How mnaweza ku date na last born?

Kumbe wewe ni last born!! Ndio maanaπŸ™†πŸ™†πŸ™†

Omba Mungu mtoto wako wa mwisho asiwe wa kiume🀣🀣🀣🀣
 
Mnapenda kutusema sana malast born sjui mnatuchukuliaje
Babymama wangu ananiambiga nina kisirani sana sjui nikoje nabaki Kumshangaa maana hata sielew iko kisirani nimekito wap
Imebidi nikasome thread zako🀣🀣🀣🀣🀣
Last born ni majanga aisee🀣🀣🀣🀣
 
Huh!! Basi mdate mashangazi ili wawadekeze.
 
Guys huyu last born kanishinda jaman mwanaume mda wote my momy my dady oh jaman nime mchoka nataman kumuacha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hao nasikia ukiwapa ziwa unaweza Kuta amelala hapo hapoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mpwa
 
[emoji23][emoji23] mkuu weacha tu sjui wanataka tuishije nao yaan tuko simple sana ila tuhuma zinatuangukia kibao
Mmefikiwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkisemwa Sasa mama utamsikia niachieni mwanangu mnamyanyasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
First bon ni kiongozi always, ww kama una date na mtu wa aina hiyo na hauna moango bora umwambie mapema.
Na hawapend longolongo hasa Ke, ukiwa na manzi first born uwe matured aisee wengi wao wana utu uzima wakati watoto.
 
Kumbe wewe ni last born!! Ndio maanaπŸ™†πŸ™†πŸ™†

Omba Mungu mtoto wako wa mwisho asiwe wa kiume🀣🀣🀣🀣
First/last born wangu ni wa kike...na ni ngangari balaa hana hata chembe za ulast born hata kidogo labda tu kununa nuna bila sababu za msingi 😁😁😁
 
Mmefikiwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkisemwa Sasa mama utamsikia niachieni mwanangu mnamyanyasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We acha tu...

Nimefaudu sana nyama za kufichiwa na mama. That woman dah! Apumzike salama kwa kweli. Hakuna upendo kama wa mama na last born wake wanaoshibana aisee 😁😁❀️❀️❀️
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mpwa
True story mpwa...

Nakumbuka mpaka ile siku lizee limoja hivi likorofi na lenye wivu sana pale kijijini liliponitisha eti litakuja kuniua likiniona nanyonya tena ndo nikaacha dah! Wakati nilikuwa nimepanga mpaka nigonge teni yiazi ndo naacha 😁
 
🀣🀣🀣🀣
 
We acha tu...

Nimefaudu sana nyama za kufichiwa na mama. That woman dah! Apumzike salama kwa kweli. Hakuna upendo kama wa mama na last born wake wanaoshibana aisee 😁😁❀️❀️❀️
Apumzike Kwa amani
Angekuwepo nafikir had sahiz kesi ungekuwa unazipeleka "mama bhna mkweo siku ya Tatu kaninunia hapiki"🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…