9th Of Nzi Chuma
Ngoja niandike, naamini nitafika sehemu flani hivi...
Kuna baadhi ya vitu nikikumbuka kwakweli nakosa amani sana, nilifanya vitu vingi sana kwa muda mfupi mno yani, sometimes natamani time irudi nyuma nirekebishe makosa but its too late...
Naomba usiku huu nimalizane na Zulfa mazima kabla ya kurudi kwa Nai,..
Nadhani umri wake Zulfa ulichangia sana kujitambua, licha ya kufanikiwa kumfanya afall kwenye mapenzi, lakini sikuweza kumshawishi vizuri kuweza kumla. Alikua makini sana...nakumbuka wakati tumeimaliza semester ya pili, soon baada ya UE, nikapanga kuondoka na Zulfa kwenda nae Dar..wakati huu nilikuwa nawasiliana hadi na mazake Zulfa na nilishaongea mipango yangu ya dhati ya kumuoa.
Tukaondoka Moro na kufikia guest house moja maeneo ya kibo pale Dar. Nilipanga usiku huu kumrarua Zulfa kwa namna yoyote iwayo, halafu asubuhi niende zangu Tanga na yeye aende kwa sis wake mbagala...niliutumia huu usiku kubembeleza nyapu kwa njia zangu zote, lakini sikufanikiwa!! Mwisho nikaamua kutumia nguvu, nikachana chupi na kutaka kubaka lakini Zulfa alining'ata, nikaona isiwe tabu, nikajidai kukasirika lakini hakunibembeleza, pakakucha na kila mtu akashika hamsini zake...licha ya kuwa baadae nilikuja kujiona mkosaji na kuendelea kuwasiliana nae hadi hapo tuliporudi likizo kwa ajili ya second year
.
Zulfa akawa anakuja geto sometimes anapika (siku ambazo Nai haji) na akijisikia kulala anaweza kulala lakini niwe tu mkweli sikuweza kumkaza. Aliniambia ni simple sana kumkaza kama nitamuoa, nikaanza michakato ili niweze japo kumposa huko kwao angalau iwe official. Wakati nipo katika kipindi hiki, ndipo rafiki yangu mmoja akanielekeza namna rahisi ya kumla Zulfa, rafiki yangu Ustaadhi kwelikweli huyu (heshima kwako mkuu wa faida, ukifanikiwa kusoma hii jua kuwa nakukubali vibaya sana).
Jamaa alinipa aya za kwenye Quran ambazo nilitakiwa kuzisomea mafuta flan ya Zaituni na kujipaka usoni kila Ijumaa kwa muda wa wiki saba (yaani Ijumaa saba mfululizo), akanambia Ijumaa ya saba nimuite Zulfa geto halafu nione kama atachomoa..hahhahaaaa kuna watu wanaijua hii dunia jamani, daaah...!! Nikafanya nilivyoelekezwa, Ijumaa ya saba ikafika, nikamuita Zulfa geto akaja, nikaanza michakato, lakini tofauti na siku za nyuma, Zulfa siku ile alikuwa anafanya kila ninachomuelekeza..nikafanikiwa hadi kumvua chupi kilaini kabisa, nikapiga goti nikaanza kulengesha, akaja na ombi "tafadhali Nzi Chuma, naomba utumie condom, pleasee..mimi niko tayari lakini tumia condom.." Lahaulaaa condom nilikuwa sina, lakini sikutaka kumboa, kwakuwa kashakubali mwenywe leo huyu, acha niruke duka la dawa nikachukue Condom, nikamuomba anisubiri akasema sawa..
Nikatoka na kukimbia duka la dawa, nikapata mzigo lakini wakati nimefika geto nikamkuta ameshavaa hadi baibui ananisubiri kama kuniaga hivi.." Nahisi siko sawa, acha nirudi chuo, tutaongea vizuri baadae", Zulfa akasepa, na huu ndo mwanzo na mwisho wa yeye kuja geto..niliendelea kuwa nae tukiendelea kuwa na mahusiano yetu kama kawaida lakini kadri siku zilivyokuwa zinaenda ni kama nilipoteza hamu hivi ya kuwa nae, niliona kama anazingua hivii..mama yake kila siku alikuwa ananisisitiza niende nikatambuane na baba zake ili tupewe baraka za kumuoa, lakini siku zinavyokwenda nikaona kama siwezi tena kwenda kwao, sasa zikaanza sababu sababu za kijinga jinga mpaka baadae tukawa kama kila mmoja ana hamsini zake hivi..baadae alikuja kuniambia kuwa amepata mume anataka kumuoa, sikustuka sana nikamuombea dua na mwaka uleule wa pili aliolewa..(heshima kwako bro uliyeoa huyu mtu, umepata bonge la mke..).
