How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

Unatumia kigezo gani kuita ufujaji wa fedha? Wewe kwako kiwanja cha kimataifa unakitafsiri vipi?
Nakitafsiri kwa ufanisi wake feasibility study haiungi mkono ujenzi wa Uwanja wa kimataifa toka mwingine ulio umbali wa chini ya 200 km! Geita town ina watu wapatao 350,000 ni ndege zipi za kimataifa zitatua pale na kwa shughuli gani za maana?
 
Geza Ulole,

..LOL.

..huyo jamaa aliyekuita Mkenya ndiyo kanishangaza.

..lakini tayari huyu bwana alilalamikiwa kwa kupendelea jimbo lake ktk mradi wa barabara wakati akiwa waziri wa ujenzi.

..pia alilalamikiwa kwa tabia yake ya kufanya kampeni za kisiasa huku akizutumia lugha za kikabila. This was way back in 2006 or 2007.

..kuna RED FLAGS ambazo tulizipuuzia. Hopefully atadhibitiwa maana anaweza kutufikisha tusipopataka.

NB:

.. MK254 kuja chukua Geza hii ni mtu ya kwenyu.

JokaKuu huku wapi ulikoniita, hehehe!! Haya napita kimya maana du, bado mtaisoma. Halafu naona makada hawakawii kutiririka huku wakitetea. Vipi ungemwita kada MOTOCHINI naye aje atoe tamko.
 
huu ni unyonyaji. na huu mfumo wa mikoa unaruhusu sana unyonyaji. dawa ni kuwa na mfumo wa majimbo au counties kama Kenya.
 
Nakitafsiri kwa ufanisi wake feasibility study haiungi mkono ujenzi wa Uwanja wa kimataifa toka mwingine ulio umbali wa chini ya 200km! Geita town ina watu wapatao 350,000 ni ndege zipi za kimataifa zitatua pale?

Kama nilivyosema sielewi mfumo wa Serikali yetu unavyofanya kazi, inawezekana kabisa ndiyo mpango wao wa kwamba kila Kiongozi anafanyiwa mambo fulani kwao kwa maana wote ni hivyo hivyo ukienda Same huko kuna lami mpaka vijijini hata hazitumiki akina Msuya walijenga, kwanza Same mbali hapa hapa Dar ukienda Mbezi Beach Kilongawima lami imejengwa mpaka mlangoni kwa Mwamunyange (Mkuu wa Majeshi) kupitia nyumba pia ya aliyekuwa Mkuu wa Usalama Apson kabla ya hapo kulikuwa hakuna lami ukienda Sala sala (Kunduchi) lami imepigwa kuzungunguka karibia Sala sala yote mpaka mlangoni mwa Mboma ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi, ukienda Ada estate Migombani kote kumezungushwa lami kwa sababu ya nyumba ya Kikwete, ukienda Mikocheni kwa Mzee Mwinyi ile br. inyaozunguka nyumba yake imewekwa lami kwa ajili yake tu, na hayo yote yanatumia kodi zetu ambapo pia ungeweza kuhoji kwa nini wasijenge lami sehemu ambazo ni muhimu zaidi?

Hivyo hoja yangu imejikita kwenye fairness kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu kwa sababu uwanja wa ndege unajengwa Chato siyo kuwa fair kwake kwa maana viongozi wote wa Tanzania hufanya hivyo, hivyo kama ulitaka kuwa fair ungehoji uhalali wa kujengwa Uwanja wa ndege Chato na siyo kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu huku wengine kama Mlm.Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mawaziri Wakuu karibia wote walifanya hivyo hivyo lkn wao kuwaacha kwenye ulinganisho na Mobutu
 
mpango gani huo? wapi ulipoandikwa acha kutetea nepotism kwa miradi ya gharama isiyo na tija Taifa! Peleka upuuzi wako huko...! Haikubaliki kinachofanyika! huwezi kulinganisha investment ya barabara na international airport hata siku moja! Rudi shule mzee! BTW huko kwa Kikwete unapoongelea kuna hospitali ya Kairuki pia ukiachia mbali investment ya barabara haiwezi hata siku moja kuwa compared na ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Kimataifa. We are talking of over $100 mln investment and yet not approved by Parliament of Tanzania! Hivi Geita ina Referral Hospital? angalia mikoa inayofanana na Geita inachofanya!

