Howo Vs Scania

SAUTI YA MANKA.......ACHA KABISA HILO DUDE
 
Mkuu American trucks zipo juu eeh?!
Hizo ni habari nyingine mkuu,
Kama hizi Scania tunazo ziaminia 124 ina Hp 400-600 lakini ile midude ina 1400-....Hp, kwa hiyo kutrmbea na trailer kuanzia mbili ni kawaida tu (Mfano nenda youtube kacheck Peterbilt, Coga n.k)
 
Hizo ni habari nyingine mkuu,
Kama hizi Scania tunazo ziaminia 124 ina Hp 400-600 lakini ile midude ina 1400-....Hp, kwa hiyo kutrmbea na trailer kuanzia mbili ni kawaida tu (Mfano nenda youtube kacheck Peterbilt, Coga n.k)
Mkuu inaeleka hizi truck za kimarekani zinaweza kupanda mlima kitonga kama zinashuka huku zinavuta na trailer
 
Hizo ni habari nyingine mkuu,
Kama hizi Scania tunazo ziaminia 124 ina Hp 400-600 lakini ile midude ina 1400-....Hp, kwa hiyo kutrmbea na trailer kuanzia mbili ni kawaida tu (Mfano nenda youtube kacheck Peterbilt, Coga n.k)
Mhhh!!!
Mkuu the hishest power rated, iliyopo barabarani kwa sasa ni volvo fm750 ikifuatiwa na scania S 730, hizo 1400hp unazozungumzia probably ni plants , genset or marine engines.

Yeah american trucks zinaeza zikawa popular by comfort and luxury inside , but power wise ziko nyuma sana, by default americans hawabebi mizigo mizito ila wana safari za urefu mkubwa ,
 


Tunauza Malori ya Howo na sitrak. karibuni, ofisi yetu ipo Kipawa, Dar. Kwa upande wa malori, mimi ni muuzaji wa haya malori na yana masoko sana hapa bongo kutokana na uimara wake wa kupiga kazi popote na yanadumu muda mrefu.
simu 0717-518359, 0767-379412.
 
Kama una anza nunua Scania 113.
Huo ni mkataba!
Acha kumchuuza mwenzio,113 ni gari ya kizamani na aina uwezo mkubwa kama Howo,kwa kuanzia kazi bora uchukue howo mpya kaka,kwanza kabisa howo wakati wa service unatumia kiasi kidogo cha engine oil tofauti na scania, howo utatumia 20ltrs za oil, wakati scania 40ltrs, howo kwako wewe tajiri itakuneemesha ila dereva utamzeesha mapema sana, coz hizi truck wameiga na awajazipatia kabisa sio comfortable drive akisafiri 600km usiku lazima ameze painkiller
 
Mie nilikuwa nadhani Scania ndio Baba lao kumbe kuna Volvo
Hizi tractor utofautiana uwezo kutokana horsepower,hapo bongo scania kubwa kabisa hp 470-480 na ni chache sana wakati uku bondeni kuna vitu kama Freightliner Argossy ya kawaida unakuta ina hp 540 inaparamia milima tena ikiwa na mzigo heavy kwenye lowbed trailer,kwahiyo nataka kusema nguvu ya tractor ni horsepower
 
Let me make it clear kidogo.
Kama unataka kufanya biashara ya transportation nunua Scania.
Scania inakutoa.
Suala la oil sio tatizo gari inafanyiwa service baada ya kutembea km ngapi vile?
 
Mkuu hebu nipe hasara ya 113
 
Mkuu hebu nipe hasara ya 113
Mosi ni heavy on fuel

Pili ni imepitwa na wakati mno, parts zipo na ni rahisi kweli ila sio reliable

Haina nguvu kulinganisha na current work horses , kwa hiyo kwenye kaz za mchakachaka haiwezi kuwa ontime

Ni expensive kuinunua kwa sasa kutokana na stereotypes , hapo nyuma tuliaminishwa kuwa 113 ni gari ya kimasikini kila mtu akawa anaikimbilia

Kaz pekee naona 113 inaeza kwa sasa ni transit maana kule gari zinaenda kwa vituo sana na mizigo ya kwenda mara nyingi inakuwa si mizito.
 
Angalia kampuni kubwa ata za mabasi utajua walionunua mchina namba c sasa hivi aziwezi kwenda mbeya or mwanza.lakini angalia marcopolo or yale madude ya arusha coast line yanavyo chanja mbuga!hizo number mchina agusi na aikigusa mwaka inakua chuma chakavu
 
Mkuu kwa mtazamo wako gari ipi nzuri?? 112 vipi
 
Let me make it clear kidogo.
Kama unataka kufanya biashara ya transportation nunua Scania.
Scania inakutoa.
Suala la oil sio tatizo gari inafanyiwa service baada ya kutembea km ngapi vile?
Uko sahihi mkuu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…