Hua unatulizaje Hasira.??

[emoji23][emoji23]
 
Poleni na uchovu wanajf, nisiwachoshe, Leo niko na hasira plus maumivu makali asa hizi hasira zina no drive vibaya

Nipeni mbinu ambazo huwa mnazitumia kumaliza hasira zenu, maana mi chochote kinaweza tokea

Apa nimepanga niwaite niwawekee kikao niwachane waache ushamba maqumer hawa
 
Fanya hivyo mkuu waite uwachani ikibidi wachape makofi kabisa
Kwa lolote unalopitia mkuu Mungu akufanyie wepesi
 
Fanya hivyo mkuu waite uwachani ikibidi wachape makofi kabisa
Kwa lolote unalopitia mkuu Mungu akufanyie wepesi
Makofi ntajitahidi nisiwachape ila nawapa maneno makali sana, na ataejichanganya kubisha kaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