Hii chuma niko nayo mwaka wa tano sasa na ilikuwa used namba B haijaguswa engine mpaka sasa, Sasa hao wanaokushaur uchukue mchina waulize gear box ikizingua unafanyaje? Ni kununua mpya mzee! Chukua scania tena 124 roho ya paka ama chukua ata R429 hapo town ni mill 75. Bado scania ni habari ingine, Actross zinakuja zinachoka chuma iko vile vile, gari pia ni matunzo kama unapata dereva asiyejal gar mbona miaka miwili mingi anakuwa ashaifi*a, natokea Goma mda huu na hiyo chuma..mwendo wa bus muda wa mavampire huu.
View attachment 1250127