Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
- Thread starter
- #61
πππ90% ya waajiriwa serikalini ni weupe pee white elephants kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππ90% ya waajiriwa serikalini ni weupe pee white elephants kabisa!
πππKuna HR mmoja fala sana,alinipigia simu haeleweki ata anahoji nini,ananiuliza ulifanya kazi wapi na wapi kwa muda gani wakati details zote zipo kwenye CV ambayo anayo![emoji1787]
Nilikata simu nikaona jamaa chenga sana!
I can confirm thiswahitim wa shahada kwenye fani ya UHASIBU na KODI niweupe kama wanafunzi wa kidato cha nne
Pia 96% ya wahasibu wa Halmashauri hawajui wanachokifanya.....naongea kama MKAGUZI hasa kuhusiana na Creditor control account
Kila kampuni au taasisi ina malengo, wanapo kuajiri wanakuajiri as qualified candidate na uta fit malengo yao. Suala la kusema waajiri wana expetation yes , wako right, dunia ina change so wanataka candidates wana evolve na dunia, sio wanao kariri skills fulani halaf hawataki kuchangeTatizo si wahitimu kuwa na uwezo mdogo..
Tatizo ni expeditions kubwa walizonazo waajiri ambazo akikuajiri anataka uzifikie kwa muda mfupi, na wakati huo ukiangalia ni jambo ambalo haliwezekani...
Tatizo pia waajiri wengi (hasa maboss/wamiliki wa makampuni na taasisi) kupenda pesa zaidi kuliko kutoa huduma... Kunamfanya afocus kwenye utendaji wa kuchakata pesa zaidi kuliko huduma... Hapa sasa unakuta boss ana mipango yake kichwani ambayo haiendani na mipango kazi... Unajikuta anakuforce ufanye anavyotaka na sio taaluma inavyotaka, mwisho wa siku inapoteza hamu ya ufanyaji kazi... Unaamua kwenda tu ilimradi Liwale na liwe
Tatizo lingine maHR wengi siku hizi hawajisumbui kutafuta watu, badala yake wanawatumia ma agent kupata watu, huko unakutana na mtu ambaye pengine wala hana taaluma ya hiyo kazi, ana experience ya kughushi... Akiingia kazini ndio matatizo yanaanza
Yapo mengi sana, ila mengi yanatokana na maboss wenyewe na sio wahitimu
SahihiKila kampuni au taasisi ina malengo, wanapo kuajiri wanakuajiri as qualified candidate na uta fit malengo yao. Suala la kusema waajiri wana expetation yes , wako right, dunia ina change so wanataka candidates wana evolve na dunia, sio wanao kariri skills fulani halaf hawataki kuchange
DuhI can confirm this
Hehe na vijana wanaangalia maokoto kama mshahara wako ni tusenti nao watafanya kazi ya level hizohizo za tusenti
Jana nilipanda Bajaj na mtu mmoja nilikuja gundua anafundisha chuo kikuu. Akafungua Whatsapp kutokana na mwanga mkali wa simu yake nikawa interested kuona anafanya nini.Ulishawahi kuona zimamoto akifeli? Hiyo ndio elimu ya chuo wale zimamoto wengi hawapo active na masomo ila ikikaribia mitihani wanakesha kusolve past papers zote... wakiingia kweny paper kama wanahamisha tu fasta tu wanapiga GPA za juu.
Hili suala la kukesha sijwahi kulielewa kabisa kabisa mpaka sasa.
πππππJana nilipanda Bajaj na mtu mmoja nilikuja gundua anafundisha chuo kikuu. Akafungua Whatsapp kutokana na mwanga mkali wa simu yake nikawa interested kuona anafanya nini.
Akafungua groups kadhaa za wanafunzi wake mwishowe akaingia group la Registrar wa chuo, humo nadhani kuna lecturers wote. Kuna mmoja jina lake saved ni Adela ametuma mjadala eti WHO sijui UN imetangaza kuwa ujana ni mpaka miaka 50 (ni kama aliwaletea habari njema). Wakawa wanachangia kama vilaza humo huwezi jua ni wakufunzi wa chuo. Mwingine akadai eti watangaze kustaafu ni miaka 70, Adela ndio akaandika vijana watakosa ajira.
