Huyu Mimi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 2,575
- 2,117
Naimba au kusikiliza nyimbo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naimba au kusikiliza nyimbo!
mi naweza nikae ata miaka mitano bila kupata hasira ila siku nikija pata hasira lazima alienikasirisha apasuke vema na boya akijichanganya kuamlia lazima utembezewe chaiHellow bosess;
leo saa tatu hii usiku kwa sababu zilizipo nje ya uwezo wangu kuna jambo lilinipa Hasira na kunikasirisha sana, nikajaribu kunyamaza ili zipungue nikaona haina matokeo ya haraka
Nikaa mau kuchukua ngua zangu chafu nikaenda kufua hasira nazo zikapungua sasa ivi fresh tu
Najikumbusha Now You See me 2 - MBC 2 hapa sina Hasira Hata chembe
Kama Hasira Ni hasara Hua unafanya nini kuepuka Hasira??
Nikiwa na hasira hua nakunywa maji mengi sana, inanisaidia kushusha ile temper kisha natoka eneo nililopatia hasira na kama ni baby mama ndio kanikasirisha nitatoka nikirudi anapigwa shoo ya kibabe mpaka anaomba samahani za kila aina.
Baada ya hapo tunalala fofofo.
Ningepata mke kama ww.Ugomvi utakua msamiati.siuwez kwa kila mtu japo anaenikosea mara nyingi huw ni mmja tu.
Hahahah mungu atakupa wa kufanana nawew usjali mkuu.Ningepata mke kama ww.Ugomvi utakua msamiati.
Kwani Jimbo lina mbunge tayari mkuu?Hahahah mungu atakupa wa kufanana nawew usjali mkuu.
Hahahah lol...[emoji4][emoji4]Kwani Jimbo lina mbunge tayari mkuu?
Nataka nikachukue fomu mkuu.Hebu niondolee wasiwasiHahahah lol...[emoji4][emoji4]
Nishakuwekea n fomu ya kujiunga mkuu fany chap ujisajili.Nataka nikachukue fomu mkuu.Hebu niondolee wasiwasi
[emoji486][emoji1633]
Hahaha.[emoji486][emoji1633]
Hahaha.
Hope limekuisha hilo tatizo.
Uwe unaishia kujishika kichwa na kutikisa mikono huko utajiunguza.Bado nalifanyia kazi....[emoji6][emoji6][emoji6]
Nimeshindwa kukuelewa...njoo unionyesheUwe unaishia kujishika kichwa na kutikisa mikono huko utajiunguza.
Kazi kwako.Nimeshindwa kukuelewa...njoo unionyeshe
Teh nasubiria siku ya tukioKazi kwako.View attachment 1194728
Nani alikuambia nina mpango wa kukusirisha. Labda mwingine akufanyie hivyo.Teh nasubiria siku ya tukio
Halafu jana hukulala nyumbani.....funguo umewacha wapi? Tuanzie hapo....Nani alikuambia nina mpango wa kukusirisha. Labda mwingine akufanyie hivyo.
Nililala bana...nilitoka mapema jogging nakuletea funguo usijali.Halafu jana hukulala nyumbani.....funguo umewacha wapi? Tuanzie hapo....