Nashindwa kumpata hewani tangu watu wasajili kwa alama za vidole, ila yote kheri.ni mke wa mtu na mpaka mara ya mwisho kuwasiliana nae alikuwa na mtoto mmoja bado..
Habari ya Zulfa ikaishia hapo, hakuweza kuwa mke wangu ingawa ni katika watu ninaowaheshimu sana, amenifunza vingi katika maisha haya...sina ugomvi nae na siku zote namuombea dua awe na maisha ya kheri.
Unamkumbuka Tatu? Ngoja naye tummalizie hapa..
Tangu niwe chuo ni kama vile mahusiano na Tatu yalianza kufa kifo cha mende hiviii... Lakini alikuwa hachoki kunitafuta, na bado alikuwa akiwasiliana na familia yangu (kumbuka mama alikuwa anampenda sana Tatu). Siku moja akanipigia simu na kuniuliza "Hivi Nzi Chuma, una malengo yoyote na mimi?" I asked why? She said "Kuna watu wameonesha nia ya kutaka kunioa, thats why nimekuuliza ili nijue kama nakataa au nakubali"... Nilichomuuliza ni " wanataka kukuoa kweli au wanahitaji nyapu?" Akanambia ni kweli wanataka kuoa..nikamwambia go ahead, kwangu mimi nahisi kama utasubiri sana, bora kuolewa..
Tatu hakutumia nguvu nyingi, nadhani alishausoma upepo, akafanya maamuzi magumu. Ingawa kuna very interesting story juu yake.. Ngoja niwape kidoogooo... Maisha yake pale ATC yalikuwa ya kidini sana, alijua kuwateka hasa, na watu wengi waliamini Tatu ni very innocent, hakuwa na makandokando..maisha yake yalijawa na uchaji Mungu wa hali ya juu sana mpaka wakampa vyeo vya uongozi katika jumuiya ya waislam chuoni.
Tabia zake ndizo zilizomvutia matron wao ambaye alimpendekezea kwa jamaa mmoja hivi lecturer wa chuo kikubwa tu hapa Tz, na kumshawishi amuoe yeye..(matron alikuwa na mahusiano na huyu lecturer). Imani aliyokuwa nayo matron kwa Tatu ni kubwa sana hadi akaogopa, ikabidi atafute namna ya kuendana na upepo, ikambidi atafute bikra bandia ili angalau siku ya kwanza huyu jamaa ajue amepatia hasaa..na kweli ikawa hivyo, jamaa alijikuta anafall kwa Tatu kiasi ambacho hata Tatu mwenywe hakutegemea...mimi alikuja kunipigia na kunieleza jinsi anavyopata raha kutoka kwa mumewe baada ya ile bikra feki, anasema isingekua hivyo nadhani story ingekuwa ndefu sana.
Nikampongeza kwa ndoa njema na kumuomba aendelee kuenjoy maisha mapya ya ndoa, nami right time ikifika ntaoa..bado nawasiliana na Tatu as a friend ila hataki hata kuniona, anadai kuwa kama akiniona ana uhakika ataisaliti ndoa yake na jamaa hana hatia (angalau tumpongeze kwa hili).
Sasa turudi kwa anayeonekana kama main character hivii.. Nai..
Mimba ya pili ilivyoingia, Nai hakuniambia kabisa, akawa anakuja tu geto napiga mambo anageuza, hakusema chochote.. Mpaka muda flani alipokata mguu na kuwa haji pale geto (nadhani aliamua kupambana nayo mwenyewe). Mpaka muda huu mimi nilikuwa gizani, Nai haji geto na ukimuuliza sababu ya maana hana..siku za nyuma nilikuwa nikimmis Nai sana naenda kwao, anatafuta namna ya kutoka na tunaonana, lakini kipindi hiki Nai alikuwa adimu hata ukienda kwao hatoki, anadai hakuna nafasi ya yeye kutoka.
Nikabaki nawasiliana nae kwa simu tu. Siku moja tukaongea kwa kirefu sana kuhusu mimi kutambulika rasmi kwao kwa ajili ya kutaka kumuoa Nai, alifurahi sana kwakweli, na akaniambia njia rahisi ni kuonana na fazaake. Fazaake alikuwa muelewa sana na alikuwa anampenda sana Nai..akanipa namba yake na akanambia atamueleza kila kitu halafu atanipa go ahead nimpigie... Kweli bana, zikapita siku mbili mzee yeye ndo akapiga. "Nai amenieleza kila kitu kuhusu wewe, naomba tuonane kwa ajili ya mazungumzo". Kweli bana, Nai alinitoa uoga na kunambia baba yake hana shida, niende tu nikaonane nae. Ahadi yetu ilikuwa ofisini kwake niende jioni ya siku moja hivi, nikaenda na kumkuta peke yake..
