Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wakati tuajiri kutokana na uwezo wa mtu na sio elimu ya mtuHili ni kweli kabisa[emoji23] asilimia kubwa ya ma HR weupe kweli kweli.
Haya mhitimuTatizo si wahitimu kuwa na uwezo mdogo..
Tatizo ni expeditions kubwa walizonazo waajiri ambazo akikuajiri anataka uzifikie kwa muda mfupi, na wakati huo ukiangalia ni jambo ambalo haliwezekani...
Tatizo pia waajiri wengi (hasa maboss/wamiliki wa makampuni na taasisi) kupenda pesa zaidi kuliko kutoa huduma... Kunamfanya afocus kwenye utendaji wa kuchakata pesa zaidi kuliko huduma... Hapa sasa unakuta boss ana mipango yake kichwani ambayo haiendani na mipango kazi... Unajikuta anakuforce ufanye anavyotaka na sio taaluma inavyotaka, mwisho wa siku inapoteza hamu ya ufanyaji kazi... Unaamua kwenda tu ilimradi Liwale na liwe
Tatizo lingine maHR wengi siku hizi hawajisumbui kutafuta watu, badala yake wanawatumia ma agent kupata watu, huko unakutana na mtu ambaye pengine wala hana taaluma ya hiyo kazi, ana experience ya kughushi... Akiingia kazini ndio matatizo yanaanza
Yapo mengi sana, ila mengi yanatokana na maboss wenyewe na sio wahitimu
Kama watu wanaishia kudesa wategemea nini?Vyuo vikuu ni extension ya 4m6
Tatizo linaanza CPA kuwa nyepesiMimi ni Auditor kwa hiyo wahasibu ni kiwanja changu cha kuchezea
Aya ndiyo matokeo ya serikali awamu ya nne kupunguza maksi ili Wanafunzi wafaulu wengi chini ya mfumo wa mchongo wa GPA!HR flani alilalamika wahitimu wengi Ni weupe vichwani na kuuliza Nini kifanyike
Nilikuwa na haya yakujibu!
Ushauri chakufanya Ni kwanza wakufunzi hasa wa vyuo vikuu waanze kufundishwa maarifa ya kisasa
Pili tujaribu kuchukua wakufunzi kutoka vyuo Bora vya nje inaweza kuwa kwa mpango wa kubadilishana.
Tatu : tuangalie tunapokwama kwenye mitaala yetu
Nne: Muda wa mafunzo ya vitendo angalau uwe muda mrefu kuliko ule wa kusoma darasani ,, badala ya mtu kwenda field miezi 3 mwanafunzi aende mafunzo ya vitendo angalau miaka miwili.
Tano : ipo mifumo inayomruhusu mwanafunzi kujifunza zaidi ya kile anachopewa darasani Yani maswali yanayochochea upimaji na sio yanayomlazimisha mwanafunzi kukariri kitini Cha notes
Uwezo wa mtu unapimwa vip? Hayo mambo hayapo kwa vile dunia haiwezi kukubali ukweli ,elimu na utendaji kazi ni vitu tofauti kabisa.Ni wakati tuajiri kutokana na uwezo wa mtu na sio elimu ya mtu
Ukweli CPA imejarahisishwa na haina maswali ya Field.....Pia wahasibu 99% wa halmashauri hawjui wanachokifanyaTatizo linaanza CPA kuwa nyepesi
Kuna HR mmoja fala sana,alinipigia simu haeleweki ata anahoji nini,ananiuliza ulifanya kazi wapi na wapi kwa muda gani wakati details zote zipo kwenye CV ambayo anayo![emoji1787]wapo maHR weupe zaidi pia dah aise [emoji205]
Uwezo wa mtu unapimwa vip? Hayo mambo hayapo kwa vile dunia haiwezi kukubali ukweli ,elimu na utendaji kazi ni vitu tofauti kabisa.
Utendaji kazi unaambatana na vitu kadhaa ndio maana kweny utumishi wa umma kuna code of conduct.
Utendaji wa kazi kuna creativity, diligence, consistency , persistence,heshima ,uwezo wa kujifunzi ,kuendana na mazingira ya kazi pamoja & kuwahi kazini ....Watu wanakosa maadili ya kazi ndio tatizo
Unaweza kushangaa HR wana mamlaka ya ku'shape wafanyakazi ila nao wanalalamika sasa kazi yao ni ipi?Kwa MTU ambaye hasomi vitabu tofauti na vya lecturer hawezi kuwa smart Kwa level kubwa.
Elimu Tz ni nadharia ambazo hazina mwelekeo hivyo lazima ujiongeze kuikuza career yako Kwa kusoma mambo tofauti na ya lecturer ili kuwa smart .
Hata hao HR hamna kitu
Duuh!!! Inafikirisha SanaU
Unaweza kushangaa HR wana mamlaka ya ku'shape wafanyakazi ila nao wanalalamika sasa kazi yao ni ipi?
Nchi hii ina watu wengi hawajui majukumu yao wamebaki lawama tu.
Nilifanya kazi mwaka 2016 taasisi fulani jina kapuni maana ni ya hovyo mpaka leo ,nakuambia miezi 8 mko ofisini hakuna training wala nn ,kazi ni kuanza saa 2 mpaka 12 ...Hakuna refreshment ya aina yoyote ile wala kutuliza akili kuanzia j3 mpaka jmosi.
Hakuna timu ya taasisi japo ingawa ni Taasisi ya serikali, hakuna training ila kazi ni nyingi kila siku unajza fomu kama sita ,ukirudi mtu umechoka .. Training ndio wamefeli wanadae eti bajeti yao haitoshi.
Nimeshngaa mwaka mzima kuna training moja tu ,yaani hakuna field wala wala nn !Duuh!!! Inafikirisha Sana
Watu ambao wapo serikalini most of them wanaamini wamefika mwisho Wa maisha yao ya kazi.
Wanabweteka hawana consistency ,persistency and credibility . they just work only to feed their stomach and not to up grade their careers
Nimeshngaa mwaka mzima kuna training moja tu ,yaani hakuna field wala wala nn !
Nimeenda taasisi nyingine aisee nimekuta wapo smart watu wana maslahi mazuri , training kutwa ,safari mpaka mtu unapata uzoefu wa kuandaa ripot za safari ila huko mwanzo miezi 8 ina maana training kwa mwaka ni mara moja.
90% ya waajiriwa serikalini ni weupe pee white elephants kabisa!wahitim wa shahada kwenye fani ya UHASIBU na KODI niweupe kama wanafunzi wa kidato cha nne
Pia 96% ya wahasibu wa Halmashauri hawajui wanachokifanya.....naongea kama MKAGUZI hasa kuhusiana na Creditor control account
Nikweli kakaKwa MTU ambaye hasomi vitabu tofauti na vya lecturer hawezi kuwa smart Kwa level kubwa.
Elimu Tz ni nadharia ambazo hazina mwelekeo hivyo lazima ujiongeze kuikuza career yako Kwa kusoma mambo tofauti na ya lecturer ili kuwa smart .
Hata hao HR hamna kitu