Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Namvua mtu hapa hapa ,si importkuwa na uhakika na trailer kwanza kabla ya horse, maana kwenye biashara ya trucks ni sawa na kiwanja na kujenga(kipi huwa kinaanza), kwenye trucks is the opposit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namvua mtu hapa hapa ,si importkuwa na uhakika na trailer kwanza kabla ya horse, maana kwenye biashara ya trucks ni sawa na kiwanja na kujenga(kipi huwa kinaanza), kwenye trucks is the opposit
Kwa uingereza bei ni kuanzia mil.30tshs -75 inategemea na gari.Maana hizi 113 series Scania ni za zamani ukilinganisha na 124 mayai na kuendelea.Bei yake mkuu ikoje
shukrani mkuuKwa uingereza bei ni kuanzia mil.30tshs -75 inategemea na gari.Maana hizi 113 series Scania ni za zamani ukilinganisha na 124 mayai na kuendelea.Ukikuta imesimamia kucha,bei yake inasimama kuliko scania mayai.Ingia facebook page ya Bruce Charles Commercials,huyu huwa anauza sana gari zake Eastern, southern Africa.Bei zake huwa poa na forwarding freight shipping anaratibu.
Ndio bossUlifanikiwa ?
Hana website mkuu?shukrani mkuu
Sijajua wewe umelenga nini hasa ,kama Lengo lako ni kufanya biashara ya muda mfupi ya usafirishaji na kutengenea faida ya muda mfupi basi nunua HOWO,sababu ulaji wake wa mafuta ni mdogo sana kutokana na udogo wa engine yake(350HP,Torque (1350-1820) Nm) tatizo la magari ya kichina sio yakudumu muda mrefu litakusaidia kwa miaka 2-3 baada ya hapo ni majangaHello Great Thinkers.
Naomba kuuliza hivi hizi Tractor za kuvuta trailers Ni ipi bora zaidi kati ya hizi za kichina HOWO na Scania ,Ndio Naomba mungu mwaka huu ninunue kichwa kimoja kati ya hizi mbili ,ndio naanza hii biashara GT.Thanks a lot you guys.
Anayo, anauza bei rafiki sana , labda makod yetu tu hapa yaje yaharibuHana website mkuu?
Ungepitia uzi wote kwanza mkuuSijajua wewe umelenga nini hasa ,kama Lengo lako ni kufanya biashara ya muda mfupi ya usafirishaji na kutengenea faida ya muda mfupi basi nunua HOWO,sababu ulaji wake wa mafuta ni mdogo sana kutokana na udogo wa engine yake(350HP,Torque (1350-1820) Nm) tatizo la magari ya kichina sio yakudumu muda mrefu litakusaidia kwa miaka 2-3 baada ya hapo ni majanga
Ila kwa Scania engine zao ni very very very reliable na zinadumu miaka na miaka ndio maana hadi leo hii zile scania 82,92,112,142 zimetengenezwa miaka ya 1983-1993 ila hadi leo utazikuta barabarani katumia babu,baba hadi wajukuu wanazitumia zingine zina KM zaidi ya Million 2 na zingine zilishaachaga kusoma kilomita.
So chaguo ni lako ukitaka kitu cha muda mfupi ukarudisha pesa yako halafu ukauza nunua Howo,ila ukitaka kitu cha kudumu miaka na miaka na faida ya muda mrefu basi nunua SCANIA
Nimeona mkuu, ana bei rafiki sana , rafiki mno , hata gari nyingine ambazo sikutegemea kuzikuta kwa bei ya kawaida anazo na anauzaKwa uingereza bei ni kuanzia mil.30tshs -75 inategemea na gari.Maana hizi 113 series Scania ni za zamani ukilinganisha na 124 mayai na kuendelea.Ukikuta imesimamia kucha,bei yake inasimama kuliko scania mayai.Ingia facebook page ya Bruce Charles Commercials,huyu huwa anauza sana gari zake Eastern, southern Africa.Bei zake huwa poa na forwarding freight shipping anaratibu.
Howo ni copy ya Volvo.
Benben ni Benz.
Faw ni Mitsubishi.
Kama hujui kitu nyamaza,ni bora useme sijui utahesabiwa ni mwenye busara.Wewe ndiyo wale wahuni mliokuwa mnasema eti URSUS ni copy ya MASSEY FERGUSON.
Mmewaingiza chaka wakulima, sasa wanalia ni mitrekta yenu mibovu ya URSUS.
