Howo Vs Scania

Howo Vs Scania

Bei yake mkuu ikoje
Kwa uingereza bei ni kuanzia mil.30tshs -75 inategemea na gari.Maana hizi 113 series Scania ni za zamani ukilinganisha na 124 mayai na kuendelea.

Ukikuta imesimamia kucha,bei yake inasimama kuliko scania mayai.Ingia facebook page ya Bruce Charles Commercials,huyu huwa anauza sana gari zake Eastern, southern Africa.

Bei zake huwa poa na forwarding freight shipping anaratibu.
 
Kwa uingereza bei ni kuanzia mil.30tshs -75 inategemea na gari.Maana hizi 113 series Scania ni za zamani ukilinganisha na 124 mayai na kuendelea.Ukikuta imesimamia kucha,bei yake inasimama kuliko scania mayai.Ingia facebook page ya Bruce Charles Commercials,huyu huwa anauza sana gari zake Eastern, southern Africa.Bei zake huwa poa na forwarding freight shipping anaratibu.
shukrani mkuu
 
Hello Great Thinkers.
Naomba kuuliza hivi hizi Tractor za kuvuta trailers Ni ipi bora zaidi kati ya hizi za kichina HOWO na Scania ,Ndio Naomba mungu mwaka huu ninunue kichwa kimoja kati ya hizi mbili ,ndio naanza hii biashara GT.Thanks a lot you guys.
Sijajua wewe umelenga nini hasa ,kama Lengo lako ni kufanya biashara ya muda mfupi ya usafirishaji na kutengenea faida ya muda mfupi basi nunua HOWO,sababu ulaji wake wa mafuta ni mdogo sana kutokana na udogo wa engine yake(350HP,Torque (1350-1820) Nm) tatizo la magari ya kichina sio yakudumu muda mrefu litakusaidia kwa miaka 2-3 baada ya hapo ni majanga

Ila kwa Scania engine zao ni very very very reliable na zinadumu miaka na miaka ndio maana hadi leo hii zile scania 82,92,112,142 zimetengenezwa miaka ya 1983-1993 ila hadi leo utazikuta barabarani katumia babu, baba hadi wajukuu wanazitumia zingine zina KM zaidi ya Million 2 na zingine zilishaachaga kusoma kilomita.

So chaguo ni lako ukitaka kitu cha muda mfupi ukarudisha pesa yako halafu ukauza nunua Howo,ila ukitaka kitu cha kudumu miaka na miaka na faida ya muda mrefu basi nunua SCANIA
 
Sijajua wewe umelenga nini hasa ,kama Lengo lako ni kufanya biashara ya muda mfupi ya usafirishaji na kutengenea faida ya muda mfupi basi nunua HOWO,sababu ulaji wake wa mafuta ni mdogo sana kutokana na udogo wa engine yake(350HP,Torque (1350-1820) Nm) tatizo la magari ya kichina sio yakudumu muda mrefu litakusaidia kwa miaka 2-3 baada ya hapo ni majanga
Ila kwa Scania engine zao ni very very very reliable na zinadumu miaka na miaka ndio maana hadi leo hii zile scania 82,92,112,142 zimetengenezwa miaka ya 1983-1993 ila hadi leo utazikuta barabarani katumia babu,baba hadi wajukuu wanazitumia zingine zina KM zaidi ya Million 2 na zingine zilishaachaga kusoma kilomita.
So chaguo ni lako ukitaka kitu cha muda mfupi ukarudisha pesa yako halafu ukauza nunua Howo,ila ukitaka kitu cha kudumu miaka na miaka na faida ya muda mrefu basi nunua SCANIA
Ungepitia uzi wote kwanza mkuu
 
Kwa uingereza bei ni kuanzia mil.30tshs -75 inategemea na gari.Maana hizi 113 series Scania ni za zamani ukilinganisha na 124 mayai na kuendelea.Ukikuta imesimamia kucha,bei yake inasimama kuliko scania mayai.Ingia facebook page ya Bruce Charles Commercials,huyu huwa anauza sana gari zake Eastern, southern Africa.Bei zake huwa poa na forwarding freight shipping anaratibu.
Nimeona mkuu, ana bei rafiki sana , rafiki mno , hata gari nyingine ambazo sikutegemea kuzikuta kwa bei ya kawaida anazo na anauza

Haya mataifa masikin yanarudisha sana watu nyuma na kukwamisha
 
Wewe ndiyo wale wahuni mliokuwa mnasema eti URSUS ni copy ya MASSEY FERGUSON.

