How rich is Kenya?

How rich is Kenya?

Wewe ni mujinga sana. Wewe tingisha kichwa uone kama ubongo bado iko. Ninakuambia kuwa UK haina rasilimali ya dhahabu halafu wewe unaenda kunigooglia gold reserves? Hivi wewe hujui kuwa hizo gold zimetoka Africa au Peru au nchi nyingine? Wazungu wamenunua dhahabu from the market na kuifungia kwenye kabati. Hio ndio inaitwa gold reserve. Unaenda sokoni na kununua dhahabu na kuifungia kwenye central bank vault. Hio ndio inaitwa gold reserve. Bantugbro alikuwa anazungumzia kuhusu dhahabu iliyo ardhini. Nikamueleza kuwa hata UK na Europa hawana hio dhahabu iliyo ardhini halafu ukakimbia kuniletea gold reserves. Wacha ujinga.
Pwahahaha!!! Moto umekuchoma kwenye makalio
 
Ubongo wako upon kwenye kiuno.
Screenshot_20201121-164709.png

Show us your assets.
 
Switzerland, Germany, Belgium, UK hazina rasilimali yoyote kama dhahabu, diamond e.t.c. Kwa hivyo kulingana na wewe hizo nchi ni masikini kwa sababu hazina rasilimali?
Are you sure, hao central banks zao wame-accumulate dhahabu/bulluons za karibia nchi zote duniani, acha diamonds na madini mengine yote huishia kwao, sasa ndio hutumia hizo ku stabikuse their currencies na economies. Aisee kumbe hujui uchumi wa dunia unaendeshwa vipi.
 
Sasa wewe unaweza kunifunza nini kuhusu uchumi? Tulikuwa tunaargue kuhusu rasilimali zilizo ardhini lakini sasa umeamua kubadilisha gear angani. Okay wacha debate iishe.
 
Weka taarifa ya 2020 mumekomea na history sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii hapa ya 2020 kuhusu Tanzania, mume ipiku Ethiopia ambao waliongoza East Africa region kwa muda mrefu naona wanapata nafuu.[emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23]
View attachment 1631484
Hebu muwe mnachakata vizuri hizo bongo zenu, maana hamieleweki.
Nigeria iko na 70M ya extremely poor people, lakini uchumi wake hakuna East African County ya kumshika. So, pop'n ya extremely poverty sio kigezo cha kuikandio Ethiopia au Tz. Nadhani kuna factor nyingi za kuangalia.
 
Fun Fact:
Kenya has the third biggest economy in Sub-Saharan Africa after Nigeria and South Africa.

The third biggest economy whose people die of starvation, then what good is the economy you are proud of.

Please have a look:
Screenshot_20201116-063352.png
 
Ndio kawaida ya kingereza kuendelea kuwatesa Watanzania, few know the meaning of "Sub-Saharan Africa"
Nimesema Sub-Saharan Africa!!!
Kwani hujui kusoma Geza? Kwani Egypt, Morocco na Algeria zipo Sub-Saharan Africa? Usichukie Kenya sana hivyo mzee wetu.
Bango gani na Mbongo mwenzako Geza Ulole hajui maana ya Sub-Saharan Africa. MK254 alikuwa tu anamfahamisha Geza maana ya neno Sub-Saharan Africa.
Let me put you two on some game.

The term sub Saharan, is racist to its core but it seems you're not smart enough to understand its connotation. Those who coined the term understood that in order to keep the narrative, "Africa is a dark continent", they'd to separate some of its history from its people.

When Europeans keep telling the whole world that Africans didn't contribute anything to civilization but then you have them big ass pyramids (from Sudan to Egypt) telling to their faces that they're damn liars, they'd to come up with something.

To solve this ambiguity, they invented the term Sub Saharan. And for you two to cherish that stupidity, it makes me sick to my stomach. There is only one Africa, and by any means, we are not sub of anything. Now if you guys don't know the meaning of 'sub' then we have a much bigger problem.
 
Let me put you two on some game.

The term sub Saharan, is racist to its core but you're not smart enough to understand its connotation. Those who coined the term understood that in order to keep the narrative, "Africa is a dark continent", they'd to separate some of its history from its people.

When Europeans keep telling the whole world that Africans didn't contribute anything to civilization but then you have big ass pyramids (from Sudan to Egypt) telling to their face that they're damn liars, they'd to come up with something.

To solve this ambiguity, they invented the term Sub Saharan. And for you two to cherish that stupidity, it makes me sick to my stomach.

wanaelewa wapi hawa wazembe!!!!

unajiuliza,SA na Nigeria zinajikutaje kwenye kapu moja la kikanda kama sio kwa kigezo cha rangi ya ngozi???

vimekariri tu.
 
Let me put you two on some game.

The term sub Saharan, is racist to its core but it seams you're not smart enough to understand its connotation. Those who coined the term understood that in order to keep the narrative, "Africa is a dark continent", they'd to separate some of its history from its people.

When Europeans keep telling the whole world that Africans didn't contribute anything to civilization but then you have big ass pyramids (from Sudan to Egypt) telling to their face that they're damn liars, they'd to come up with something.

To solve this ambiguity, they invented the term Sub Saharan. And for you two to cherish that stupidity, it makes me sick to my stomach. There is only one Africa, and by any means, we are not sub of anything. Now if you guys don't know the meaning of "sub", then we have a much bigger problem.
I already know the history of that term. It is a widely used term so it doesn't matter what we feel about it, people are already using it.
 
wanaelewa wapi hawa wazembe!!!!

unajiuliza,SA na Nigeria zinajikutaje kwenye kapu moja la kikanda kama sio kwa kigezo cha rangi ya ngozi???

vimekariri tu.
Sasa kwa watu weusi Kenya ni ya tatu.
 
Before kenyans coming here arrogantly boasting their economic prowess in East Africa, they should, in the first place, address the issue of hunger and starvation and the Covid 19 in their country which has been a torment for many years.

Then what good is your economy you boast for while millions of your citizens die of hunger every year, if you are sane enough you have to ponder over those catastrophes you face before coming here boasting for stupor.
 
Immaculate looking buildings but why then going with hunger annually???.

Immaculate buildings with citizens starving annually, that is purely barbaric capitalist economy where very few people profit with the immense economic gain in reverse leaving mass suffer the consequences.

Next time Unapokuja hapa na thread uwe umekula na kushiba ili akili yako iwe sawa, kwani nyinyi ni watu wa njaa kila siku na njaa yenu hivi sasa imetoka tumboni na kuhamia kichwani.
 
Back
Top Bottom