trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,944
- 2,283
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wanaenda kuwauzia kampuni hizo Mb's au?WhatsApp wanapata hela sana.
Kila unapotuma sms,kuangalia video,kutuma nyimbo nk kuna kiwango cha mb huwa unatumia.whatsapp wanachofanya ni kurekodi kiwango chako cha mb na kukibadilisha kwa kukipa thamani flani ya fedha,whatsapp hupata fedha hizo kutoka kwenye makampuni ambayo huusika na kuuza uduma za internet.
Hivyo basi kadri unavyotumia mb nyingi ndo wao wanavyopata fedha.
Vipi wanaotumia free Wi-FiJiulize ni kwanini millard ayo hukupa url ya habari fulani badala ya kukupa habari yote kny blog yake?hii ina maana akikupa habari yote yeye hatapata faida hivyo itakubidi utumie vi mb vyako vya kukopa uiangalie hiyo habari huku yeye mwisho wa siku anaenda kuchukua cheki yake voda,ttcl,air tel,smart,zantel au tigo...hivyohivyo kwa whats mark zurckerberg hupokea mshiko wa nguvu toka kwa hayo makampuni.
Ukiwa unatumia WiFi ujue ushalipiwa yaheee...Vipi wanaotumia free Wi-Fi
ingekuwa hivyo hao wagunduzi wa whatsupp wasingeuzaThere are so called satellites and optical-fibre cables.
Lets say Voda buys 500Mbs from Satellites or OFCs ISPs/dealers and for them to get benefits they give you 500Mbs for just 500Tsh in a limited time...ni kama unavo chukua mikate kwa Bakhresa kwa 800Tsh na kutembeza kitaa kwa 1000Tsh ili upate faida.
Lets say the 500Mbs that you get from vodacom you use 1Mb to browse Whatsapp and Whatsapp will notify a large ISPs say Google that somebody used 1Mb to browse our site then Google will send these infos to your ISPs say. Vodacom that these infos says somebody used 1Mb to browse whatsapp and Vodacom will pay the money to whatsapp per 1Mb...everybody from Google to ISP get about 4%,5% until all ur money have divided including givernment taxes the cycles goes there and comes again whereever your browsing will be charged...But the method seems slowly to make money thats why others adds some services like Ads and whatever.
ni safe kwa watu wasio jua ku hack-lakini sio kwa watu wanao hack! au kampuni yenyewe hao face book wana uwezo wa kupata information yyte kutoka kwa user wao.I checked some days ago, Still end to end encryption is safe unless one gains physical access to your device.
WhatsApp wanapata hela sana.
Kila unapotuma sms,kuangalia video,kutuma nyimbo nk kuna kiwango cha mb huwa unatumia.whatsapp wanachofanya ni kurekodi kiwango chako cha mb na kukibadilisha kwa kukipa thamani flani ya fedha,whatsapp hupata fedha hizo kutoka kwenye makampuni ambayo huusika na kuuza uduma za internet.
Hivyo basi kadri unavyotumia mb nyingi ndo wao wanavyopata fedha.
sahihi kwa urahisi kwabisa tunasema whatsapp inategemeza facebook na instagram kwa kuwapa data za watumiaji...Kabla ya kuuzwa kwa Facebook watsapp walikuwa wanapata pesa kupitia licence ambazo walikuwa wanatoza kwa mataifa yote dunia kasoro mataifa ya Africa! Yaani ulikuwa ilikutumia watsapp ilikuwa lazima ulipie Ada ya kila mwaka!
Baada ya kununuliwa na Facebook, Mmiliki wa facebook alitoa tozo ya Ada hiyo na kuifanya watsapp kutumiwa free ulimwenguni kote! Kwasasa Facebook wanatumia data za watsapp hususani number za simu katika kuboresha huduma za mitandao yao ya facebook na instagram.
Pia Facebook wanampango wa kutengeneza API ya watsapp ambayo wanaplan ya kuifanya itumike kibiashara zaidi na wataweza kupiga pesa nyingi sana kupitia API Hiyo. (imagine ukiweza kununua access ya kubroadcast kwa watanzania wote wenye watsapp message flani) Kwa maelezo zaidi kuhusiana na API tafadhari google!