Akanikaribisha na akaanza mahojiano na mimi, tukafahamiana vizuri.. Mzee alikuwa na exposure sana wala hakuwa na shida kabisa..akaniambia kuwa "no complications mimi ndiye baba yake Nai, kama una nia ya dhati utamuoa tu". Tukamalizia mazungumzo yetu kwa kunikaribisha nyumbani siku mbili zijazo, akanambia uje mama yako nae akutambue ili wakati muafaka utakapofika asiwe suprised..nikasema sawa licha ya kwamba alinilaza na mawazo..
Nai alifurahi sana, na kunipongeza sana kwa uthubutu wangu, nikamwambia nitoe basi katika lawama ulizonipa kuwa nayumba na sina msimamo, akanambia " bado kidogo, ukifanikiwa kunioa ntakufutia lawama zote".
Siku ya siku ikafika, hii siku nikaona nisiende peke yangu, nikampanga msela wangu mmoja nikaenda nae..tulianzia msikitini, ulikuwa ni muda wa maghrib, baada ya swala tukaongozana na mzee mpaka home..Mama Nai alikuwa ameandaa kisawasawa maana mzee alimwambia tu aandae kwakuwa kuna wageni, hakujua wageni gani!!. Tulijijaza sebuleni pale na mzee baada ya kutukaribisha akamuita mama Nai aje amtambulishe kwa wageni wakati huu Mama Nai alikuwa jikoni akimalizia maandalizi..
Hahhahaaaa kwakweli nilikuwa natetemeka sio kawaida, huyu mama jamani ni KAUZU, nieleweni kwa neno hilo tu!!. Alipofika sebuleni ni kama alipigwa na mshituko hivi baada ya kuniona., ila mzee hakustukia. "Huyu ndo mgeni wetu, anaitwa Nzi Chuma, Nai aliniambia ana nia njema nae, na yeye mwenyewe yuko tayari kuoa, ndo nikamwambia kabla hatujaenda mbali lazima tufike kwa mama nae akutambue..". Kufika pale akameza mate halafu akasema " Na huyu nadhani bila shaka ni rafiki yake ameongozana nae". Nikatilia mkazo na kumtambulisha rafiki yangu.. Nikamsikia yule mama akisema "Samahani baba Nai, nakuomba mara moja".
Mzee akatuomba radhi na kufuata na mkewe chumbani. Pale sebuleni nikamwambia jamaa yangu ajiandae kutoka nduki maana hapo kwa ninavyomjua yule mama, kimeshanuka!!. Naam, tulikaa pale kama dakika kumi hivi mpaka mzee alipotoka na kutufukuza kama mbwa (naomba ieleweke kuwa tulifukuzwa kama mbwa, sitaki kueleza sana ilivyokuwa). Siku za mbele huko ndo nilikuja kujua kuwa yule maza alimwambia mzee kuwa "yule jamaa ni zaidi ya mbwa, ni mshenzi, anakuchezea mchezo, anakufanya mjinga..huyo Nai ameshampa mimba na wameitoa mimi namjua vizuri sana tu nishakutana nae hapa na alinijibu vibaya sana akidai kuwa hatuna cha kumfanya na mimba kashampa mwenetu.." Nadhani na blabla nyingi zaidi ambazo zilimpandisha yule mzee hasira hadi kupelekea kutufukuza vile...
Ndoto zangu za kumuoa Nai zikaanza kuyeyuka..wakati huu nilikuwa bado sijajua kama Nai ana mimba. Nikamueleza Nai jinsi nilivyokata tamaa, yeye akanambia bado nina nafasi ya kupambana ingawa chance ni ndogo sana kwa sababu baba yake anamsikiliza sana yule maza, maza akitaka kitu dingi hawezi kupindua.. Ila alinitia moyo na kuniambia niendelee kupambana kwa upande wangu ila yeye upande wake, plan aliyonayo ni kabambe sana, lazima watanasa tu.
Ok, mimi nikaamua kumvutia waya mzee baada ya siku mbili tatu, mzee aligoma kabisa kuongea na mimi na kuniambia kuwa sina sifa ya kumuoa binti yake kwa ushenzi nilioufanya. Akanitaka nikae mbali na familia yake.
Sikuridhika, nikaamua nimfuate mzee ofisini na kumueleza nia yangu ya dhati kabisa juu ya Nai, ndipo mzee akaniambia alichoambiwa na mama Nai, hata kama mimi ningekua yule mzee nisingekubali..!! Mzee alilishwa tango pori za maana sana na Mama Nai, alimwambia yaliyokuwemo na yasiyokuwemo..!! Nikasepa zangu nikiwa nimekata tamaa kabisa.
Naomba nipumzike wadau, nitaendelea kesho asubuhi panapo majaaliwa... Ombi la paragraph nitalifanyia kazi zaidi next time, nimechelewa kuliona jamani..mnisamehe...
Sent using
Jamii Forums mobile app