Mmewaingiza chaka wakulima, sasa wanalia ni mitrekta yenu mibovu ya URSUS.
Kama hujui kitu nyamaza,ni bora useme sijui utahesabiwa ni mwenye busara.

Dunia ipo kiganjani mwako uwe unafuatilia mambo ndio ujenge hoja.
 
Howo karibu zote ni double diff, scania nyingi zinazokuja huku ni single diff na zina terious, sasa ukichukua Scania yenye double diff ndiyo ulinganishe na hiyo Howo.
Upande wa nguvu achana kabisa na wachina hakuna sehemu scania itapita howo ikwame, scanía inabaki kuwa bora kwenye durability, comfortability, etc
Achana na theory kama wewe ni dereva utakua ushashuhudia mara kadhaa scania inakwama lakini howo inapita nzima nzima kwenye njia mbovu but all in all scania ni bora zaidi ya howo.. Cha mwisho, mfukuze wa howo uone kama hujaomba zutu [emoji54][emoji54]
S

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Howo karibu zote ni double diff, scania nyingi zinazokuja huku ni single diff na zina terious, sasa ukichukua Scania yenye double diff ndiyo ulinganishe na hiyo Howo.S

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda scania yenye hub reduction lakini hizi zingine ni juhudi za wasiojiweza [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakubaliana na wewe 1200%, kwa mazingira ya Tanzania na nchi washirika katika biashara ya usafirishaji, SCANIA is everything, ingekuwa tunamilima mingi mikubwa , then Benzi(Actros. Axor) tungesema, lakin, kwa sababu hatuko hivyo, Scania anabaki kuwa the King of the Road,
Kwamba Scania haina Towing Capacity kuizidi benz? Hebu kuwa makini wewe...Msweden ndio ana Lead katika soko la hizo Haulers. Brands zinazochuana ni Scania na Volvo hao wengine wana lag behind.
 
Hii thread Wengi wameongea vitu wasivyoviju.
Wengi wanashabikia scania na kuiponda howo bila sababu za kimakeniksi.
1. Kwanza hawajui howo Nyingi zinazoingia nchini Ni mpya na scania nyingi Ni used.

2. howo nyingi zinakuja na hp371 ,huku ikiwa na 6x4axles. Na scania inakuja r420-480 zilizo nyingi. Hivyo kwa barabara za paved 6x4 zinamudu kuliko 6x2 na Howo mafuta inakula vizuri mnoo kuliko scania.

3. Service ya Howo iko chini kuliko scania. Kwenda goma na kurudi kwa howo unaeza fanya service ya 30-100,000 wakti scania kikawaida Ni 300,000 .kuimudu howo Ni rahisi kuliko scania na Benz

4. gharama harisi za haya magari ni hivi.
Scania ya 2015 CIF mbaka Dar es salaam Ni £19000 tax 20mil jumla 80mil. Plus takataka zingine hapo fanya 85mil.

Howo ya 2015 CIF mbaka Dar es salaam
USD 38000 tax 30mil jumla 118mil..
Nafikiri muwaheshimu wamiliki wa howo.

Hizo ni horse bila trailers ukitaka trailer nenda A. M trailer wao bei nafuu flatbed Ni 54,000,000 wakati tank trailer Ni 80mil+

Super doll trailer andaa 70mi kwa flatbed trailer.
 
