Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao ma HR wao walienda kwenye ajira wakiwa wanajua kila kitu?? Ndio maana kuna orientation na mentoring na coaching to new employeee. Tusisahau tulipo anzia. Wajiri wapya tuwaelekeze kazi kwa uvumilivu kama na ye alivyovumiliwa huyo HRHakika... Sasa unakuta boss ni mujuaji kupita maelezo... Unaamua kufanya kimazabe ili mwisho wa mwezi mambo yasiwe mengi
"Creditor" control account,...... 96% wahasibu wa halmashauri hawajui wanachokifanya....wahitim wa shahada kwenye fani ya UHASIBU na KODI niweupe kama wanafunzi wa kidato cha nne
Pia 96% ya wahasibu wa Halmashauri hawajui wanachokifanya.....naongea kama MKAGUZI hasa kuhusiana na Creditor control account
Muulize hao vijana wametoka chuo gani? Siyo elimu kuwa sijui nini, ni suala la vyuo kuchipuka bila viwango. Lakini huyo HR mwenyewe ana uelewa gani? Tusijekuiwa tunajadili maoni ya kiwango hovyo. Siyo wmmoja wa wale wa Mzumbe? alikosoma na fulani fulani?HR flani alilalamika wahitimu wengi Ni weupe vichwani na kuuliza Nini kifanyike
Nilikuwa na haya yakujibu!
Ushauri chakufanya Ni kwanza wakufunzi hasa wa vyuo vikuu waanze kufundishwa maarifa ya kisasa
Pili tujaribu kuchukua wakufunzi kutoka vyuo Bora vya nje inaweza kuwa kwa mpango wa kubadilishana.
Tatu : tuangalie tunapokwama kwenye mitaala yetu
Nne: Muda wa mafunzo ya vitendo angalau uwe muda mrefu kuliko ule wa kusoma darasani ,, badala ya mtu kwenda field miezi 3 mwanafunzi aende mafunzo ya vitendo angalau miaka miwili.
Tano : ipo mifumo inayomruhusu mwanafunzi kujifunza zaidi ya kile anachopewa darasani Yani maswali yanayochochea upimaji na sio yanayomlazimisha mwanafunzi kukariri kitini Cha notes
wahitim wa shahada kwenye fani ya UHASIBU na KODI niweupe kama wanafunzi wa kidato cha nne
Pia 96% ya wahasibu wa Halmashauri hawajui wanachokifanya.....naongea kama MKAGUZI hasa kuhusiana na Creditor control account
😂😂ChatgptWasomi wa GOOGLE
😄😄😄Muulize hao vijana wametoka chuo gani? Siyo elimu kuwa sijui nini, ni suala la vyuo kuchipuka bila viwango. Lakini huyo HR mwenyewe ana uelewa gani? Tusijekuiwa tunajadili maoni ya kiwango hovyo. Siyo wmmoja wa wale wa Mzumbe? alikosoma na fulani fulani?
Hili ni kweli kabisa[emoji23] asilimia kubwa ya ma HR weupe kweli kweli.
Watafute hela tuHR flani alilalamika wahitimu wengi Ni weupe vichwani na kuuliza Nini kifanyike
Nilikuwa na haya yakujibu!
Ushauri chakufanya Ni kwanza wakufunzi hasa wa vyuo vikuu waanze kufundishwa maarifa ya kisasa
Pili tujaribu kuchukua wakufunzi kutoka vyuo Bora vya nje inaweza kuwa kwa mpango wa kubadilishana.
Tatu : tuangalie tunapokwama kwenye mitaala yetu
Nne: Muda wa mafunzo ya vitendo angalau uwe muda mrefu kuliko ule wa kusoma darasani ,, badala ya mtu kwenda field miezi 3 mwanafunzi aende mafunzo ya vitendo angalau miaka miwili.
Tano : ipo mifumo inayomruhusu mwanafunzi kujifunza zaidi ya kile anachopewa darasani Yani maswali yanayochochea upimaji na sio yanayomlazimisha mwanafunzi kukariri kitini Cha notes
Boss wewe sijakuweka. Ila ndio ukweli huo. Mnajali sana mslai yenu na si ya watanzania wenzenu. Maana ninyi ndio wa kwanza kushauri tupu guziwe mishahara ili muonekane mnajali kampuniUnatupiga sio?
Ila wafanyakazi wengi ni weupe na sio tu graduates hata hawa waliokaa maofisini muda mrefu ni TATIZO
Tatizo lilianza 2012 kuna waislamu waliandamana wanaonewaAya ndiyo matokeo ya serikali awamu ya nne kupunguza maksi ili Wanafunzi wafaulu wengi chini ya mfumo wa mchongo wa GPA!
We are reaping what we sowed!!
Sasa ka mtu amemeza maswali na majibu akafaulu wategemea maajabu yapi toka kwake?Jana nilipanda Bajaj na mtu mmoja nilikuja gundua anafundisha chuo kikuu. Akafungua Whatsapp kutokana na mwanga mkali wa simu yake nikawa interested kuona anafanya nini.
Akafungua groups kadhaa za wanafunzi wake mwishowe akaingia group la Registrar wa chuo, humo nadhani kuna lecturers wote. Kuna mmoja jina lake saved ni Adela ametuma mjadala eti WHO sijui UN imetangaza kuwa ujana ni mpaka miaka 50 (ni kama aliwaletea habari njema). Wakawa wanachangia kama vilaza humo huwezi jua ni wakufunzi wa chuo. Mwingine akadai eti watangaze kustaafu ni miaka 70, Adela ndio akaandika vijana watakosa ajira.
Huo mjadala ulifanya nijiulize kama hawa ndio wanafundisha, wanaofundishwa ndio itakuwaje? Hii nchi kumejaa vilaza kila idara, alafu sasa ajabu wana alama kubwa za ufaulu. Hata hao HRs wanaolalamika wamejaa vilaza kwelikweli.
Tunaye mmoja yuko hivoMhasibu awe na CPA over hawa wengine sioni utofauti na mtu aliyesomq sociology. Mhasibu anashindwa Dr & cr. Hata hawa wenye CPA wengi hawawezi kuandaa Financial statements