FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Yet Tanzania has more millionaires than Kenya, Uganda and Burundi combinedFun fact:
Kenya's GDP = GDPs of Tanzania + Uganda + Burundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yet Tanzania has more millionaires than Kenya, Uganda and Burundi combinedFun fact:
Kenya's GDP = GDPs of Tanzania + Uganda + Burundi
Nani aliyekwambia Geza ni msomi? Yeye in dereva wa daladala pale Mbagala.Nimesema Sub-Saharan Africa!!!
Kwani hujui kusoma Geza? Kwani Egypt, Morocco na Algeria zipo Sub-Saharan Africa? Usichukie Kenya sana hivyo mzee wetu.
What if I gave you this link https://moguldom.com/231502/10-african-countries-with-the-most-super-rich-residents/ where your country doesn't even feature in the top ten African countries? Will you deny? Ofcourse.Yet Tanzania has more millionaires than Kenya, Uganda and Burundi combined
Wewe ni kondoo ya kutoka wapi? Hakuna nchi yoyote ambako milioni ya watu wanakufa kwa njaa kila mwaka. Hata Yemen ambako kuna hunger hawakufi milioni kwa mwakaBefore kenyans coming here arrogantly boasting their economic prowess in East Africa, they should, in the first place, address the issue of hunger and starvation and the Covid 19 in their country which has been a torment for many years.
Then what good is your economy you boast for while millions of your citizens die of hunger every year, if you are sane enough you have to ponder over those catastrophes you face before coming here boasting for stupor.
Wewe unajua Wakenya wangapi wanakufa kwa njaa kila mwaka? Hawajafikisha kumi.Before kenyans coming here arrogantly boasting their economic prowess in East Africa, they should, in the first place, address the issue of hunger and starvation and the Covid 19 in their country which has been a torment for many years.
Then what good is your economy you boast for while millions of your citizens die of hunger every year, if you are sane enough you have to ponder over those catastrophes you face before coming here boasting for stupor.
Mimi niko very confident kwamba nina pesa kukushinda. Usiniletee huo upuzi wako wa kudhani kila Mkenya ni masikini kama wewe.Immaculate looking buildings but why then going with hunger annually???.
Immaculate buildings with citizens starving annually, that is purely barbaric capitalist economy where very few people profit with the immense economic gain in reverse leaving mass suffer the consequences.
Next time Unapokuja hapa na thread uwe umekula na kushiba ili akili yako iwe sawa, kwani nyinyi ni watu wa njaa kila siku na njaa yenu hivi sasa imetoka tumboni na kuhamia kichwani.
Hahaha. Cc Geza Ulole huyu jamaa amekudharau sana. Julnd Geza ni msomi. Najua kwa sababu quality ya mawazo yake iko juu sana. Anawaza kama msomi na anajua mengi so yeye ni msomiNani aliyekwambia Geza ni msomi? Yeye in dereva wa daladala pale Mbagala.
Mimi niko very confident kwamba nina pesa kukushinda. Usiniletee huo upuzi wako wa kudhani kila Mkenya ni masikini kama wewe.
Wewe ni kondoo ya kutoka wapi? Hakuna nchi yoyote ambako milioni ya watu wanakufa kwa njaa kila mwaka. Hata Yemen ambako kuna hunger hawakufi milioni kwa mwaka
Wewe unajua Wakenya wangapi wanakufa kwa njaa kila mwaka? Hawajafikisha kumi.
Mimi niko very confident kwamba nina pesa
Sasa nitakujibu vipi kama unadanganya kuwa millions of Kenyans wanakufa njaa kila mwaka? Ebu leta evidence, hapa JF tunadeal na evidence sio masengenyo ya kike unayoleta hapa.Kwanza umekula na kushiba???
Kama Kenya kuna millions za watu wanakufa njaa kila mwaka kwanini wewe unakuja kututambia hapa kwamba Kenya ni nchi ya tatu katika Afrika kwa uchumi!!!