SUpande wa nguvu achana kabisa na wachina hakuna sehemu scania itapita howo ikwame, scanía inabaki kuwa bora kwenye durability, comfortability, etc
Achana na theory kama wewe ni dereva utakua ushashuhudia mara kadhaa scania inakwama lakini howo inapita nzima nzima kwenye njia mbovu but all in all scania ni bora zaidi ya howo.. Cha mwisho, mfukuze wa howo uone kama hujaomba zutu [emoji54][emoji54]
Labda scania yenye hub reduction lakini hizi zingine ni juhudi za wasiojiweza [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Howo karibu zote ni double diff, scania nyingi zinazokuja huku ni single diff na zina terious, sasa ukichukua Scania yenye double diff ndiyo ulinganishe na hiyo Howo.S
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba Scania haina Towing Capacity kuizidi benz? Hebu kuwa makini wewe...Msweden ndio ana Lead katika soko la hizo Haulers. Brands zinazochuana ni Scania na Volvo hao wengine wana lag behind.nakubaliana na wewe 1200%, kwa mazingira ya Tanzania na nchi washirika katika biashara ya usafirishaji, SCANIA is everything, ingekuwa tunamilima mingi mikubwa , then Benzi(Actros. Axor) tungesema, lakin, kwa sababu hatuko hivyo, Scania anabaki kuwa the King of the Road,
hivi inawezekana kuagiza engine.mpya ya 113?Hii thread Wengi wameongea vitu wasivyoviju.
Wengi wanashabikia scania na kuiponda howo bila sababu za kimakeniksi.
1.Kwanza hawajui howo Nyingi zinazoingia nchini Ni mpya na scania nyingi Ni used.
2.howo nyingi zinakuja na hp371 ,huku ikiwa na 6x4axles. Na scania inakuja r420-480 zilizo nyingi. Hivyo kwa barabara za paved 6x4 zinamudu kuliko 6x2 na Howo mafuta inakula vizuri mnoo kuliko scania.
3.Service ya Howo iko chini kuliko scania. Kwenda goma na kurudi kwa howo unaeza fanya service ya 30-100,000 wakti scania kikawaida Ni 300,000 .kuimudu howo Ni rahisi kuliko scania na Benz
4.gharama harisi za haya magari ni hivi.
Scania ya 2015 CIF mbaka Dar es salaam Ni £19000 tax 20mil jumla 80mil. Plus takataka zingine hapo fanya 85mil.
Howo ya 2015 CIF mbaka Dar es salaam
USD 38000 tax 30mil jumla 118mil..
Nafikiri muwaheshimu wamiliki wa howo.
Hizo ni horse bila trailers ukitaka trailer nenda A. M trailer wao bei nafuu flatbed Ni 54,000,000 wakati tank trailer Ni 80mil+
Super doll trailer andaa 70mi kwa flatbed trailer.
vipi kuhusu MAN naziona sana barabaraniHii thread Wengi wameongea vitu wasivyoviju.

Umeongea figures za kwenye makaratasi zaidi ,Ila kwenye hali halisi those figures won't help you any howHii thread Wengi wameongea vitu wasivyoviju.
Wengi wanashabikia scania na kuiponda howo bila sababu za kimakeniksi.
1.Kwanza hawajui howo Nyingi zinazoingia nchini Ni mpya na scania nyingi Ni used.
2.howo nyingi zinakuja na hp371 ,huku ikiwa na 6x4axles. Na scania inakuja r420-480 zilizo nyingi. Hivyo kwa barabara za paved 6x4 zinamudu kuliko 6x2 na Howo mafuta inakula vizuri mnoo kuliko scania.
3.Service ya Howo iko chini kuliko scania. Kwenda goma na kurudi kwa howo unaeza fanya service ya 30-100,000 wakti scania kikawaida Ni 300,000 .kuimudu howo Ni rahisi kuliko scania na Benz
4.gharama harisi za haya magari ni hivi.
Scania ya 2015 CIF mbaka Dar es salaam Ni £19000 tax 20mil jumla 80mil. Plus takataka zingine hapo fanya 85mil.
Howo ya 2015 CIF mbaka Dar es salaam
USD 38000 tax 30mil jumla 118mil..
Nafikiri muwaheshimu wamiliki wa howo.
Hizo ni horse bila trailers ukitaka trailer nenda A. M trailer wao bei nafuu flatbed Ni 54,000,000 wakati tank trailer Ni 80mil+
Super doll trailer andaa 70mi kwa flatbed trailer.
Haiwezekani ! The last engine rolled out of factory nadhani ilikuwa mwaka 1995, na hii ilikuwa 113 400 HP electronic diesel control. Zile za kawaida 360 380 na wenzake nadhani Mara ya mwisho kutengenezwa ilikuwa mwaka 1994hivi inawezekana kuagiza engine.mpya ya 113?