Hua unatulizaje Hasira.??

Hua unatulizaje Hasira.??

Nikiwa na hasira hua nakunywa maji mengi sana, inanisaidia kushusha ile temper kisha natoka eneo nililopatia hasira na kama ni baby mama ndio kanikasirisha nitatoka nikirudi anapigwa shoo ya kibabe mpaka anaomba samahani za kila aina.

Baada ya hapo tunalala fofofo.
[emoji23][emoji23]
 
Poleni na uchovu wanajf, nisiwachoshe, Leo niko na hasira plus maumivu makali asa hizi hasira zina no drive vibaya

Nipeni mbinu ambazo huwa mnazitumia kumaliza hasira zenu, maana mi chochote kinaweza tokea

Apa nimepanga niwaite niwawekee kikao niwachane waache ushamba maqumer hawa
 
Fanya hivyo mkuu waite uwachani ikibidi wachape makofi kabisa
Kwa lolote unalopitia mkuu Mungu akufanyie wepesi
 
Back
Top Bottom