Hoyce Temu kaanza mwaka vibaya

Siwezi weka Ile documents hapa afu sihasona vzr ngoja nikisoma ntakuambia ilivyo
 
Siku za nyuma kabla ya kuwa balozi ilikuwa lazima uwe mwajiriwa wa Foreign Affairs; upandishwe madaraja hadi kufikia ngazi ya Balozi. Ilikuwa inachukua muda, Ila mtu anakuwa ameiva.

Siku hizi huo utaratibu ni kama umeachwa; anateuliwa mtu yo yote!!
Siku hizi unaweza kuteuliwa ukiwa upo beach kidimbwi na unapangiwa kazi

Ova
 
Kuna wengi hapa ukiwauliza Hoyce Temu amefanya makosa gani, hawajui. Lakini wanamshushia rungu!
Wengine hapa lawama zao zinasomeka kana kwamba aliiba pesa.

Mfano kosa LA kuvujisha siri za shirika. Ni nani hajawai kufanya ili kosa? Hata huyo aliyempa dada wa Taifa siri za Hoyce amefanya kosa hilo hilo!
 
Impersonation
Conflict of interest
disclosure of secrecy to the third party
 
Hii thread mimi nilijua imesha-faint; kumbe bado inaendelea? Bora wewe umesema
 
Simply kama vetting imetushinda basi tumuachie Mange! Mifumo inakuwa paralysed kwenye critical issues. Unapeleka UN miss Tanzania? Kama issue ni mwanamke mbona hili Taifa lina hazina ya intellectuals wa kike wengi na ma exposure makubwa!

Mambo mengine tuishie huko wilayani sio kwenye uso wa dunia.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…