Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,818
J2 usiseme urongo😐😐😐Nililala bana...nilitoka mapema jogging nakuletea funguo usijali.
Haupatikani lkn.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
J2 usiseme urongo😐😐😐Nililala bana...nilitoka mapema jogging nakuletea funguo usijali.
Haupatikani lkn.
[emoji23][emoji23]Nikiwa na hasira hua nakunywa maji mengi sana, inanisaidia kushusha ile temper kisha natoka eneo nililopatia hasira na kama ni baby mama ndio kanikasirisha nitatoka nikirudi anapigwa shoo ya kibabe mpaka anaomba samahani za kila aina.
Baada ya hapo tunalala fofofo.
[emoji2][emoji2] yaani kweli B unatafuta namna ya kushika kichwa na kutingisha mikono!!J2 usiseme urongo[emoji52][emoji52][emoji52]
Uje napika...nimeshindwa kushika kichwa[emoji2][emoji2] yaani kweli B unatafuta namna ya kushika kichwa na kutingisha mikono!!
Acha nije nikusaidie kukishika.Uje napika...nimeshindwa kushika kichwa
[emoji893][emoji893][emoji893][emoji893][emoji893][emoji893]Acha nije nikusaidie kukishika.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji893][emoji893][emoji893][emoji893][emoji893][emoji893]
Makofi ntajitahidi nisiwachape ila nawapa maneno makali sana, na ataejichanganya kubisha kaishaFanya hivyo mkuu waite uwachani ikibidi wachape makofi kabisa
Kwa lolote unalopitia mkuu Mungu akufanyie wepesi
Mi hapa nilipo nimelala ila bado hasira hazipungui aseenakunywa maji na kulala.
Wote wake za watu mzeeWakusanye wote kwa pamoja uwaambie hapo kuna wifi yenu halafu utoke nduki
Ata matacoren kwako zinaweza zikakaa ukiyatanua vizuriHasira hukaa kifuani pa mpumbavu
Jina lako tu, user ID inajieleza kinachokusumbua.Ata matacoren kwako zinaweza zikakaa ukiyatanua vizuri