How to Become an Intelligence Officer

How to Become an Intelligence Officer

Nafikiri Hapo Kuna wrong au labda some missing information pia... Intelligence system haiko uniform World wide. Ukisoma Sheria iliyoanzisha TISS inaeleza wazi kua TISS as an Institution sio Law Enforcer ndio hapo kusema hawabebi silaha tho ni ma-expert pia. Ila kuna Bureau ya Military Intelligence hata TPDF ipo huku hali ni tofauti hawa wana Agents wa kuperform covert Operations when "necessary" nasisitiza tena when necessary maana yake utumikaji wao ni wa at very minimal occasions na hapa sio major Operations mara nyng ni zile tu za kudeal na individuals mmoja mmoja wanaotishia Usalama wa nchi. Kwa kesi ya Rwanda fuatilia assasinations za Patrick Karegeya na wengineo.

Nenda Israel wana kikosi Maalum kinaitwa "Kidon" (inatamkwa Kaidon) kiko within Mossad, Specialized Assasins tu na lazima uwe umetoka kwenye moja kati ya Special Force Units either Sayeret Matkal (Land), Sayetet 13 (Navy), Shaldag (Airforce) au Yaamam ( kwao ni sawa na FBI) Kidon wengi ni recruit wa Sayeret Matkal cz wanafanya Operation nyng pamoja mfano Spring of Youth na nyingnezo.

So within Intelligence Society kuna different genres za watendaji tena wengne ni civilians tu wanakua recruited kwa special task, hii wanafanya sana DEA (Drug & Enforcement Agency) ya Marekani ili ku infiltrate Mafia ring societies kwenye ishu za madawa ya kulevya, au yule daktari aliyeeta kutoa chanjo kwenye nyumba ya Osama kupata DNA kwa watoto wake, au spy maarufu sana Msyria aliyetumiwa na waisrael Eli Cohen hawa ni Civilians tu waliokua recruited cz wako within the ring of informations.
 
if you are not good at writing how will you write your reports??

sio kwamba sijui kuandika ripoti, ni kitu rahisi sana.. ila nilivyoelewa mimi writing kwa maana ya kupenda kuandika vitu kama makala n.k naweza kuandika ila sio mpenzi wa kuandika but am reading alot coz napenda kujua vitu napenda kuwa well informed. basi tu inatokea kiubinadamu kuwa unapenda kitu fulani zaidi kuliko kingine..
 
Wakati tupo jkt miaka ya tisini walikuja hoo jamaa Ku recruit vijana. Ilikuwa lazima uwe umemaliza form six na kufauru vizuri. Mie bahati mbaya Mzee Wangu alinionya mapema nisiombe kujiunga hivyo walipokuja Mie sikujihusisha nao.

Marafiki zangu wawili walifanyiwa interview na kuambiwa wafike Dar sehemu fulani Samora lakini kila mmoja alipewa instructions zake tofauti na mwenzie. In fact wala hawakujua kama wanaenda safari moja. Kila mmoja alipewa time yake ya kuripoti kwa ajiri ya second interview.

Hapo Samora Avenue, kwa maelezo maelezo yao kuna kijumba kichochoroni .. Waliambiwa wakifika kila mtu kwa muda alioambiwa of course , watakuta bench wakae lakini wasibishe hodi. Muda kila mmoja wao alioambiwa ulipofika dirisha linafunguka sauti inataja jina lako Kuwa upite ndani. Uchukue bahasha ipo mezani na kuondoka. Nakweli walipoingia Ndani wakakuta hiyo bahasha. kwa kutetemeka kila mtu alifata maagizo. Ndani ya bahasha kuna tiketi ya treni kuelekea kule walipotoka. Maagizo mengine ni kuripoti kwa DC pindi wakishuka kwenye treni.

Walipifika kwa DC walikuta maelezo na usafiri wa kurudi kambini.

Watu hao wawili walipitia the same experience bila kuonana mpaka walipokutana tena kambini. Safari nzima hawakuonana na mtu yeyote toka ofisini iliyowaita Dar.

