Hua unatulizaje Hasira.??

mi naweza nikae ata miaka mitano bila kupata hasira ila siku nikija pata hasira lazima alienikasirisha apasuke vema na boya akijichanganya kuamlia lazima utembezewe chai
 

Eti show ya kibabe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naenda bafuni mampigia punyeto alieniudhi bila kujali jinsia yake thereafter nakua fresh.
 
Nani alikuambia nina mpango wa kukusirisha. Labda mwingine akufanyie hivyo.
Halafu jana hukulala nyumbani.....funguo umewacha wapi? Tuanzie hapo....
 
Halafu jana hukulala nyumbani.....funguo umewacha wapi? Tuanzie hapo....
Nililala bana...nilitoka mapema jogging nakuletea funguo usijali.

Haupatikani lkn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…