How rich is Kenya?

How rich is Kenya?

hatujawahi kupewa chakula bure,sio serikali wala wananchi tokea mwaka 1988.

lakini kenya imechukua msaada wa mahindi kutoka UAE mwaka jana tu hapo.

na mnatuita wavivu,maana hamjui maana ya maneno ya kiswahili.
Kwn nyinyi mnataka serekali ndio wawape bure vyakula sio..[emoji23]
UAE wameleta kwhyo ilikua tukatae, mbna kdf walipokuja hko kwenu hamkuikataa misaada
 
Kwn nyinyi mnataka serekali ndio wawape bure vyakula sio..[emoji23]
UAE wameleta kwhyo ilikua tukatae, mbna kdf waliookuja hko kwenu hamkuikataa misaada

msaada unapelekewa kitu ambacho unahitaji shushuu mbona huelewi[emoji16][emoji16][emoji16]

wakati wa majanga sina shida,hata nyinyi mpewe mahindi wakati wa vurugu za uchaguzi au vita sina neno.

saa hizi unapewa msaada wa mahindi,wameona una njaa huna chakula[emoji23][emoji23].
 
Drought sio janga[emoji23][emoji23]
Hivi kiswahili ulisomea wapi jomba[emoji122][emoji122][emoji122]
Hapa leo hutoki, hata ukijeuzia gear angani
 
Drought sio janga[emoji23][emoji23]
Hivi kiswahili ulisomea wapi jomba[emoji122][emoji122][emoji122]
Hapa leo hutoki, hata ukijeuzia gear angani

unaelewa maana ya janga kweli!!!!

sisi mafuriko dsm hatuwezi ita janga,maana tunayatarajia kila mvua inaponyesha.

ndio maana kuna mwenzako nilimwambia,tofauti yenu na sisi ni matumizi sahihi ya akili.
 
unaelewa maana ya janga kweli!!!!

sisi mafuriko dsm hatuwezi ita janga,maana tunayatarajia kila mvua inaponyesha.

ndio maana kuna mwenzako nilimwambia,tofauti yenu na sisi ni matumizi sahihi ya akili.
Kama nyie mnatumia akili mbona nyie ni masikini kutushinda?
 
Bado mumetuzidi na hayo maskini wa chini wa $1.9..
Au unabisha

nimekwambia masikini wa $1.9 ana afadhali kuliko masikini anayekufa njaa.

au unataka kusema tunakufa njaa kiwazidi[emoji23][emoji23][emoji23].
 
unaelewa maana ya janga kweli!!!!

sisi mafuriko dsm hatuwezi ita janga,maana tunayatarajia kila mvua inaponyesha.

ndio maana kuna mwenzako nilimwambia,tofauti yenu na sisi ni matumizi sahihi ya akili.
Eeeee!!naona akili zenu mnazitumia ipasavyo kabisa kurekebisha madaraja yanayovujika kila msimu wa mvua hku jangwani kenge wakikatiza mjini kila mvua zinaponyesha..

Hzo akili naona ni nzuri sana
 
wewe ni kuku tu,kwa namna unafikiri.

hatuwezi ita hilo ni janga maana linafahamika kila wakati maji yanajaa hapo.hata ukileta maaada kwa janga la masaa kama hili hatupokei.
Bwahahaha!!uliiteje uliiteje hayatuhusu lkn nimefurahi kuona ya kwamba mumetuzidi akili linapokuja swala la kujipanga na mambo km hayo..

Mwaka kesho pia naona mshajipanga kurekebisha madaraja yatayovunjwa na mvua kali hku dar barabara ya jangwani ifungwe tena
 
Kagera kdf walitinga wakakuta jwtz bado wanajipaka poda ndio waanze msafara..

Afadhali ukakubali km serekali haitoi msaada wa chakula manake magu hakuna siku na wala msitarajie km atagawa chakula bure..
Sasa mbona unataka kenya tuwagawie watu wetu bure[emoji23][emoji23]

Hata sisi wanapokumbwa huaga kuna watu huwaletea msaada sio lazima serekali iwape chakula manake sio kazi yake hyo..

Wewe ni Muongo, serikali yenu hutoa pesa kukabiliana na njaa lakini huwa hazitoshi kwasababu ya ubahili wenu na Ukabila, wanaokufa kwa njaa huko sio wakikuyu.

Sisi hata kama serikali haikutoa fedha ya maafa ya tetemeko huko kagera, shida ya watu wa kagera haikuwa ni maafa ya njaa, yalikuwa ni maafa ya tetemeko lililotokea kwa mara ya kwanza , nyie kila mwaka mamilioni ya Wakenya hushikwa na njaa na wengine hufa wewe huoni tofauti hapo???, maafa yenu ya njaa ni "routine".
 
Drought haikwepeki jomba, kisha km ni mgao wa hela gatuzi la turkana ni kati ya yale yanayopokea mpunga mnono sana..

Hayo yako ya ukabila hayawezi yaka make sense, ilitakiwa aulizwe gavana wao ana mipango gani katika county yako..
We unakuja hapa kubwetuka tu mara sijui serikali, wakikuyu kumbe hujui lolote..

Alafu sasa magu bahili sana, tetemeko watu makaazi yao yameharibiwa na pia vile vile kuna wengine walibaki watupu kisha unakuja kujisifia tetemeko..
 
Mnahabari za Seychelles na mauritius?majirani hali zenu tunazijua wengi mko taabani kwenye vibanda umiza msipagawe na ghorofa za hapo CBD hizo zipo kenya yes lakini sio mali ya kila mkenya zina wenyewe
 
Drought haikwepeki jomba, kisha km ni mgao wa hela gatuzi la turkana ni kati ya yale yanayopokea mpunga mnono sana..

Hayo yako ya ukabila hayawezi yaka make sense, ilitakiwa aulizwe gavana wao ana mipango gani katika county yako..
We unakuja hapa kubwetuka tu mara sijui serikali, wakikuyu kumbe hujui lolote..

Alafu sasa magu bahili sana, tetemeko watu makaazi yao yameharibiwa na pia vile vile kuna wengine walibaki watupu kisha unakuja kujisifia tetemeko..

Tetemeko sio njaa, na tetemeko halitokei kila mwaka, njaa kwenu ni sawa na pete na chanda.

Dunia haijui mambo ya County, dunia inajua nchi ya Kenya ambamo Mamilioni ya raia wake hukumbwa na baa la njaa kila mwaka na makumi kadhaa hufa.

Na uzuri zaidi ni your own local media which publicise the news to the world, nisingejua habari hiyo kama nisingesoma kupitia media zenu, na hao waandishi wenu wanalaumu serikali yenu kwa kuzembea juu ya suala hilo ambalo limekuwa ni chronic, hawalaumu County na magavana wake.
 
Back
Top Bottom