Kwa woga hawakusimulia hii kitu Mpaka kama wiki moja kabla ya kumaliza intake yetu. Ajabu ni kwamba kila mtu kati yako alishangaa kwa nini alikuwa safari moja bila kuonana japo alikuwa combania moja.

Sijui nini kiliwapata toka hali maana kila mtu alitawanyika baada ya kumaliza muda wetu
 
mossad007
Nenda Israel wana kikosi Maalum kinaitwa "Kidon" (inatamkwa Kaidon) kiko within Mossad hawa ni Specialized Assasins tu na lazima uwe umetoka kwenye moja kati ya Special Force Units either Sayeret Matkal (Land), Sayetet 13 (Navy), Shaldag (Airforce) au Yaamam ( kwao ni sawa na FBI) Kidon wengi ni recruit wa Sayeret Matkal cz wanafanya Operation nyng pamoja mfano Spring of Youth na nyingnezo.

Mkuu umenikumbusha "By way of deception" ya Victor Ostroversky

Operation Bayonetta aka God's Wrath na Michael Hariri
 
Mkuu umenikumbusha "By way of deception" ya Victor Ostroversky

Operation Bayonetta aka God's Wrath na Michael Hariri

Michael Hariri was senior master minder wa Operations nying zilizo involve Kidon. Kama sio kuharibu kule Norway kwenye Series ya Spring of Youth kwa kumfananisha inocent civilian na Hassan Salameh alikua apewe u deputy mbeleni. He was called home and given desk tasks.
Victor Ostrovesrky kaongea mambo mengi sana cz na yy alikua key participant wa baadhi ya Operations. Nakupa heko kwa kua up to date mkuu.
 
Nafikiri Hapo Kuna wrong au labda some missing information pia... Intelligence system haiko uniform World wide. Ukisoma Sheria iliyoanzisha TISS inaeleza wazi kua TISS as an Institution sio Law Enforcer ndio hapo kusema hawabebi silaha tho ni maexpert pia. Ila kuna Bureau ya Military Intelligence hata TPDF ipo huku hali ni tofauti hawa wana Agents wa kuperform covert Operations when "necessary" nasisitiza tena when necessary maana yake utumikaji wao ni wa at very minimal occasions na hapa sio major Operations mara nyng ni zile tu za kudeal na individuals mmoja mmoja wanaotishia Usalama wa nchi. Kwa kesi ya Rwanda fuatilia assasinations za Patrick Karegeya na wengineo.
Nenda Israel wana kikosi Maalum kinaitwa "Kidon" (inatamkwa Kaidon) kiko within Mossad, Specialized Assasins tu na lazima uwe umetoka kwenye moja kati ya Special Force Units either Sayeret Matkal (Land), Sayetet 13 (Navy), Shaldag (Airforce) au Yaamam ( kwao ni sawa na FBI) Kidon wengi ni recruit wa Sayeret Matkal cz wanafanya Operation nyng pamoja mfano Spring of Youth na nyingnezo. So within Intelligence Society kuna different genres za watendaji tena wengne ni civilians tu wanakua recruited kwa sprcial task hii wanafanya sana DEA ( Drug & Enforcement Agency) ya Marekani ili ku infiltrate Mafia ring societies kwenye ishu za madawa ya kulevya au yule daktari aliyeeta kutoa chanjo kwenye nyumba ya Osama kupata DNA kwa watoto wake, au spy maarufu sana Msyria aliyetumiwa na waisrael Eli Cohen hawa ni Civilians tu waliokua recruited cz wako within the ring of informations.

Mzee kwa kweli kwa haya mambo nakunyooshea mikono, tangu enzi zile za story za enigma codes decoding, nimeshakugwaya vibaya sana,....., very likely you are among the best professionals kwenye mambo haya, it appears so!
 
