Kwn nyinyi mnataka serekali ndio wawape bure vyakula sio..[emoji23]hatujawahi kupewa chakula bure,sio serikali wala wananchi tokea mwaka 1988.
lakini kenya imechukua msaada wa mahindi kutoka UAE mwaka jana tu hapo.
na mnatuita wavivu,maana hamjui maana ya maneno ya kiswahili.
We mwehu nini, rudi juu ukasome kichwa cha uzi kwanza wacha kukurupuka na wivu uliokithirikenya section ndo mnatuinclude kwenye takwimu zenu bogus za kwenye makaratasi???
Kwn nyinyi mnataka serekali ndio wawape bure vyakula sio..[emoji23]
UAE wameleta kwhyo ilikua tukatae, mbna kdf waliookuja hko kwenu hamkuikataa misaada
Drought sio janga[emoji23][emoji23]msaada unapelekewa kitu ambacho unahitaji shushuu mbona huelewi[emoji16][emoji16][emoji16]
wakati wa majanga sina shida,hata nyinyi mpewe mahindi wakati wa vurugu za uchaguzi au vita sina neno.
saa hizi unapewa msaada wa mahindi,wameona una njaa huna chakula[emoji23][emoji23].
Angola ?Fun Fact:
Kenya has the third biggest economy in Sub-Saharan Africa after Nigeria and South Africa.
Drought sio janga[emoji23][emoji23]
Hivi kiswahili ulisomea wapi jomba[emoji122][emoji122][emoji122]
Hapa leo hutoki, hata ukijeuzia gear angani
Kama nyie mnatumia akili mbona nyie ni masikini kutushinda?unaelewa maana ya janga kweli!!!!
sisi mafuriko dsm hatuwezi ita janga,maana tunayatarajia kila mvua inaponyesha.
ndio maana kuna mwenzako nilimwambia,tofauti yenu na sisi ni matumizi sahihi ya akili.
relaxxx.... mbona unajibu kwa mihemko babu! siwez onea wivu hio nchi umekula kwanza???We mwehu nini, rudi juu ukasome kichwa cha uzi kwanza wacha kukurupuka na wivu uliokithiri
Kama nyie mnatumia akili mbona nyie ni masikini kutushinda?
Haha!!soma kichwa cha uzi alafu urudi, unakuja kulalama hapa nkm mumetajwarelaxxx.... mbona unajibu kwa mihemko babu! siwez onea wivu hio nchi umekula kwanza???
Bado mumetuzidi na hao maskini wa chini wa $1.9..umasikini ni mtambuka.
masikini chini ya $1.9,sio sawa na masikini anayekufa njaa.
Bado mumetuzidi na hayo maskini wa chini wa $1.9..
Au unabisha
Eeeee!!naona akili zenu mnazitumia ipasavyo kabisa kurekebisha madaraja yanayovujika kila msimu wa mvua hku jangwani kenge wakikatiza mjini kila mvua zinaponyesha..unaelewa maana ya janga kweli!!!!
sisi mafuriko dsm hatuwezi ita janga,maana tunayatarajia kila mvua inaponyesha.
ndio maana kuna mwenzako nilimwambia,tofauti yenu na sisi ni matumizi sahihi ya akili.
Leo wamekufa wangapi[emoji23][emoji23]nimekwambia masikini wa $1.9 ana afadhali kuliko masikini anayekufa njaa.
au unataka kusema tunakufa njaa kiwazidi[emoji23][emoji23][emoji23].
Bwahahaha!!uliiteje uliiteje hayatuhusu lkn nimefurahi kuona ya kwamba mumetuzidi akili linapokuja swala la kujipanga na mambo km hayo..wewe ni kuku tu,kwa namna unafikiri.
hatuwezi ita hilo ni janga maana linafahamika kila wakati maji yanajaa hapo.hata ukileta maaada kwa janga la masaa kama hili hatupokei.
Kagera kdf walitinga wakakuta jwtz bado wanajipaka poda ndio waanze msafara..
Afadhali ukakubali km serekali haitoi msaada wa chakula manake magu hakuna siku na wala msitarajie km atagawa chakula bure..
Sasa mbona unataka kenya tuwagawie watu wetu bure[emoji23][emoji23]
Hata sisi wanapokumbwa huaga kuna watu huwaletea msaada sio lazima serekali iwape chakula manake sio kazi yake hyo..
Drought haikwepeki jomba, kisha km ni mgao wa hela gatuzi la turkana ni kati ya yale yanayopokea mpunga mnono sana..Wewe ni Muongo, serikali yenu hutoa pesa kukabiliana na njaa lakini huwa hazitoshi kwasababu ya ubahili wenu na Ukabila, wanaokufa kwa njaa huko sio wakikuyu.
Sisi hata kama serikali haikutoa fedha ya maafa ya tetemeko huko kagera, shida ya watu wa kagera haikuwa ni maafa ya njaa, yalikuwa ni maafa ya tetemeko lililotokea kwa mara ya kwanza , nyie kila mwaka mamilioni ya Wakenya hushikwa na njaa na wengine hufa wewe huoni tofauti hapo???, maafa yenu ya njaa ni "routine".
Drought haikwepeki jomba, kisha km ni mgao wa hela gatuzi la turkana ni kati ya yale yanayopokea mpunga mnono sana..
Hayo yako ya ukabila hayawezi yaka make sense, ilitakiwa aulizwe gavana wao ana mipango gani katika county yako..
We unakuja hapa kubwetuka tu mara sijui serikali, wakikuyu kumbe hujui lolote..
Alafu sasa magu bahili sana, tetemeko watu makaazi yao yameharibiwa na pia vile vile kuna wengine walibaki watupu kisha unakuja kujisifia tetemeko..