 128 toka Chato! narudia hauna ulazima, Km 128 ni mahali pafupi sana kujenga viwanja viwili vya kimataifa!Kama nilivyosema siko upande wowote ule kwenye hili kwani siijui mipango ya Serikali ikoje na kwa nini wameamua kujenga Uwanja huko, kwani sijawahi kufika huko Chato na wala Mikoa ya huko siifahamu, nijuavyo mimi Serikali yetu hufanya mambo mengi tu na miradi mingi ambayo wengi huuliza maswali kwa mfano kuna waliolalamika kwa nini Uwanja wa Ndege umejengwa Songwe na siyo sehemu nyingine, sababu siijui kwa maana mimi siyo mtaalamu wa haya mambo lkn lazima wana sababu zao labda wameangalia miaka 20-40 ijayo, nahisi tu lkn sifahamu, kuna wengine walitaka kujenga Uwanja mwingine mkubwa Arusha City wkt kuna KIA tayari wengine walitaka Bagamoyo n.k!
Ila kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu kwa sababu wa maamuzi ya Serikali kujenga Uwanja wa ndege Chato siyo kutenda haki kwa maana hakuna Kiongozi wa TanZania ambaye fedha ya Serikali haijatumika kufanya miradi mikubwa mahali anapotoka hata Kikwete ukipita Chalinze Msoga kuna bypass inapita nyumbani kwake Kikwete, Nyerere alifanya hivyo hivyo hali kadhalika Mwinyi na Mkapa, na pmaoja na Mawaziri Wakuu wote kasoro labda Salim A. Salim lkn wengine wote walijengwa kwao kwa kutumia fedha zetu!
Hivyo hoja hapa inapaswa kuwa matumizi ya kodi zetu kwenye miradi ambayo haina manufaa kwa Taifa letu kwa ujumla wake lkn siyo kumuita Raisi Magufuli Mobutu hiki ndicho ninachokipinga kwani hii inaonyesha chuki binafsi tu dhidi ya Raisi Magufuli yeye kama binadamu sasa hii siyo fair!
Kwahiyo unaweza fananisha ujenzi wa uwanja wa Songwe na Chato? unajua una-bore vibaya mno! Uwanja wa Songwe hauna uwanja mwingine wowote wa kimataifa katika umbali wa kipenyo cha mzunguko cha km 200! Kitu kinachoufanya kuwa na manufaa na prospect nzuri sasa na hata hapo baadae! na maamuzi ya kuujenga yalifanywa na TAA bila ya shinikizo la kisiasa! Ule wa Chato Mwanza airport ipo umbali wa km 128 toka Chato! narudia hauna ulazima, Km 128 ni mahali pafupi sana kujenga viwanja viwili vya kimataifa!
Ila wee bibi unaboa sana. Una ushabiki uliopitiliza. Kwani huyo jpm alipata kura yako pekee? Mbona wengi walimpigia na kumpenda lakini haina maana kuwa kila afanyalo ni sahihi.Kama nilivyosema sielewi mfumo wa Serikali yetu unavyofanya kazi, inawezekana kabisa ndiyo mpango wao wa kwamba kila Kiongozi anafanyiwa mambo fulani kwao kwa maana wote ni hivyo hivyo ukienda Same huko kuna lami mpaka vijijini hata hazitumiki akina Msuya walijenga, kwanza Same mbali hapa hapa Dar ukienda Mbezi Beach Kilongawima lami imejengwa mpaka mlangoni kwa Mwamunyange (Mkuu wa Majeshi) kupitia nyumba pia ya aliyekuwa Mkuu wa Usalama Apson kabla ya hapo kulikuwa hakuna lami ukienda Sala sala (Kunduchi) lami imepigwa kuzungunguka karibia Sala sala yote mpaka mlangoni mwa Mboma ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi, ukienda Ada estate Migombani kote kumezungushwa lami kwa sababu ya nyumba ya Kikwete, ukienda Mikocheni kwa Mzee Mwinyi ile br. inyaozunguka nyumba yake imewekwa lami kwa ajili yake tu, na hayo yote yanatumia kodi zetu ambapo pia ungeweza kuhoji kwa nini wasijenge lami sehemu ambazo ni muhimu zaidi?
