Hua unatulizaje Hasira.??

Dah...sijawahi kasirika aisee..hata sijui inakuwaje[emoji2960]
 
Naliaga sana, kama ni usiku nikishamaliza nalala. Nikiamka hapo moyo mweupeee hata nikikutana na aliyenikasirisha naongea naye vizuri tu
 
Mimi huwa naenda kutembea su kukaa sehemu ambayo haina watu ili nitulize hasira kwa reasoning
You're intelligent. Binafsi huwa nafanya natoka naenda sehemu ya wazi especially uwanjani ku-drill taichi na kufanya yoga. Hii hata nikiwa na mawazo mengi na vitu vingi vya kufikiria na sijavipangilia katika mtiririko maalum huwa dawa ni meditation through taichi na yoga hapo huwa nakuwa safi kabisaa.

Ila huwa inategemeana na aina ya hasira kama chanzo ni sababu za msingi hapo huwa sawa but kama ni boya tu huko ndo kanikuta nimetulia akanivuruga hawa huwa nawavuruga sana tuu hamnaga kuwatengea muda kutuliza akili ili kupunguza hasira huyo natuliza akili kumfundisha namna ya kuishi na binadamu wenzio.
 
Napiga kimya tu, na ninavyopenda kukaa peke angu, usipojileta tunaweza ishi hata mwaka sina time na wewe.
 
Nashukuru Mungu nilizaliwa miaka ile picha zinahifadhiwa kwenye kitabu maalum aka albamu na kuandikiana barua kwa kalamu na karatasi. Hivo kuondoa hasira nachukua albam zote za zamani naanza kuangalia picha moja baadae ya nyingine, kabla sijazimaliza nakuwa nshasahau kama nilikuwa na hasira au kuna mtu alinikasirisha.

Pia huwa nachukua boksi langu ninalohifadhia barua zangu na posti kadi. Naanza kusoma moja baadae ya nyingine najikuta naishia kucheka hasira kwishney.

Ingine natafuta muvi nzuri ya Mahaba au true story au vichekesho yaani nikitoka hapo mweupeeee.

Ingine naanza kuimba na kucheza kama nipo nyumbani,kama kazini ntaweka mziki masikioni au wa sauti ndogo au ntaimba kwa sauti ndogo huku naendelea kufanya kazi.

Ingine naingia kabatini, natoa nguo ambayo nikiivaa najua nimependeza aka bibi bomba. Najipa mtoko wa dinner na mziki hadi nichoke, huko ntayekutana naye ajue kunitabasamisha, makumbato yangu atayapata mengi tuu.

Nikishindwa kufanya vyote hivo kutokana na mazingira, naenda beauty parlour, nafanyiwa manikyua, pedikyua, masaji na shevingi ya pubiki hea....

Nikitoka hapo raahaaaa ndani ya rohooo,kwatuuuu.

K' Matata.
 
jino kwa jino
huru kwa uhuru
jicho kwa jicho

amani ipo katika kulipa kiasi
 
Nikiwa na hasira aisee lazima nimmwagie povu aliyenikasirisha, kama sina ubavu wa kummwagia povu naishia tu kulia.
[emoji4] napenda sana mwanamke aliyekasirika akawa ananiongelesha kwa hasira(povu) kiukweli hatamaliza kuongea atakuta nishazamisha.
Yaani huwa mnakuwa sexy mkichukia..
 
[emoji4] napenda sana mwanamke aliyekasirika akawa ananiongelesha kwa hasira(povu) kiukweli hatamaliza kuongea atakuta nishazamisha.
Yaani huwa mnakuwa sexy mkichukia..
Loh unazamishaje kwa mfano
 
Nikiwa na hasira hua nakunywa maji mengi sana, inanisaidia kushusha ile temper kisha natoka eneo nililopatia hasira na kama ni baby mama ndio kanikasirisha nitatoka nikirudi anapigwa shoo ya kibabe mpaka anaomba samahani za kila aina.

Baada ya hapo tunalala fofofo.
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…