adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
SAUTI YA MANKA.......ACHA KABISA HILO DUDEKuna mabasi nayajua ni Scania 94D.Ziko vizuri sana kuliko hizo Yutong,Higher za kichina ambazo ni mpya.
Kwa wale wazee wa Ubungo bus terminal mtaikumbuka basi la happy nation lilikuwa likiitwa "sauti ya manka".Jinsi lilivyokuwa likizinyanyasa Yutong ambazo ni mpya.