Hua unatulizaje Hasira.??

Hua unatulizaje Hasira.??

Mimi silaha yangu kubwa ni kumpotezea kbs mtu tena especially wale ambao wanakufanyia kitu hujapendezewa nacho halafu kesho yake anakuja kama hamna tatizo vile na kujiongelesha.

If i ignore u ndio imetoka.
 
Mimi huwa nakuja juu kweli kweli,halafu naondoka natembea tembea mitaani nikirudi hasira zimeisha.Nilichikigundua unapokasirika yule aliekukasirisha ni vizuri akakaa kimya lakini kama amekukasirisha halafu anakuja juu hapa ndipo wengi wanaishia kupigwa...
 
Back
Top Bottom