Yaani Tz kuna machiziii chizi kama wewe, je kuna uhusiano gani na JPM?? Yaani wewe nahisi siyo mtanzania, unatuonea wizu sisi watanzania kwa kupata rais muadilifu. Mungu akulaani kwa huu uchochezi shetani wewe
Wewe u-msafi kiasi gani mpaka uwaite wezako shetani!?
 
mpango gani huo? wapi ulipoandikwa acha kutetea nepotism! peleka upuuzi wako! Haikubaliki kinachofanyika! huwezi kulinganisha investment ya barabara na international airport hata siku moja! Rudi shule mzee!

Sasa hapa nepotism inaingiaje? Kuna uhusiano gani kati ya Uwanja wa ndege na nepotism? Ninachokwambia ni kwamba jaribu kuwa fair kama ukipenda na kuhoji mantiki ya ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato na siyo kumlinganisha raisi Magufuli na Mobutu hivi ni vitu viwili tofauti yaani mantiki ya kujenga uwanja Chato badala ya sijui Geita na kumlinganisha Raisi Magufuli na Mobutu, kwani hakuna jipya linalofanyika ambalo halijafanywa na Viongozi wote wa TZ waliopita kama swala ni kujenga au kutumia fedha zetu za kodi kuwekeza kwao kwenye mambo ambayo hayana faida kwa TZ yote ukilinganisha na maeneo mengine!
 
haya ni matokeo ya uwekezaji usio na tija maana Mobutu hakuondolewa kwa vita kali alikimbia na majumba yake yakabaki magofu! haiitaji vita Chato kuwa hivi! Ni michakato tu kama hii tunayoiona isiyo na tija kule Chato!
VP mkuj mbon unaquote Uzi mzima bwanaa?
 
Kuna Kiongozi wa Tanzania ambaye hajawahi kujenga kwao ukiondoa Mkapa tena ambaye anachekwa na kulaumiwa na Watz hao hao kama wewe alipoenda kujenga Lushoto badala ya kwao Mtwara, hata hivyo Mkapa alijenga Daraja kwao lijulikanalo kama Daraja la Mkapa, alifufua Mtwara corridor ambapo lengo ni kuunganisha Bandari ya Mtwara na Ziwa Nyasa vile vile alijenga Daraja la umoja kuunganisha TZ (Mtwara) na Msumbiji kote huko ni kwao yeye Mkapa!

Mlm.Nyerere aliijenga kwao Butiama leo hii hata mtoto mdogo anajua Butiama ni nini na wapi ingawaje hakuna chochote huko isipokuwa ni kwamba ni mahali alipotoka Mlm.Nyerere hata Mkoa wa Mara haukuwepo wkt tunapata Uhuru lkn Ml.Nyerere aliuanzisha kwa sababu ni kwao achilia mbali Wakuu wote wa Majeshi TZ walitokea Mkoa wa Mlm.Nyerere Mara, ingawaje hiyo ni mada nyingine, akaja Mwinyi kwetu Pwani kulikuwa hakujulikani kwanza yote tulikuwa kama sehemu ya Mkoa wa Dar kwa kuwa Mwinyi kwao asilia ni Kisarawe akaanzisha hiyo Wilaya na kuunda rasmi Mkoa wa Pwani kuutenganisha na Dar leo hii Kisarawe imeendelea ni kwa sababu ya Mwinyi tu, akaja Kikwete hakuna aliyeijua Msoga na Chalinze ukiachia njia ya kuendea Mikoani lkn Kikwete (Serikali) aliwekeza Bagamoyo na Chalinze mambo mengi yalifanyika huko kama mradi mkubwa wa maji kwenda Chalinze, hata kulikuwa na mpango wa kujenga Airport mpya na kubwa ya Kimataifa Bagamoyo achilia mbali Bandari ya Bagamoyo na mambo mengine mengi tu, sasa kwa nini kwa raisi Magufuli ije kuwa nongwa na tayari mnamlinganisha na Mobutu kama siyo chuki binafsi ni nini?

Inawezekana kabisa labda ndiyo mfumo wetu na mpango wa Serikali yetu kwamba Kiongozi Mkuu wa nchi anakotoka kunapewa upendeleo fulani, kwa maana wote ni hivyo hivyo hata Monduli inajulikana tu na ilikuwa Wilaya kwa sababu ya Sokoine, Same imejengwa na kuunganishwa na Umeme na Br. kwa sababu ya Msuya kabla ya Msuya Same ilikuwa ni kijiji tu na vumbi tupu, Manyara na Hanan'g umekuwa tu Mkoa na Wilaya kwa kumegwa ktk Arusha kwa sababu tu ya Sumaye, yeye ndiye aliyefanikisha hilo kwa kuwa ni kwao, Katavi imekuwa tu Mkoa kwa sababu ya Pinda ambaye ni kwao, sasa kwanini iwe ishu kwa Magufuli kama kila Kiongozi kuanzia Nyerere wote walikupa kwao upendeleo maalumu? Kwa nini hamfananishi Mlm.Nyerere na Mobutu? kama siyo chuki binafsi dhidi ya Raisi Magufuli ni nini?
Mkuu Kwa kulinganisha maamuzi ya waliopita na mtukufu wetu kuna tofauti kubwa, wao waliinua miji yao not to that huge level ile kikawaida tu kuonekane kwa maana ila mtukufu kaenda mbali sana. Airport chato ya kazi gani wakati hakuna shughul inayofanya wananchi wakimbilie besides mwanza airport ipo. Angewekeza hiyo airport mtwara au lindi maana ndio miji inauwekezaji mkubwa
 
Kama nilivyosema siko upande wowote ule kwenye hili kwani siijui mipango ya Serikali ikoje na kwa nini wameamua kujenga Uwanja huko, kwani sijawahi kufika huko Chato na wala Mikoa ya huko siifahamu, nijuavyo mimi Serikali yetu hufanya mambo mengi tu na miradi mingi ambayo wengi huuliza maswali kwa mfano kuna waliolalamika kwa nini Uwanja wa Ndege umejengwa Songwe na siyo sehemu nyingine, sababu siijui kwa maana mimi siyo mtaalamu wa haya mambo lkn lazima wana sababu zao labda wameangalia miaka 20-40 ijayo, nahisi tu lkn sifahamu, kuna wengine walitaka kujenga Uwanja mwingine mkubwa Arusha City wkt kuna KIA tayari wengine walitaka Bagamoyo n.k!

Ila kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu kwa sababu wa maamuzi ya Serikali kujenga Uwanja wa ndege Chato siyo kutenda haki kwa maana hakuna Kiongozi wa TanZania ambaye fedha ya Serikali haijatumika kufanya miradi mikubwa mahali anapotoka hata Kikwete ukipita Chalinze Msoga kuna bypass inapita nyumbani kwake Kikwete, Nyerere alifanya hivyo hivyo hali kadhalika Mwinyi na Mkapa, na pmaoja na Mawaziri Wakuu wote kasoro labda Salim A. Salim lkn wengine wote walijengwa kwao kwa kutumia fedha zetu!
Hivyo hoja hapa inapaswa kuwa matumizi ya kodi zetu kwenye miradi ambayo haina manufaa kwa Taifa letu kwa ujumla wake lkn siyo kumuita Raisi Magufuli Mobutu hiki ndicho ninachokipinga kwani hii inaonyesha chuki binafsi tu dhidi ya Raisi Magufuli yeye kama binadamu sasa hii siyo fair!
 
Kwahiyo unaweza fananisha ujenzi wa uwanja wa Songwe na Chato? unajua una-bore vibaya mno! Uwanja wa Songwe hauna uwanja mwingine wowote wa kimataifa katika umbali wa kipenyo cha mzunguko cha km 200! Kitu kinachoufanya kuwa na manufaa na prospect nzuri sasa na hata hapo baadae! na maamuzi ya kuujenga yalifanywa na TAA bila ya shinikizo la kisiasa! Ule wa Chato Mwanza airport ipo umbali wa km 128 toka Chato! narudia hauna ulazima, Km 128 ni mahali pafupi sana kujenga viwanja viwili vya kimataifa!
 
Wewe naona una ishu zako binafsi!
 
