Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa 🙂Wew acha tu best
Wewe kama sio parody basi ni dem mpuuzi kuliko wote nchi hii.Guys huyu last born kanishinda jaman mwanaume mda wote my momy my dady oh jaman nime mchoka nataman kumuacha
Nilikuwa napenda sana kulala ukutani, ila umri unavyo nachukia kulala ukutaniLast born wanadeka sio MWANAUME sio MWANAMKE....hata kitandani atataka alale ukutani....
Last born anakikombe chake ukikitumia anazila au kugoma kukitumia.........
Ni raha sana kudate na first born wa jinsia yoyote.
Ila tatizo huanza wa kike akifika umri fulani hukazania ndoa kichizi, ukidate na first born unaenjoy sana coz wanajua mengi.
Parody..Wewe kama sio parody basi ni dem mpuuzi kuliko wote nchi hii.
Threads zako za kipuuzi sana
🤓🤓Nilikuwa napenda sana kulala ukutani, ila umri unavyo nachukia kulala ukutani
Leo last borns tunalo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaume last borns ni majanga walah!! Utatamani uvichape makofi wakati mwingine, hawajawahi kuwa wa maana!!!
🤓Leo last borns tunalo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mara nyingi ni wivu tu ndo unawasumbuaga mkiona jinsi tunavyopendwa. Imagine mimi nilinyonya miaka 7 na nusu mizima. Yaani nakwenda kuchunga nikirudi nafikia kupata balanced diet kwa mama [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2588605
Hata mimi huwa nashutumiwa hivyo hivyo wakati ni mtu simple sana na poa kishenzi. Last borns tunaonewa sana aisee na kubebeshwa mituhuma isiyo yetu!Mnapenda kutusema sana malast born sjui mnatuchukuliaje
Babymama wangu ananiambiga nina kisirani sana sjui nikoje nabaki Kumshangaa maana hata sielew iko kisirani nimekito wap
Hata mimi huwa nashutumiwa hivyo hivyo wakati ni mtu simple sana na poa kishenzi. Last borns tunaonewa sana aisee na kubebeshwa mituhuma isiyo yetu!