HR, Waajiri walalamika wahitimu ni weupe vichwani

Waajiri wamekuwa wabinafsi sana, ni kweli vijana wanamaliza vyuoni wakiwa na distinction kwenye vyeti ila vichwani hawana ubunifu lakini ni mwajiri gani ametumia muda kumoatia induction course hata ya wiki mbili mwajiriwa mpya? Policy zao zinatoa hiyo nafasi?
Wakati mwingine ndio maana vijana wanaona mwajiri mzuri ni serikali maana wanalea watu kwa vikozi kadhaa mara kwa mara kuongeza ujuzi ila waajiri binafsi anataka mfanyakazi mzuri ila ambaye hajamtengeneza no wonder hauwezi kupata mtu mwenye uzoefu kazini.
 
Well stated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…