Kama nilivyosema sielewi mfumo wa Serikali yetu unavyofanya kazi, inawezekana kabisa ndiyo mpango wao wa kwamba kila Kiongozi anafanyiwa mambo fulani kwao kwa maana wote ni hivyo hivyo ukienda Same huko kuna lami mpaka vijijini hata hazitumiki akina Msuya walijenga, kwanza Same mbali hapa hapa Dar ukienda Mbezi Beach Kilongawima lami imejengwa mpaka mlangoni kwa Mwamunyange (Mkuu wa Majeshi) kupitia nyumba pia ya aliyekuwa Mkuu wa Usalama Apson kabla ya hapo kulikuwa hakuna lami ukienda Sala sala (Kunduchi) lami imepigwa kuzungunguka karibia Sala sala yote mpaka mlangoni mwa Mboma ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi, ukienda Ada estate Migombani kote kumezungushwa lami kwa sababu ya nyumba ya Kikwete, ukienda Mikocheni kwa Mzee Mwinyi ile br. inyaozunguka nyumba yake imewekwa lami kwa ajili yake tu, na hayo yote yanatumia kodi zetu ambapo pia ungeweza kuhoji kwa nini wasijenge lami sehemu ambazo ni muhimu zaidi?

Hivyo hoja yangu imejikita kwenye fairness kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu kwa sababu uwanja wa ndege unajengwa Chato siyo kuwa fair kwake kwa maana viongozi wote wa Tanzania hufanya hivyo, hivyo kama ulitaka kuwa fair ungehoji uhalali wa kujengwa Uwanja wa ndege Chato na siyo kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu huku wengine kama Mlm.Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mawaziri Wakuu karibia wote walifanya hivyo hivyo lkn wao kuwaacha kwenye ulinganisho na Mobutu
Ila wee bibi unaboa sana. Una ushabiki uliopitiliza. Kwani huyo jpm alipata kura yako pekee? Mbona wengi walimpigia na kumpenda lakini haina maana kuwa kila afanyalo ni sahihi.

Kweli unalingamisha Daraja la Mkapa na Uwanja wa ndege wa kimataifa Geita?
Unalinganisha Mtwara Corridor na Uwanja wa kimataifa wa geita?
Unalinganisha Bagamoyo Mega port na Uwanja wa Kimataifa Geita?
Unamaanisha kweli kuwa Kisarawe imeendelea? Kwa lipi hasa?
 
Kama nilivyosema siko upande wowote ule kwenye hili kwani siijui mipango ya Serikali ikoje na kwa nini wameamua kujenga Uwanja huko, kwani sijawahi kufika huko Chato na wala Mikoa ya huko siifahamu, nijuavyo mimi Serikali yetu hufanya mambo mengi tu na miradi mingi ambayo wengi huuliza maswali kwa mfano kuna waliolalamika kwa nini Uwanja wa Ndege umejengwa Songwe na siyo sehemu nyingine, sababu siijui kwa maana mimi siyo mtaalamu wa haya mambo lkn lazima wana sababu zao labda wameangalia miaka 20-40 ijayo, nahisi tu lkn sifahamu, kuna wengine walitaka kujenga Uwanja mwingine mkubwa Arusha City wkt kuna KIA tayari wengine walitaka Bagamoyo n.k!

Ila kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu kwa sababu wa maamuzi ya Serikali kujenga Uwanja wa ndege Chato siyo kutenda haki kwa maana hakuna Kiongozi wa TanZania ambaye fedha ya Serikali haijatumika kufanya miradi mikubwa mahali anapotoka hata Kikwete ukipita Chalinze Msoga kuna bypass inapita nyumbani kwake Kikwete, Nyerere alifanya hivyo hivyo hali kadhalika Mwinyi na Mkapa, na pmaoja na Mawaziri Wakuu wote kasoro labda Salim A. Salim lkn wengine wote walijengwa kwao kwa kutumia fedha zetu!
Hivyo hoja hapa inapaswa kuwa matumizi ya kodi zetu kwenye miradi ambayo haina manufaa kwa Taifa letu kwa ujumla wake lkn siyo kumuita Raisi Magufuli Mobutu hiki ndicho ninachokipinga kwani hii inaonyesha chuki binafsi tu dhidi ya Raisi Magufuli yeye kama binadamu sasa hii siyo fair!
Acha kutetea upumbavu wewe! Narudia, acha kutetea upumbavu! Kwa viongozi wengine wapi huko? Nyerere? Wapi? Unazungumzia Uwanja wa Ndege Musoma? Ina maana hufahamu kwamba Musoma ni Makao Makuu ya Mkoa? Unalinganisha vp Musoma na Chato?