Nafikiri Hapo Kuna wrong au labda some missing information pia... Intelligence system haiko uniform World wide. Ukisoma Sheria iliyoanzisha TISS inaeleza wazi kua TISS as an Institution sio Law Enforcer ndio hapo kusema hawabebi silaha tho ni maexpert pia. Ila kuna Bureau ya Military Intelligence hata TPDF ipo huku hali ni tofauti hawa wana Agents wa kuperform covert Operations when "necessary" nasisitiza tena when necessary maana yake utumikaji wao ni wa at very minimal occasions na hapa sio major Operations mara nyng ni zile tu za kudeal na individuals mmoja mmoja wanaotishia Usalama wa nchi. Kwa kesi ya Rwanda fuatilia assasinations za Patrick Karegeya na wengineo.
Nenda Israel wana kikosi Maalum kinaitwa "Kidon" (inatamkwa Kaidon) kiko within Mossad, Specialized Assasins tu na lazima uwe umetoka kwenye moja kati ya Special Force Units either Sayeret Matkal (Land), Sayetet 13 (Navy), Shaldag (Airforce) au Yaamam ( kwao ni sawa na FBI) Kidon wengi ni recruit wa Sayeret Matkal cz wanafanya Operation nyng pamoja mfano Spring of Youth na nyingnezo. So within Intelligence Society kuna different genres za watendaji tena wengne ni civilians tu wanakua recruited kwa sprcial task hii wanafanya sana DEA ( Drug & Enforcement Agency) ya Marekani ili ku infiltrate Mafia ring societies kwenye ishu za madawa ya kulevya au yule daktari aliyeeta kutoa chanjo kwenye nyumba ya Osama kupata DNA kwa watoto wake, au spy maarufu sana Msyria aliyetumiwa na waisrael Eli Cohen hawa ni Civilians tu waliokua recruited cz wako within the ring of informations.

Lakini mimi mbona jamaa zangu wa kule usalama nawaona weupe sanaa hawana hizi mbwembwe zinazoandikwa hapa.au wana special units manake mmoja yeye kazi yake kusimamia mitihani na yuko ofisi ya mkuu wa mkoa flani.siwezi kutaja mengi kwa sababu za kiusalama.then rafiki yangu mmoja ni mmoja wa wale wanaomlinda jk but sizani kama anaweza haya ma karate yanayozungumzwa hapa
 
Tuliza akili soma vzur nilichosema soma na alichosema mwanzisha thread utaelewa tu.
 
Tuliza akili soma vzur nilichosema soma na alichosema mwanzisha thread utaelewa tu.

Nimekusoma mkuu.Then unaonekana uko kwenye system unamfaham Meja Mwanga yule commandoo last time alikua military base ya mikumi huyu jamaa ni kiboko.
 
Nimekusoma mkuu.Then unaonekana uko kwenye system unamfaham Meja Mwanga yule commandoo last time alikua military base ya mikumi huyu jamaa ni kiboko.

Sounds familiar ila hii ya kumention IDs sio nzur mkuu kama umeelewa bas nashkuru kiongozi.
 
Lakini mimi mbona jamaa zangu wa kule usalama nawaona weupe sanaa hawana hizi mbwembwe zinazoandikwa hapa.au wana special units manake mmoja yeye kazi yake kusimamia mitihani na yuko ofisi ya mkuu wa mkoa flani.siwezi kutaja mengi kwa sababu za kiusalama.then rafiki yangu mmoja ni mmoja wa wale wanaomlinda jk but sizani kama anaweza haya ma karate yanayozungumzwa hapa

TISS ina vitengo kama vyombo vingine vya usalama duniani

Mfano katika CIA chombo ambacho kinahusika na paramilitary operations kinaitwa "Special activites division". Hicho ndo kinahusika na kuplan na ku execute covert operations katika sehemu za hatari

TISS ina kitengo cha usalama ndani yake ambacho ndo kinahusika na anachosema mkuu mossad007 hapo.Na kutokana na principle ya compartmentalization sio wafanyakazi wote wa TISS wanajua kinachoendelea. Kila ngazi/cheo/rank ina security clearance level yake

