Howo Vs Scania

Scania Inaitaji matunzo sana alafu spare zake ni gharama sana,kwenye maintainance cost lazima ikukamue,kam unaanza ni bora ununue howo au foton mpya ikianza kuzingua utakuwa ushafudisha pesa yako
Acheni upotoshaji, unajua maana ya hela kurudi? Kitu ya kichina ni shida kuliko unavoichukulia.
 
Narrow analysis. Scania ina miaka zaidi ya hamsini sokoni tanzania, howo halina miaka 10! So kukuta scania nyingi juu ya mawe ni ukongwe wake
 
Mzee umenikumbusha hii chuma ilkua dar mbeya ndo gari ya kwanza kila cku cjui iko wap tena
 
Hii chuma niko nayo mwaka wa tano sasa na ilikuwa used namba B haijaguswa engine mpaka sasa, Sasa hao wanaokushaur uchukue mchina waulize gear box ikizingua unafanyaje? Ni kununua mpya mzee! Chukua scania tena 124 roho ya paka ama chukua ata R429 hapo town ni mill 75.

Bado scania ni habari ingine, Actross zinakuja zinachoka chuma iko vile vile, gari pia ni matunzo kama unapata dereva asiyejal gar mbona miaka miwili mingi anakuwa ashaifi*a, natokea Goma mda huu na hiyo chuma..mwendo wa bus muda wa mavampire huu.
 
JIULIZE SWALI DOGO TOO, TRANSPORT COMPANY NYINGI APA BONGO ZNA MILIK SCANIA CHACHE, LKN HOWO LUNDOO, UTAKUTA COMPYA INA FLEET YA GARI 300, ONLY 45SCANIA, THE REST HOWO OR OTHER MAKE. SO HOWO ARE THE BEST, KWA MTAJ MDOGO
 
Nyuzi kama hizi hutembelewa na vichwa kama hivi, seems mnauzoefu na nimejifunza kitu
Hii tabia ya kufananisha Scania ya mavitu ya ajabu achene basi
Scania ukiifanyia Planned preventive maintenance (PPM), itadumu muda mrefu sana
Scania is the best
Gari ya mzungu ngumu tafuta 360 reduction hutajuta
Gari za china zinatumia Cummins au Weichai engines....cummins engine is American brand so iko vinzuri. Sina uhakika na transmission/gear boxes
scania ndio truck ya pili qa kua na nguvu na bora ikiwa nyuma ya volvo ss unafananisha takataka howo na scania...
 
Hawo watu wanapeda ipi?basi zuli liwe scania mi sijaona basin la hawo. Ata wawe wegi sijaona wakipada hawo hao wachina.wakodishie tu scania moto chini
 
Hahahahaahaahahaha
 
Mzee umenikumbusha hii chuma ilkua dar mbeya ndo gari ya kwanza kila cku cjui iko wap tena
Ahahahaaaaa ilikuwa inaamsha Sana hiyo chuma, kuna jamaa alikuwa anagonga gear alikuwa anapenda kunyoa kipara, traffic walikuwa wanaitambia vizuri sana
 
Kama Ndio unaanza biashara hiyo.na Ni Gari Moja tu Nunua SCANIA. Maana ukiona biashara inazingua SCANIA Ni rahisi kuuza. Ila kama Ni Fleet na kazi unayo Nunua Howo zako kadhaa piga kazi
 
Ila kama mfuko upo chini kidogo chukua Scania 113. 320hp au 310hp.Hizo gari ni mninga hazina mambo mengi ya electronics.Halafu zinaimba balaa.
Mabwashee wengi ndio gari zao hizo.
Bei yake mkuu ikoje
 
Nilikua nimeweka malengo ya kuanza na kipisi, umenibadil mawazo..bei ni zile zile tu...acha nguvu nihamishie hapa
 
Hilo Ni wazo NZURI SANA SI KUNA CHUO CHA KUJIFUNZIA UDEREVA CHA TAIFA ITABIDI APELEKWE KABLA HAJAANZA NA APELEKWE KULE KARAKANA YA SCANIA DARESALAAM KWA MAFUNZO ZAIDI .
Ulifanikiwa ?
 
Nilikua nimeweka malengo ya kuanza na kipisi, umenibadil mawazo..bei ni zile zile tu...acha nguvu nihamishie hapa
kuwa na uhakika na trailer kwanza kabla ya horse, maana kwenye biashara ya trucks ni sawa na kiwanja na kujenga(kipi huwa kinaanza), kwenye trucks is the opposit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…