Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Ahhaha
Lakin mara nyingi nikiongea na babe ananituliza na kunifariji
Inasaidia sanaa
Na kama yeye ndo amekukasirisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahhaha
Lakin mara nyingi nikiongea na babe ananituliza na kunifariji
Inasaidia sanaa
Hata kama ni mtoto/m/mke mwenzio??Au wewe ugomvi huwezi kwa kila mtu bibie..Nalia hadi nilale maana ugomvi siuwezi.
Jamani[emoji3] [emoji3]Mimi nikiwaga na hasira huwa nakunywa sumu ama kujinyonga na siku moja niliwahi kujipiga risasi kisha nikajichoma mkuki nikafa!
You're intelligent. Binafsi huwa nafanya natoka naenda sehemu ya wazi especially uwanjani ku-drill taichi na kufanya yoga. Hii hata nikiwa na mawazo mengi na vitu vingi vya kufikiria na sijavipangilia katika mtiririko maalum huwa dawa ni meditation through taichi na yoga hapo huwa nakuwa safi kabisaa.Mimi huwa naenda kutembea su kukaa sehemu ambayo haina watu ili nitulize hasira kwa reasoning
HujamboJamani[emoji3] [emoji3]
Ndiyo maana mna lifespan kubwaNikiwa na hasira nalia zinaisha
[emoji4] napenda sana mwanamke aliyekasirika akawa ananiongelesha kwa hasira(povu) kiukweli hatamaliza kuongea atakuta nishazamisha.Nikiwa na hasira aisee lazima nimmwagie povu aliyenikasirisha, kama sina ubavu wa kummwagia povu naishia tu kulia.
Loh unazamishaje kwa mfano[emoji4] napenda sana mwanamke aliyekasirika akawa ananiongelesha kwa hasira(povu) kiukweli hatamaliza kuongea atakuta nishazamisha.
Yaani huwa mnakuwa sexy mkichukia..
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Nikiwa na hasira hua nakunywa maji mengi sana, inanisaidia kushusha ile temper kisha natoka eneo nililopatia hasira na kama ni baby mama ndio kanikasirisha nitatoka nikirudi anapigwa shoo ya kibabe mpaka anaomba samahani za kila aina.
Baada ya hapo tunalala fofofo.
siuwez kwa kila mtu japo anaenikosea mara nyingi huw ni mmja tu.Hata kama ni mtoto/m/mke mwenzio??Au wewe ugomvi huwezi kwa kila mtu bibie..
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]