Ni a need to know basis
 
Nafikiri Hapo Kuna wrong au labda some missing information pia... Intelligence system haiko uniform World wide. Ukisoma Sheria iliyoanzisha TISS inaeleza wazi kua TISS as an Institution sio Law Enforcer ndio hapo kusema hawabebi silaha tho ni maexpert pia. Ila kuna Bureau ya Military Intelligence hata TPDF ipo huku hali ni tofauti hawa wana Agents wa kuperform covert Operations when "necessary" nasisitiza tena when necessary maana yake utumikaji wao ni wa at very minimal occasions na hapa sio major Operations mara nyng ni zile tu za kudeal na individuals mmoja mmoja wanaotishia Usalama wa nchi. Kwa kesi ya Rwanda fuatilia assasinations za Patrick Karegeya na wengineo.
Nenda Israel wana kikosi Maalum kinaitwa "Kidon" (inatamkwa Kaidon) kiko within Mossad, Specialized Assasins tu na lazima uwe umetoka kwenye moja kati ya Special Force Units either Sayeret Matkal (Land), Sayetet 13 (Navy), Shaldag (Airforce) au Yaamam ( kwao ni sawa na FBI) Kidon wengi ni recruit wa Sayeret Matkal cz wanafanya Operation nyng pamoja mfano Spring of Youth na nyingnezo. So within Intelligence Society kuna different genres za watendaji tena wengne ni civilians tu wanakua recruited kwa sprcial task hii wanafanya sana DEA ( Drug & Enforcement Agency) ya Marekani ili ku infiltrate Mafia ring societies kwenye ishu za madawa ya kulevya au yule daktari aliyeeta kutoa chanjo kwenye nyumba ya Osama kupata DNA kwa watoto wake, au spy maarufu sana Msyria aliyetumiwa na waisrael Eli Cohen hawa ni Civilians tu waliokua recruited cz wako within the ring of informations.

Thumbs up bro. Useful post
 
moja ya kazi ninayoipenda ni hiyo but mifumo yetu kila kazi kujuana! but c unaweza kuwa private spy?
 
Intelligent officer must be RUTHLESS, PATIENT and OBSERVANT. For sure any literate person can be an intelligent officer. Even you dumb ass.
 
Ngoja niwasaidie kidogo tu;

Jasusi ni mtu anayeajiliwa na Serikali ya nchi yake au taasisi ili kupata taarifa za siri toka kwa mataifa mengine ya nchi nyingine, shirika au makampuni yaliyo ndani na nje ya nchi.

Tafsiri nyingine ni kwamba jasusi ni mtu anayetumia mda wake kutazamana na kuchunguza watu wengine...katika dunia ya leo Jasusi anatakiwa kuwa zaidi ya maelezo ya hapo juu na ni laziima watu wa aina hii wawe wa kisasa zaidi ili kuendana na hali haslisi ya mazingira na mabadiliko ya teknolojia.

Jasusi wa kisasa ni lazima aishi kati ya maadui, ajifananishe nao, aongee lugha yao, awe na urafiki na lakini zaidi ya yote ajifunze na kutambua mbinu za adui zote na namna ya kukabiliana nazo....

Jasusi lazima ayajue mazingiwa ya eneo analoishi kwa ufasaha na jasiri mwenye utayari wakati wowote. ni lazima jasusi afundishwe mbinu na mafunzo ya awali ya kijeshi hasa yanayohusisha matumizi ya silaha aina mbali mbali, namna ya kujilinda lakini pia lazima afundishwe mbunu za kugoma kuhojiwa hasa pale anapotiwa mikononi mwa adui

Mazingira ya kazi ya kijasusi ndugu zangi wanaJF ni mazingira yaliyozungukwa na hatari, upweke na ''kivuli'', na hivyo Jasusi ni lazima awe amejifunza mbinu zote za kazi hii (tradecraft)

Sifa za Jasusi:

1. Sifa ya kwanza ya Jasusi ni lazima awe na uwezo kuchunguza (observation).. Haijalishi mazingira ya mahali alipo na anafanya nini, akili ya Jasusi ni lazima we ina rekodi maeneo, matukio, na watu waliopo huku kiwango cha kumbukumbu kichwani kiwe kikubwa na cha hali ya juu...Lazima ajifunze na akumbuke vitu vya aina nyingi kwa wakati mmoja na vyote viwe vya usahihi...

Mfano akiingia ndani ya nyumba chini ya dakika moja na nusu lazima awe amshajua nyumba hiyo ina vyumba vingapi milango mingapi madirisha... Kama kuna gari limeegeshwa lazima ajue plate namba zake nk...na nilazima vitu hivyo vikae kichwani kwa mda mrefu hata mwezi mmoja..