Hii thread Wengi wameongea vitu wasivyoviju.
Wengi wanashabikia scania na kuiponda howo bila sababu za kimakeniksi.
1.Kwanza hawajui howo Nyingi zinazoingia nchini Ni mpya na scania nyingi Ni used.
2.howo nyingi zinakuja na hp371 ,huku ikiwa na 6x4axles. Na scania inakuja r420-480 zilizo nyingi. Hivyo kwa barabara za paved 6x4 zinamudu kuliko 6x2 na Howo mafuta inakula vizuri mnoo kuliko scania.
3.Service ya Howo iko chini kuliko scania. Kwenda goma na kurudi kwa howo unaeza fanya service ya 30-100,000 wakti scania kikawaida Ni 300,000 .kuimudu howo Ni rahisi kuliko scania na Benz
4.gharama harisi za haya magari ni hivi.

hivi inawezekana kuagiza engine.mpya ya 113?
 
vipi kuhusu MAN naziona sana barabarani
 
Umeongea figures za kwenye makaratasi zaidi ,Ila kwenye hali halisi those figures won't help you any how
Howo 6x4 ni swala la specs tu , hata scania ukitaka hizo specs utapata ! Infact scania walikuwa na spec hizo tangu Miaka hiyo , toka enzi za Tamco kibaha Kama unakumbu kumbu vzr ! Pale walitengeneza 6x4 kwa 93 250hp 113 310hp na 143 450hp
Kwa Sasa hivi wanatengeneza truck on demand na wamegawa manufacturing regions , ukitaka 6x4 by default nunua ex south au ex Namibia , ukitaka heavy duty nunua Brazil kule zinakuja na single reduction high drive tag axle . Kama zile za world oil ukikutana na hiyo diff ipo kwenye shughuli zake zilizokusudiwa utaidharau howo hapo hapo, scania nyingi tunazoziongelea hapa ni ex UK ,6x2 midlift pusher , ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya barabara nzuri tu. Na ndio gari dhaifu kweli kweli linapokuja swala la barabara mbovu

Tukija kwenye fuel consumption gari ya kichina inakuwa vizuri ikiwa mpya tu na kwa muda mfupi sana kumbuka howo ni euro 1 emission , mechanically controlled governer pump, ! Na nozzle ya kawaida kabisa , kwa lugha ya kiufundi pump hizi hazijawahi kuwa na decent fuel consumption na ni sumbufu zenye kuhitaji calibration za Kila Mara ,katika upya wake howo kweli hufanya vizuri Ila likiguswa kidogo tu majanga huanzia hapo.
Europian trucks kuanzia mwaka 2000 waliintroduce euro 3 emmision control, hizi zilikuwa efficient kwenye ulaji ,hapa unazungumzia scania 124 na wenzake , hapa ilitumika technology ya PDE ambayo Ina uvumilivu mkubwa sana wa calibration

Umepiga hesabu za howo mpya kwa 118 mil , scania g410 ex Europe ikiwa na karibu km 500000 inauzwa dola 49000 hapo vingunguti , ambayo ni karibu mil 113 . Hii sio gari mpya ila ni efficient kuliko hiyo howo mpya na inaweza ikaishi maisha mara kadhaa ya howo

Kuna swala la driver comfort pia hii ni moja ya input , muulize dereve yoyote wa gari la kichina Kama anaweza kuendesha km 500 kwa Siku , Kama yupo basi mostl likely atakuwa taabani kitandani, lakn europian unakuta baadhi ni full air ride derba analala bila uchovu wa viungo, unaweza akuona ni kitu kidogo lakini zinapotokea zile kazi ya kukimbiza gari za kichina haziwezi.
 
hivi inawezekana kuagiza engine.mpya ya 113?
Haiwezekani ! The last engine rolled out of factory nadhani ilikuwa mwaka 1995, na hii ilikuwa 113 400 HP electronic diesel control. Zile za kawaida 360 380 na wenzake nadhani Mara ya mwisho kutengenezwa ilikuwa mwaka 1994
 
Back
Top Bottom