Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
- Thread starter
-
- #301
najua demu wako ndio kakuambia huwaga navaa diapers kwa sababu mimi na yeye tulikuwa tuna role play kwa sana tu....lol
hahahahaha sio wewe kazi kushika pembe tu hapa wakati wakamuaji ni wengine....🙂
Nah, I didn't hiko kwenye page gani? lol I am sure uko way off target lol, let me see and will tell you.
Status gani? demu wangu alinambia kuwa jamaa ni joka la kibisa...haling'ati!! Ushahidi tosha kuwa zoba NN anashika pembe tu.
OOOOOyaaaaaahhh na mimi nimo humu ndani;sijui nianze na nani katika members wa JF,nina plan ya kutaka kukutana na JF member mmoja baada ya mwingine.
Lakini sijaamua nianze na nani,stay intouch.Huwezi kujua labda unaweza kuwa wewe.
Who can be my match kama wewe na cupcake!
Cupcake leo yuko distraught sana...lakini kwa hilo hata mimi nnaweza kukusaidia
Mie wewe kelly nakuangalia tu humu.....
As one of utamu victims.....ujue sikuangalii hivi hivi...
Ngedere wewe....once proved wewe ndie huyo mmiliki wa zeutam,ujue nakupandia ndege..nikutahiri..nyau we!
And that is why i love you!.....
I am good katika kufanya imagination:
Kelly01 ni mwanaume lakini anajitambulisha hapa kama mwanamke (NN cupcake umennunua mbuzi kwenye gunia)
Ni mfupi kiasi na mnene, Ana kitambi lakini si kikubwa sana.
Anapenda sana kunyoa staili ya polisi na hunyia nevu zake na kuacha sharubu.
Very smart man
huyu ndie partner in crime..wake kelly nini???????
USITUZUGE!!!!!!!!!!