Huyo Mwinyi wapi? Una habari kwamba Mwinyi kwao ni Mkuranga? Mkuranga kuna Uwanja wa Ndege pale? Mkuranga kuna investment yoyote ya kipumbavu iliyofanyika in favor of Mwinyi? Or, let's consider Mwinyi ni Mzanzibari! Ni investment gani imefanyika Zanzibar kwa sababu tu Mwinyi alikuwa Rais?

Au unamzungumzia Mkapa? Unafahamu kwamba Mkapa kwao ni Masasi? Hivi unafahamu kwamba ingawaje Masasi ni Wilaya lakini ukubwa wake na population yaeke inashindina na mikoa kadhaa Tanzania hii? Masasi kuna Uwanja wa Ndege? Uliza Wayao na Wamakuwa kama hata ndege yenyewe wanaifahamu? Au ni investment gani ya kipumbavu unaizungumzia ambayo Mkapa ameifanya kwao? Mkapa ni mtu wa Kusini na kilio ca watu wa Kusini miaka yote ilikuwa barabara! Hivi una habari hata baada ya kukaa miaka 10 madarakani Mkapa aliiacha Barabara ya Kibiti ikiwa kimeo? Sasa hao viongozi unaozungumzia wewe wanajenga kwao ni akina nani?

Au ni Kikwete? Unatakiwa kukumbushwa kwamba JK aliingia Magogoni akitokea kuwa Mbunge wa Chalinze huku akifahamika zaidi kama mtu wa Bagamoyo? Hadi ametoka madarakani kuna investment gani ya kijinga aliifanya Bagamoyo au Chalinze? Chat kuna nini hata udhanie forecast ya miaka 40 itafanya international airport iwe viable investment? Unaweza kulinganisha potential ya Bagamoyo na Chato hata kama wangejenga huko Bagamoyo? By the way, hivi unafahamu lengo la kuataka kujenga Uwanja wa Ndege Bagamoyo ni kv ilionekana Uwanja wa Dar es salaam umezungukwa na makazi ya watu kwahiyo ilikuwa ni busara kutafuta eneo lingine jambo ambalo hufanyika kwenye nchi nyingi! Pamoja na yote hayo, bado watu wakaona that's stupid idea for the time being... sasa unafananisha vp Bagamoyo na Chato? Au ndo yale yale ya kupeleka hadi taa za barabarani wakati hata magari yenyewe hakuna?
Chato.png
 
Kwahiyo unaweza fananisha ujenzi wa uwanja wa Songwe na Chato? unajua una-bore vibaya mno! Uwanja wa Songwe hauna uwanja mwingine wowote wa kimataifa katika umbali wa kipenyo cha mzunguko cha km 200! Kitu kinachoufanya kuwa na manufaa na prospect nzuri sasa na hata hapo baadae! na maamuzi ya kuujenga yalifanywa na TAA bila ya shinikizo la kisiasa! Ule wa Chato Mwanza airport ipo umbali wa km 128 toka Chato! narudia hauna ulazima, Km 128 ni mahali pafupi sana kujenga viwanja viwili vya kimataifa!
Imenilazimu post yangu niliyomjibu nii-edit kwa ajili ya huyo mtu manake lazima ningekula ban tu! Na kimsingi I don't care about the distance between Mwanza and Chato; the whole investment isn't viable hata kama umbali kati ya Chato na Mwanza ingekuwa 1000 Kilometers! Huwezi kujenga international airport simply because huko ndiko anatoka rais! Mtwara to Masasi is almost 200 km lakini Mkapa hakujenga airport Masasi wakati am very sure Masasi (mjini) ni kubwa na very busy kuliko Chato (mjini) kwa zaidi ya mara 3 kama sio 5 kabisa! Umeizungumzia Mtwara na Lindi; pale Lindi leo hii hata ukiweka International Airport ni understandable hata kama kwa sasa haiwezi kuwa viable investment but forecast inaoenesha within 10 years Lindi and/or Mtwara will be economically potential areas!
 
Dahh!! Napita. Nitafute nafasi yangu ili kutetea usawa.
 
Duh!
Aisee
Nilijua ni kauwanja ka kushusha helikopta kama ile ya Tunduma!!!
 
Back
Top Bottom