Lakini hujatuambia Kenya ni nchi ya ngapi katika Afrika watu wake kufa njaa!!.
Kama wewe ni tajiri basi ujue kuna nduguzo huko wanakufa kwa njaa, sasa kama wewe huna njaa ya tumboni basi unayo njaa ya KICHWANI, ilikupasa kujitahidi kuiambia serikali yako ijitahidi kupambana na njaa za wananchi wake sambamba na nguvu za kiuchumi mnazotutambia lakini wewe ni mkabila na mbinafsi kutokana na njaa ya kichwani.
Sasa unapokuja na andiko lolote kuhusu utsjiri wa nchi yenu ya kenya pia ninakuomba utuambie ni hatua gani mnazichukua kudhibiti njaa ya milions ya watu wenu kila mwaka.
Any economic gain of a country is useless if it can not cater its citizens wellbeing.
Najua umekasirika.
Mbona una hasira sana ama mke katoroka?Hata wakifa milions of them nyie mnaweza kutangaza??? Si mtataka kuficha aibu!, hata hao wachache waliokufa ni aibu kwa taifa lenye uchumi mkubwa next after SA, ni aibu mnashindwa kuwalisha watu less than ten hadi wanapoteza maisha??!!, hata kufanya Harambeee kutoka kwa matycoon wa Nairobi mmeshindwa???
Hata kuomba msaada wa chakula kutoka Tz mmeshindwa??
Sisi watz uchumi wetu sio that big like yours lakini tusingshindwa kuwalisha hao Wakenya waliokufa njaa kwa miaka 10 or so. Sisi tuko na (tunayo) huruma na hatuna ukabila.
Kenyans are self centred and tribalists.
Sasa nitakujibu vipi kama unadanganya kuwa millions of Kenyans wanakufa njaa kila mwaka? Ebu leta evidence, hapa JF tunadeal na evidence sio masengenyo ya kike unayoleta hapa.
Mbona una hasira sana ama mke katoroka?
Wakati kulikuwa na tetemeko la ardhi nchini kwenu nchi ya kwanza kutuma msaada huko kwenu ilikuwa ni Kenya.Sina hasira my fellow east African, ninayo masikitiko kwamba kama Kenya uchumi wake n8 mkubwa just next to SA na mamilion ya Raia wake kila mwaka hushikwa na njaa na makumi kadhaa hufa mnashindwa kununua chakula cha kutosha na kukihifadhi, je kama njaa kama hiyo itatokea Tz (God forbid) maana yake kamwe tusitaraji msaada wowote wa Chakula kutoka Kenya.
Roho zenu ni mbaya kama capitalists.
Lenin alipata kusema; Kapitalists wapo hivi,atakuuzia hata kamba ya kumnyongea yeye.🤣
Sio kwamba serikali haiwezi kuafford kununua chakula bali ni kuwa serikali yetu saa zingine huwa inawatelekeza watu wanaoishi kaskazini mwa Kenya. Lakini Ugatuzi ulipokuja, sasa watu wa kaskazini mwa Kenya wana serikali yao ndogo ambayo inaweza kuwashugulikia bila ya wao kutegemea serikali kuu kwa misaada ya chakula.Sina hasira my fellow east African, ninayo masikitiko kwamba kama Kenya uchumi wake n8 mkubwa just next to SA na mamilion ya Raia wake kila mwaka hushikwa na njaa na makumi kadhaa hufa mnashindwa kununua chakula cha kutosha na kukihifadhi, je kama njaa kama hiyo itatokea Tz (God forbid) maana yake kamwe tusitaraji msaada wowote wa Chakula kutoka Kenya.
Roho zenu ni mbaya kama capitalists.
Lenin alipata kusema; Kapitalists wapo hivi,atakuuzia hata kamba ya kumnyongea yeye.🤣