- Thread starter
- #41
Ana mentality ya kitoto sana na ya kishambaRelax, the "lady" knows nothing but SSD! Hana hoja zaidi ya hiyo! eti "ingekuwa na SSD ningenunua!" but in reality hana hata uhitaji, wabongo sijui kwanini tumejaa na roho za kwanini! Hivi ni lazima uharibu biashara ya mwenzio ndio wewe ufanikiwe?