SOLD: HP Laptop with 1TB storage for sale

SOLD: HP Laptop with 1TB storage for sale

Status
Not open for further replies.
Relax, the "lady" knows nothing but SSD! Hana hoja zaidi ya hiyo! eti "ingekuwa na SSD ningenunua!" but in reality hana hata uhitaji, wabongo sijui kwanini tumejaa na roho za kwanini! Hivi ni lazima uharibu biashara ya mwenzio ndio wewe ufanikiwe?
Ana mentality ya kitoto sana na ya kishamba
 
Mnaniogopa kuni attack direct sababu mshagundua kuwa niko "nondo" kwenye hizo issues za computer hardware.
😀😀😀😀😀😀😀
Niko very updated.
Nawatoa jasho, mnajiuliza how comes najua vitu vingi. Loanisheni bongo zenu hizo, dunia inawaacha.
No one is attacking u...u just commenting like a stupid person ndo maana umeona wengi wanajaribu kukuelimisha
 
Nishachoka aise na ushamba wako wa SSD...it looks like unataka utangaze duka lako linalouza SSD coz this is the fourth time unapost kwenye thread yangu nyingine tofaut kuhusu SSD.....unasema zimepitwa wakati, wakati SSD sio jambo jipya pia stop misleading watu HDD itakuepo kwenye trend na itaendelea kuwa the most dominant drive kwenye mauzo kwa sababu ya affordability yake.....Btw ningeuza laptop yenye 1tb ya SSD hata wewe najua usingeafford

Pia uwepo wa SSD sio mkubwa kama HDD . HDD ni za kizamani kivipi jamaaa yeye kizazi kipyaaa kwamba ameanza kutumia PC wakati wa SSD. Wakati productions za HDD zinaendelea ...!!!
 
Brand: HP
Comes with a FREE LAPTOP BACKPACK BAG
SPECIFICATION
RAM: 4GB
Processor: Core i3
Storage: 1000GB/1TB
Scree size: 16 inch
Fingerprints scanner
Wide surround bass Speakers
Comes with original Adopter
Battery:4 and a half to 5hrs (depending with usage)
Comes with Windows 2019 ACTIVATED
Running on OS: Windows 10 ACTIVATED
PRICE: 510,000/=
Contacts: 0689341445

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
 
Zipo hadi zenye SSD za 500GB. Affordable kabisa Aliexpress ukiagiza. Usichukulie hapa Bongo utapigwa.

Ku-boot dakika sifuri tu, computer iko fasta kama calculator vile.
Tena umenikumbusha hapo kwenye RED! Nina mpango wa kuagiza iMac (manufacturer refubrbished) kutoka Apple Store! Kuna kipindi fulani enzi za JK, hapakuwa na kodi kwenye computer import! Ina maana hivi sasa kuna kodi kama kawa?! Kama ndiyo, una idea kodi zao zipo vp?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom