Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kumbe wewe ni last born!! Ndio maana🙆🙆🙆Leo last borns tunalo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mara nyingi ni wivu tu ndo unawasumbuaga mkiona jinsi tunavyopendwa. Imagine mimi nilinyonya miaka 7 na nusu mizima. Yaani nakwenda kuchunga nikirudi nafikia kupata balanced diet kwa mama [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2588605
Omba Mungu mtoto wako wa mwisho asiwe wa kiume🤣🤣🤣🤣