mossad007
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,165
- 852
Nafikiri Hapo Kuna wrong au labda some missing information pia... Intelligence system haiko uniform World wide. Ukisoma Sheria iliyoanzisha TISS inaeleza wazi kua TISS as an Institution sio Law Enforcer ndio hapo kusema hawabebi silaha tho ni ma-expert pia. Ila kuna Bureau ya Military Intelligence hata TPDF ipo huku hali ni tofauti hawa wana Agents wa kuperform covert Operations when "necessary" nasisitiza tena when necessary maana yake utumikaji wao ni wa at very minimal occasions na hapa sio major Operations mara nyng ni zile tu za kudeal na individuals mmoja mmoja wanaotishia Usalama wa nchi. Kwa kesi ya Rwanda fuatilia assasinations za Patrick Karegeya na wengineo.
Nenda Israel wana kikosi Maalum kinaitwa "Kidon" (inatamkwa Kaidon) kiko within Mossad, Specialized Assasins tu na lazima uwe umetoka kwenye moja kati ya Special Force Units either Sayeret Matkal (Land), Sayetet 13 (Navy), Shaldag (Airforce) au Yaamam ( kwao ni sawa na FBI) Kidon wengi ni recruit wa Sayeret Matkal cz wanafanya Operation nyng pamoja mfano Spring of Youth na nyingnezo.
So within Intelligence Society kuna different genres za watendaji tena wengne ni civilians tu wanakua recruited kwa special task, hii wanafanya sana DEA (Drug & Enforcement Agency) ya Marekani ili ku infiltrate Mafia ring societies kwenye ishu za madawa ya kulevya, au yule daktari aliyeeta kutoa chanjo kwenye nyumba ya Osama kupata DNA kwa watoto wake, au spy maarufu sana Msyria aliyetumiwa na waisrael Eli Cohen hawa ni Civilians tu waliokua recruited cz wako within the ring of informations.