Hivyo hoja yangu imejikita kwenye fairness kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu kwa sababu uwanja wa ndege unajengwa Chato siyo kuwa fair kwake kwa maana viongozi wote wa Tanzania hufanya hivyo, hivyo kama ulitaka kuwa fair ungehoji uhalali wa kujengwa Uwanja wa ndege Chato na siyo kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu huku wengine kama Mlm.Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mawaziri Wakuu karibia wote walifanya hivyo hivyo lkn wao kuwaacha kwenye ulinganisho na Mobutu
Acha kutetea upumbavu wewe! Narudia, acha kutetea upumbavu! Kwa viongozi wengine wapi huko? Nyerere? Wapi? Unazungumzia Uwanja wa Ndege Musoma? Ina maana hufahamu kwamba Musoma ni Makao Makuu ya Mkoa? Unalinganisha vp Musoma na Chato?Kama nilivyosema siko upande wowote ule kwenye hili kwani siijui mipango ya Serikali ikoje na kwa nini wameamua kujenga Uwanja huko, kwani sijawahi kufika huko Chato na wala Mikoa ya huko siifahamu, nijuavyo mimi Serikali yetu hufanya mambo mengi tu na miradi mingi ambayo wengi huuliza maswali kwa mfano kuna waliolalamika kwa nini Uwanja wa Ndege umejengwa Songwe na siyo sehemu nyingine, sababu siijui kwa maana mimi siyo mtaalamu wa haya mambo lkn lazima wana sababu zao labda wameangalia miaka 20-40 ijayo, nahisi tu lkn sifahamu, kuna wengine walitaka kujenga Uwanja mwingine mkubwa Arusha City wkt kuna KIA tayari wengine walitaka Bagamoyo n.k!
Ila kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu kwa sababu wa maamuzi ya Serikali kujenga Uwanja wa ndege Chato siyo kutenda haki kwa maana hakuna Kiongozi wa TanZania ambaye fedha ya Serikali haijatumika kufanya miradi mikubwa mahali anapotoka hata Kikwete ukipita Chalinze Msoga kuna bypass inapita nyumbani kwake Kikwete, Nyerere alifanya hivyo hivyo hali kadhalika Mwinyi na Mkapa, na pmaoja na Mawaziri Wakuu wote kasoro labda Salim A. Salim lkn wengine wote walijengwa kwao kwa kutumia fedha zetu!
Hivyo hoja hapa inapaswa kuwa matumizi ya kodi zetu kwenye miradi ambayo haina manufaa kwa Taifa letu kwa ujumla wake lkn siyo kumuita Raisi Magufuli Mobutu hiki ndicho ninachokipinga kwani hii inaonyesha chuki binafsi tu dhidi ya Raisi Magufuli yeye kama binadamu sasa hii siyo fair!
Imenilazimu post yangu niliyomjibu nii-edit kwa ajili ya huyo mtu manake lazima ningekula ban tu! Na kimsingi I don't care about the distance between Mwanza and Chato; the whole investment isn't viable hata kama umbali kati ya Chato na Mwanza ingekuwa 1000 Kilometers! Huwezi kujenga international airport simply because huko ndiko anatoka rais! Mtwara to Masasi is almost 200 km lakini Mkapa hakujenga airport Masasi wakati am very sure Masasi (mjini) ni kubwa na very busy kuliko Chato (mjini) kwa zaidi ya mara 3 kama sio 5 kabisa! Umeizungumzia Mtwara na Lindi; pale Lindi leo hii hata ukiweka International Airport ni understandable hata kama kwa sasa haiwezi kuwa viable investment but forecast inaoenesha within 10 years Lindi and/or Mtwara will be economically potential areas!Kwahiyo unaweza fananisha ujenzi wa uwanja wa Songwe na Chato? unajua una-bore vibaya mno! Uwanja wa Songwe hauna uwanja mwingine wowote wa kimataifa katika umbali wa kipenyo cha mzunguko cha km 200! Kitu kinachoufanya kuwa na manufaa na prospect nzuri sasa na hata hapo baadae! na maamuzi ya kuujenga yalifanywa na TAA bila ya shinikizo la kisiasa! Ule wa Chato Mwanza airport ipo umbali wa km 128 toka Chato! narudia hauna ulazima, Km 128 ni mahali pafupi sana kujenga viwanja viwili vya kimataifa!