uko sahihi wengi hawajui hilo!Mkuu i know what end to end encryption sababu naijua cryptography kiasi chake sasa nachokueleza ni kwamba hizo encryption ni mbwembwe tu sababu wao wanajua kuzi decrypt na wao ndo wame emplement kwenye server zao na zipo kwaajiri ya kuzuia hackers na hata makampuni mengine kudukua taarifa za watumiaji wao ila wao wanafaidika na taarifa zako sababu wana algorithms ambazo zina learn na ku predict specific behaviour za user wao hivo sasa kuna makampuni ambayo yanatengeneza bidhaa mbali mbali hata wao wenyewe wanatumia taarifa hizo kuboresha pruduct zao sasa hapo ndo business inafanyika kulingana na data wanazo hitaji na biashara hii ni kubwa na imeshamiri lakini hata siku moja huwezi skia ikawa ni biashara halali sababu hakuna anaetaka taarifa zake ziwe wazi kwa mtu mwingine
Hapo ndo wanakuja na honeypot za encryption ili kukushawishi wewe kuwa upo safe
Neno langu sio sheria
Umeandika kwa confidence kabisa wakati hakuna unalojua..Jiulize ni kwanini millard ayo hukupa url ya habari fulani badala ya kukupa habari yote kny blog yake?hii ina maana akikupa habari yote yeye hatapata faida hivyo itakubidi utumie vi mb vyako vya kukopa uiangalie hiyo habari huku yeye mwisho wa siku anaenda kuchukua cheki yake voda,ttcl,air tel,smart,zantel au tigo...hivyohivyo kwa whats mark zurckerberg hupokea mshiko wa nguvu toka kwa hayo makampuni.
Tuambie unalojua kokoro weeUmeandika kwa confidence kabisa wakati hakuna unalojua..
Mkuu kubali tu, ulichokiandika ni kichekesho, hata kama hakuna analolijua haifanyi ulichokiandika wewe kuwa kina mantiki... Usiwe unaandika vitu usivyovijuaTuambie unalojua kokoro wee
You are right mkuu, kwa watumiaji wa android watathibitisha hela.... Ukiwasha data tu, utaona poups za addons kweny screen most of the things n vitu ambavyo kwa namna moja au nyingne uliwahi kuviserach mtandaon au vngne n vipya kabsa na ndo vnakuwa promoted mno......Kuna biashara kubwa ya uuzaji wa taarifa ambayo hizi mitandao ambazo unafanya subscription ya kujaza taarifa zako. Taarifa hizi hutumiwa na makampuni makubwa ya marketing kwaa ajili ya kufanya promotion zao
So hata whatsapp pia nahisi ni miongoni mwa makampuninyanayouza taarifa so usishangae hupati adds kwenye simu yako directly kupitia whatsapp ila kuna algorithms ambazo zina learn user behaviour inakua rahisi ku predict ni user wa mambo gani
Wabongo ujuaji mwingi mkuu 🙂.I'm sad kwamba sijapata jibu la uhakika hapa, anaesema unapotosha nae hana jibu
Sio kweli, yani wewe ndo hujui kituWhatsApp wanapata hela sana.
Kila unapotuma sms,kuangalia video,kutuma nyimbo nk kuna kiwango cha mb huwa unatumia.whatsapp wanachofanya ni kurekodi kiwango chako cha mb na kukibadilisha kwa kukipa thamani flani ya fedha,whatsapp hupata fedha hizo kutoka kwenye makampuni ambayo huusika na kuuza uduma za internet.
Hivyo basi kadri unavyotumia mb nyingi ndo wao wanavyopata fedha.
kwani data anazotuhumiwa mark kuziuza kwenye uchaguzi alizitoa wapi?Mkuu sio kwenye swala la kukuza namba ya watumiaji ila ijinufaishe. Jaribu kuchimba vizuri maana ya end to end encryption ya Whatsapp. Angalia maandiko ya authors wengi juu ya hill suala ndio uje na hoja madhubuti. Kuuza taarifa kwa kampuni za simu na hizi apps ni jambo linalogahamika vizuri ila whatsapp wameongeza privacy ya watumiaji wake through end to end encryption.
MB ni kama air time. Bila satelite hakuna mawasiliano ya internet duniani. Wamiliki wa satelite huuza subscription kwa host na ISP company na vodacom hununua(mfano). Kisha wao hukuuzia wewe mtumiaji wa MB iwe kwa WhatsApp au Youtube. Unapotumia huduma yoyote iwe Google au whatsapp unanunua MB na voda watalipa host nao watalipa whatsapp kisha kiasi kingine kitaenda satelite company. Mfano una account ya Youtube na unaitumia kibiashara kwakuweka videos, utatafuta host na kila atakayeangalia vidoe yako utapata mgao wa % fulani in cash kwa MBs alizotumia, vodacom nao watabakiwa na % yao, host nae na mwisho ni kampuni inayomiliki hiyo satelite