Vijana wengi hawana kumbukumbu nzuri, na hili ni tatizo kubwa. Mtu hata kukumbuka namba za simu hata kumi kwa wakati mmoja ni ngumu...Wengi wa watu niliokutana nao wengi wanaangukua katika kundi la 7+_ 2. .

2. Sifa ya pili ya Jasusi ni lazima atumie mantiki(logic)katika kuelewa vitu nakufikiri..na sifa hii ni muhimu sana .lazima ajue kwa nini hiki kiko hivi na hik kiko hivo na pia ajue namna ya kukifanya tofauti na kilivyo kuwa awali si katika muonekano tu bali pia katika ufahamu pia.

3. Jasusi ni lazima ajue kubadili tabia kulingana na mazingira na eneo alilopo na pia tukio husika. lazima ajue watu wanaomzunguka wanataka nini na ni watu wa aina gani...Hii itamsaida kujua aenende vipi katika mazingira hayo. Jasusi lazima ajue kucheza ana hisia za watu.. Hii ni sifa muhimu sana tena sana...

4. Jasusi ni lazima asikilize na Awe na Uwezo wa kusikiliza milango yote 7 ya fahamu (Wengi mnajua milango mitano), na achambue kwa uharaka nini cha kufanya kama yu katika hatari...Ndugu wanaJF katika ubongo wa mwanadamu kuna maelekezo mengi sana yanayomuonya binadamu juu ya hatari yoyoe. Jasusi ni lazima ajifunze maelekezo hayo na achukue hatua stahiki pindi anapokuwa katika hatari....

Mfano jasusi akiwa anatembea mitaani akifanya kazi yake kisha akakutana na mtu aliyemuona mtaa mwingine saa moja lililopita, Jasusi ni lazima ajiulize, ''Hii ni kawaida au nafatiliwa''?

5. Jasusi hatakiwi kuwa mkurupukaji, anatakiwa achukue stahiki na kokotozi kwa hatari iliyoko mbele yake au upande wa pili kwa kurekebisha plan zake kulingana na mahali alipo.. Lazima atafakari hatua za kuchukua na ni lazima hatua hizo ziendane na taarifa muhimu kulingana na eneo husika...Kama jasusi ni mkurupukaji, ni lazima hatafikia malengo ya kazi yake..

Sasa ili mtu aingie huku kuna mambo mengi lazima yaangaliwe...uwezo wake kichwani, unapenda nini, unaTaka nini katika maisha yako, ukoje...Kuna watu hawajui na hawajifahamu kabisa hata akisimama na kuanza kutembea ni mguu gani unaanza kutangulia, lazima tabia yako ijulikane...

Na kuna njia nyingi za kutambua tabia za mtu ikiwa ni pamoja na namna anavyotembea, namna anavyopanga au mpangilio wa vitu ndani ya nyumba yake au chumbani kwake (unaweza kuingia chumbani kwa mtu na kuangalia mtu muonekano wa chumba kilivyo na hapohapo ukajua mtu huyo akiwa njiani anafanana vipi bila hata kukutana nae), mwandiko wa mtu nayo ni njia ya kujua tabia ya mtu, namna anavyolala (Kifudifudi, kulala chali, kulala kwa ubavu huku umejikunja na mkono mmoja kuweka kichwani kama mto wa kulalia huku mkono mwingine umeubana katikati ya miguu), paji la uso hasa mtu akiwa anaongea n.k...So kuna njia nyingi za kujua ni mtu gani anafaa...

So sio kazi rahisi tu ya kuamka asubuhi ukapiga mswaki na wakati umetoka kuoga huku umejifunga taulo unapaka mafuta kisha unasema naenda kujiunga na kazi ya Ujasusi...Kwanza ukionekana unaitaka na ukabainika, lazima uwekwe kwenye rejected file au hata uenguliwe katika hatua za mwanzo kabisa...Ukionana na wakakuona ''wenyewe'' na ukaonekana unafaa basi watakuchukua tu...

Muda umeniishia.. hadi wakati mwingine ndugu zangu..
 
Back
Top Bottom