How I imagine people in JF

How I imagine people in JF

Nah, I didn't hiko kwenye page gani? lol I am sure uko way off target lol, let me see and will tell you.

did you find out?,,....iko kwenye around page ya 20 hivi....i know i get it right for sure....
 
Kelly01, asante sana for a very interesting thread. Asante pia kwa NN for taking good care of Kelly01 (hata kama ni kusadikika tu, sijui) hadi anakuwa na akili ya kutulia na kutoa thread iliyopendwa. Maana mwenzi kama hakujali huwezi kutuliza akili. Thank you both (NN na Kelly01) kwa changamoto mnayotoa kwa wanandoa. Nyumba/ndoa zinatakiwa ziwe hivyo. Mazungumzo yenu yanaweza kuwa mchango mkubwa kwa wanandoa wenye kulumbanalumbana - wanaweza kubadilika kwa kuiga mwenendo wenu. Asanteni.
Kwa wanandoa: Mume/Mke ni rafiki. Mwenye masikio na asikie!
 
OOOOOyaaaaaahhh na mimi nimo humu ndani;sijui nianze na nani katika members wa JF,nina plan ya kutaka kukutana na JF member mmoja baada ya mwingine.
Lakini sijaamua nianze na nani,stay intouch.Huwezi kujua labda unaweza kuwa wewe.
 
Last edited:
Kelly atakua kama Raind C sema yeye anavigimbi kidogo na kaushuzi kakimtindo
 
OOOOOyaaaaaahhh na mimi nimo humu ndani;sijui nianze na nani katika members wa JF,nina plan ya kutaka kukutana na JF member mmoja baada ya mwingine.
Lakini sijaamua nianze na nani,stay intouch.Huwezi kujua labda unaweza kuwa wewe.

Nini kina kufanya uamini kuwa watu wako hapa kutaka kukutana na wengine?
 
Asante mammy, mimi ni demu ulivyo nidiscribe umepatia kweli, ila sasa umeniacha kidogo what is 5"4caramel umeniacha hapo.

Penny-Sijajua kama Penny ni demu au men…ila I feel like ni demu huyu mdada anaonekana ni mtaratibu sana she is around 5"4caramel complexion ,big brown eyes,long hair..na anaongea taratibu sana and a good listener.

Who can be my match kama wewe na cupcake!
 
Mie wewe kelly nakuangalia tu humu.....

As one of utamu victims.....ujue sikuangalii hivi hivi...

Ngedere wewe....once proved wewe ndie huyo mmiliki wa zeutam,ujue nakupandia ndege..nikutahiri..nyau we!
 
Leave my Cupcake alone....
 
Najaribu ku-estimate proportion ya wanaume wanaomtamani kelly1 humu JF. Uchangiaji katika mada zake uko juu sana, sihisi kingine (eg. content) zaidi ya washkaji kumtamani (sijui ni hiyo picha!), wanaona faraja angalau "ku-chat" naye.
HHaaa hhaaaa washkaji huwa MNAJITIA wagumu kumbe mambo flani URODA, no I mean UROJO.
Kama mngekuwa na nguvu hivi kwenye mada zingine tungekuwa mbele zaidi.
 
I am good katika kufanya imagination:

Kelly01 ni mwanaume lakini anajitambulisha hapa kama mwanamke (NN cupcake umennunua mbuzi kwenye gunia)

Ni mfupi kiasi na mnene, Ana kitambi lakini si kikubwa sana.

Anapenda sana kunyoa staili ya polisi na hunyoa ndevu zake na kuacha sharubu.

Very smart man
 
Last edited:
I am good katika kufanya imagination:

Kelly01 ni mwanaume lakini anajitambulisha hapa kama mwanamke (NN cupcake umennunua mbuzi kwenye gunia)

Ni mfupi kiasi na mnene, Ana kitambi lakini si kikubwa sana.

Anapenda sana kunyoa staili ya polisi na hunyia nevu zake na kuacha sharubu.

Very smart man

huyu ndie partner in crime..wake kelly nini???????

USITUZUGE!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom