How mnaweza ku date na last born?

How mnaweza ku date na last born?

Leo last borns tunalo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]

Mara nyingi ni wivu tu ndo unawasumbuaga mkiona jinsi tunavyopendwa. Imagine mimi nilinyonya miaka 7 na nusu mizima. Yaani nakwenda kuchunga nikirudi nafikia kupata balanced diet kwa mama [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

View attachment 2588605
Kumbe wewe ni last born!! Ndio maana🙆🙆🙆

Omba Mungu mtoto wako wa mwisho asiwe wa kiume🤣🤣🤣🤣
 
Mnapenda kutusema sana malast born sjui mnatuchukuliaje
Babymama wangu ananiambiga nina kisirani sana sjui nikoje nabaki Kumshangaa maana hata sielew iko kisirani nimekito wap
Imebidi nikasome thread zako🤣🤣🤣🤣🤣
Last born ni majanga aisee🤣🤣🤣🤣
 
Aahahah tumefikiwa

Ila ni kuwa sisi malast born tunaapenda antetion sana yaani kama ivi ukirud nyumban unaulizwa umekula mama anasema haya mkangieni mtoto mayai kachukue soda kwenye frig

Na kwenye mahusihano ivyo ivyo na tunapendwa sana kudekezwa na wapenzi wetu
Huh!! Basi mdate mashangazi ili wawadekeze.
 
Leo last borns tunalo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]

Mara nyingi ni wivu tu ndo unawasumbuaga mkiona jinsi tunavyopendwa. Imagine mimi nilinyonya miaka 7 na nusu mizima. Yaani nakwenda kuchunga nikirudi nafikia kupata balanced diet kwa mama [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

View attachment 2588605
😂😂😂😂Mpwa
 
First bon ni kiongozi always, ww kama una date na mtu wa aina hiyo na hauna moango bora umwambie mapema.
Na hawapend longolongo hasa Ke, ukiwa na manzi first born uwe matured aisee wengi wao wana utu uzima wakati watoto.
 
Kumbe wewe ni last born!! Ndio maana🙆🙆🙆

Omba Mungu mtoto wako wa mwisho asiwe wa kiume🤣🤣🤣🤣
First/last born wangu ni wa kike...na ni ngangari balaa hana hata chembe za ulast born hata kidogo labda tu kununa nuna bila sababu za msingi 😁😁😁
 
Mmefikiwa 😂😂😂
Mkisemwa Sasa mama utamsikia niachieni mwanangu mnamyanyasa😂😂😂😂
We acha tu...

Nimefaudu sana nyama za kufichiwa na mama. That woman dah! Apumzike salama kwa kweli. Hakuna upendo kama wa mama na last born wake wanaoshibana aisee 😁😁❤️❤️❤️
 
😂😂😂😂Mpwa
True story mpwa...

Nakumbuka mpaka ile siku lizee limoja hivi likorofi na lenye wivu sana pale kijijini liliponitisha eti litakuja kuniua likiniona nanyonya tena ndo nikaacha dah! Wakati nilikuwa nimepanga mpaka nigonge teni yiazi ndo naacha 😁
 
We acha tu...

Nimefaudu sana nyama za kufichiwa na mama. That woman dah! Apumzike salama kwa kweli. Hakuna upendo kama wa mama na last born wake wanaoshibana aisee 😁😁❤️❤️❤️
Apumzike Kwa amani
Angekuwepo nafikir had sahiz kesi ungekuwa unazipeleka "mama bhna mkweo siku ya Tatu kaninunia hapiki"🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom