How mnaweza ku date na last born?

How mnaweza ku date na last born?

.......mimi nipo hapa sio last born, ingawa pia sio first wala middle born, anyway mjitahidi wanawake kuwaepuka hao lastborn maana wengi wao ndo wana hizo tabia za kina Achraf Hakimi.....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaume last borns ni majanga walah!! Utatamani uvichape makofi wakati mwingine, hawajawahi kuwa wa maana!!!
Leo last borns tunalo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]

Mara nyingi ni wivu tu ndo unawasumbuaga mkiona jinsi tunavyopendwa. Imagine mimi nilinyonya miaka 7 na nusu mizima. Yaani nakwenda kuchunga nikirudi nafikia kupata balanced diet kwa mama [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Screenshot_20230415_144447_Chrome.jpg
 
Aahahah tumefikiwa

Ila ni kuwa sisi malast born tunaapenda antetion sana yaani kama ivi ukirud nyumban unaulizwa umekula mama anasema haya mkangieni mtoto mayai kachukue soda kwenye frig

Na kwenye mahusihano ivyo ivyo na tunapendwa sana kudekezwa na wapenzi wetu
 
Mnapenda kutusema sana malast born sjui mnatuchukuliaje
Babymama wangu ananiambiga nina kisirani sana sjui nikoje nabaki Kumshangaa maana hata sielew iko kisirani nimekito wap
 
Mnapenda kutusema sana malast born sjui mnatuchukuliaje
Babymama wangu ananiambiga nina kisirani sana sjui nikoje nabaki Kumshangaa maana hata sielew iko kisirani nimekito wap
Hata mimi huwa nashutumiwa hivyo hivyo wakati ni mtu simple sana na poa kishenzi. Last borns tunaonewa sana aisee na kubebeshwa mituhuma isiyo yetu!
 
Back
Top Bottom