Computer4Sale Hp Laptop inauzwa

Computer4Sale Hp Laptop inauzwa

dumejm

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,180
Reaction score
853
Brand: hp
Model: Envy sleek book 14
RAM: 10GB
Processor: intel Core i7
HDD: 1TB
64Bit
Windows 10 pro
Battery life: 3hrs
Graphics: Intel HD Graphics
Price: 750k only

Njoo PM tuyajenge
IMG_20190514_235826.jpeg
 
Mkuu Nataka Hiyo kitu aise Ebu Niambie Bei faster nichukue boss
Usigope Njoo tuzungumzee pm mkuu... Maana siyo vyema kufanya negotiation hapa kwenye public
 
specs ziko standard.
Ila sielewi ni kwa nini hutaki kuweka bei hadharani au hata range ya bei basi.

Pia, imetumika miaka mingapi?
Ina tatizo lolote mbali na huo uhai wa battery?
 
specs ziko standard.
Ila sielewi ni kwa nini hutaki kuweka bei hadharani au hata range ya bei basi.

Pia, imetumika miaka mingapi?
Ina tatizo lolote mbali na huo uhai wa battery?
Haina tatizo lolote... Haijamaliza hata mwaka tangu niinunue.... Nmeamua niitoe tu kwa sasa.. Chombo iko vizuri inapiga kazi vizuri tu , slim and portable . kama unahitaji njoo PM mkuu nikitaja bei hapa nitaleta vurugu nawajua wana jf walivyo... Kuna watu wanakuja pm na offer zao tunazungumza
 
Back
Top Bottom