Huo mjadala ulifanya nijiulize kama hawa ndio wanafundisha, wanaofundishwa ndio itakuwaje? Hii nchi kumejaa vilaza kila idara, alafu sasa ajabu wana alama kubwa za ufaulu. Hata hao HRs wanaolalamika wamejaa vilaza kwelikweli.
Sikatai unachosema, ila maneno yote yasiwe katika kutoa majibu ya moja kwa moja... na kila mtu kuona hoja ya mwenzake haifai...Kila kampuni au taasisi ina malengo, wanapo kuajiri wanakuajiri as qualified candidate na uta fit malengo yao. Suala la kusema waajiri wana expetation yes , wako right, dunia ina change so wanataka candidates wana evolve na dunia, sio wanao kariri skills fulani halaf hawataki kuchange
Tuseme yeye amepata uzoefu Kwa vitendo Kwa muda mrefu anaanza kuwachukulia poa wenzake wa waliojifunza kwa nadharia Kwa muda mrefuHili ni kweli kabisa[emoji23] asilimia kubwa ya ma HR weupe kweli kweli.
ππππππππ yani vilaza ndio wanafundisha eti ujana mwisho 50 hahahaJana nilipanda Bajaj na mtu mmoja nilikuja gundua anafundisha chuo kikuu. Akafungua Whatsapp kutokana na mwanga mkali wa simu yake nikawa interested kuona anafanya nini.
Akafungua groups kadhaa za wanafunzi wake mwishowe akaingia group la Registrar wa chuo, humo nadhani kuna lecturers wote. Kuna mmoja jina lake saved ni Adela ametuma mjadala eti WHO sijui UN imetangaza kuwa ujana ni mpaka miaka 50 (ni kama aliwaletea habari njema). Wakawa wanachangia kama vilaza humo huwezi jua ni wakufunzi wa chuo. Mwingine akadai eti watangaze kustaafu ni miaka 70, Adela ndio akaandika vijana watakosa ajira.
Huo mjadala ulifanya nijiulize kama hawa ndio wanafundisha, wanaofundishwa ndio itakuwaje? Hii nchi kumejaa vilaza kila idara, alafu sasa ajabu wana alama kubwa za ufaulu. Hata hao HRs wanaolalamika wamejaa vilaza kwelikweli.
Kuna vituko halmashauri utakuta wanakununilia lunch samaki mkubwa unabaki kuuliza shule mlisomea ujinga ni vituko tu, wanakimbia kimbia juu chini maswali yasiyo na msingi,eti mkaguzi umepata breakfast ?umefikia wapi ?,nilikwenda halmashauri moja nikamkuta mwanafunzi wangu niliyewahi kumfundisha miaka kumi na moja kabla ya mimi kuwa mkaguzi nilisikitika sana.The girl by that time aliongoza bookkeeping form four pia form six kitaifa akiwa Weruweru very intelligent.Kawa na akili za kilevi ,vitu vidogo hawajui kabisa.Tuna tatizo kubwa kwenye nchi hii.wahitim wa shahada kwenye fani ya UHASIBU na KODI niweupe kama wanafunzi wa kidato cha nne
Pia 96% ya wahasibu wa Halmashauri hawajui wanachokifanya.....naongea kama MKAGUZI hasa kuhusiana na Creditor control account
Mazingira ya kazi yamemdumaza, amecope kwa aliowakuta. Naye amekuwa wa bora liende.Kuna vituko halmashauri utakuta wanakununilia lunch samaki mkubwa unabaki kuuliza shule mlisomea ujinga ni vituko tu, wanakimbia kimbia juu chini maswali yasiyo na msingi,eti mkaguzi umepata breakfast ?umefikia wapi ?,nilikwenda halmashauri moja nikamkuta mwanafunzi wangu niliyewahi kumfundisha miaka kumi na moja kabla ya mimi kuwa mkaguzi nilisikitika sana.The girl by that time aliongoza bookkeeping form four pia form six kitaifa akiwa Weruweru very intelligent.Kawa na akili za kilevi ,vitu vidogo hawajui kabisa.Tuna tatizo kubwa kwenye nchi hii.