How long to wait?...

nimempa haki yake kama wewe ulivonipa yangu kwa kuniita mzushi haaaaaaaa jamani weye...!!!!

njia ya msalaba mtaisalia huku Mkuranga??

Sisi Wasabato hatuna njia ya msalaba! πŸ™‚
 
Mwendawazimu hachagui jalala mkuu, kinywaji chochote chenye kilevi isipokuwa pombe za kienyeji tu!
Hili nalo neno. Kwahiyo we utakuwa na kibarua cha kumhudumia huyu hapa kwenye bold chini. Hana gharama sana.

ntakunywa kadiri ya zitakazopatikana kaunta.....kwisha ndo limit biggy!!!

lita za mawese nzuri kwenye dagaaa biggy ntamgaia mama Matesha
Hehehe! Mawese na dagaa? Ukitumia hiyo huruhusiwi kutumia toilet paper ujue?

SI WAMESEMA tuna IQ ndogoπŸ˜€πŸ˜€
Ni heri iwe ndogo kuliko kuikosa kabisa!

Ni kusubiri mpaka ndoa halali ifungwe ndo consumation itake nafasi vinginevyo itakuwa out of context, content and process!
Huyu naye vipi, mjadala si ulishafungwa huu? Hapa kilichobaki ni Furahi day, kudumisha mila na kula mayi!!!!!!!!!
 
PM zimekatazwa (aaah lakini si kwako) ntakwambia tu hata ukiwa Mkurunga inside ze gest hausi, in ze bed with sm1 or alone I will do

Hapo kwenye red itakuwa ngumu! Bora nibaki mjini tu nile mishkaji ya Mzalendo Pub! πŸ™‚
 
nadhani mpaka hapa SAFARI IMEKUFA!(wahanga ni wengi mno kwenye hiliπŸ˜€)
1-KAIZER
2-MASAKI

khaa...mpwa hapo unajua siye hatuogopi moto kama makalio ya sufuria!

Kha! gest gani inauliza cheti cha ndoa na kwa sheria ipi?
 
nadhani mpaka hapa SAFARI IMEKUFA!(wahanga ni wengi mno kwenye hiliπŸ˜€)
1-KAIZER
2-MASAKI

Hehehehe ni msisitizo wasije wakaishia kugombana na wahudumu wa gest wakati sheria zipo wazi.

hahaaa endelea yaani leo mimi na wewe.......watatutakaaaaa!!!!!

waambie waambie hawa....

Hahahaha mm leo nipo kimaadili zaidi shem napenda nije niwape kampani Mkuranga.

Mpwa Pearl anado ze nidiful upande wa logistik, ndo tunamsikiliza hapa kwamba leo lazima kilimo kwanza kieleweke tu

Hahahaha nasisitiza vyeti vyenu vya ndoa msije mkasema ooh tumeondoka gafla vibebeni kabisa.
 

biggy mbona unagawa majukumu yako lakini???

uhusiano wa hiyo kitu na TP ni upi tena???

MJ1 hakufunga mjadala rasmi ujue ndo maana bado wajumbe wanachangia bt sie akhaaaa tulimaliza jana!!!
 
nadhani mpaka hapa SAFARI IMEKUFA!(wahanga ni wengi mno kwenye hiliπŸ˜€)
1-KAIZER
2-MASAKI

Tanzania yenye neema inawezekana! Cheti cha ndoa tu? Sema lingine, ninaweza kupiga simu kwa wasanii pale mtaa wa Jamhuri na baada ya masaa mawili ninakuwa nacho! Tena cha mwaka 2005 kuonyesha msisitizo!!

Mkuranga hapatoshi weekend hii! πŸ™‚
 
biggy mbona unagawa majukumu yako lakini???

uhusiano wa hiyo kitu na TP ni upi tena???

MJ1 hakufunga mjadala rasmi ujue ndo maana bado wajumbe wanachangia bt sie akhaaaa tulimaliza jana!!!

By the way, umemwona B? I am looking for her
 
Hapo kwenye red itakuwa ngumu! Bora nibaki mjini tu nile mishkaji ya Mzalendo Pub! πŸ™‚

hahaaaaaa haya bana!!! mishikaki yenyewe ukila mwenyewe hainogi utarudi pale pale utafute wa kula nao!!!!

dah, have missed you though! how r u?

umehamishia majeshi kwenye avatar nyingine B bana hahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
khaa...mpwa hapo unajua siye hatuogopi moto kama makalio ya sufuria!

Kha! gest gani inauliza cheti cha ndoa na kwa sheria ipi?
ha ha ha mkulu hapo kwenye RED we acha tu ishu ka izo zipo!! tena sijui kwa nn ni maeneo ya vijijini!! ila watu wajanja sana wakiona ngoma inakua nzito kila mtu anaenda kwa muda wake na anachukua chumba then usiku wanahamia chumba kimoja!! yani sehemu ambazo huna alternative kazi kwelikweli!!
 
Umenisoma mpwa! nsha do the needful
Nimeiona mpwa nami nimeitendea haki hii yuziful posti! Unanidai lita kadhaa za pombe.

nadhani mpaka hapa SAFARI IMEKUFA!(wahanga ni wengi mno kwenye hiliπŸ˜€)
1-KAIZER
2-MASAKI
3-BHT
4-PEARL
5-FIDEL
Hehehe! Hapo sawa. Ila kwenye red naona kama vile umenunua kesi.

Binamu! huwezi kunong'oneza hata kidogo jamani! lol!
Muzee ya logistics on Duty!

huna soda ?maana valuuu sitaki na hivyo vingine daah vitanizidishia joto la mwili!
Karibu mwanachama mpya! We hakika ni mali yangu HALALI KABISA. (Avatar imezingatiwa)
 

Duh! Hiyo kali, halafu gesti zenyewe za vijijini usikute chumba Shs. 5,000 kwa hiyo ninakuwa ndani ya bajeti kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…