Hua unatulizaje Hasira.??

Hua unatulizaje Hasira.??

nakunywaga tungi tena si la kitoto nikurud hme nalala hasira zinaisha
 
mqmqkoo ananikatikiamiuno feni
Baba ako ananiambia katika mabinti zake wewe unaongoza kwa mauno so sioni shida wanawake wawili mkijifungia na kukatiana viuno. Ati baba ako anataka nimuite Aisha, hilo jina litampendeza?
 
Kukasirika kunakusogeza karibu na mauti. Nilivyogundua hili nimejitahidi sana nisikasirike, zamani ilikua kila nikikasirika naende kupiga gita.

Nilipohama eneo jingine sikukuta gita hivyo siku hizi nikikasirika hua napanda mnazi kwa mkono mmoja na hasira zinakata
'napanda mnazi kwa mkono mmoja na hasira zinakata'=Kupiga puleeeeeee
 
mfano hauna mavi SASA?[emoji23]
Hahaha nakojoa

Natania Bana..zamani uko nikishikwa na hasira naweza haribu chochote kilichombele yangu alafu baada ya hapo nalia Sana au nisiongee kabisa na huyo alienikasirisha

Siku hizi nikishikwa na hasira naukiri mstari wa muhubiri 7:9
 
Huwa nachukua miswaki ya wote wanaponiudhi na kwenda kusugulia sinki la choo hapo hasira zangu huwa zimekwisha kabisa. Na kama ni jirani ndio kaniudhi, Nachukua kinyesi namrushia kupitia dirishani kwake
Na kama mtu akiniudhi njiani Nikimshika tako tu hasira zangu huwa zinapoa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetisha
 
Ahhaha
Lakin mara nyingi nikiongea na babe ananituliza na kunifariji
Inasaidia sanaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji7]Bebe anakutuliza[emoji3526][emoji7].
Mi nikipandwa na hasira Ni Bora nilale maana kila atakaeniongelesha naona km ananichosha.
Kuepusha kumjibu mtu vibaya Ni Bora nikae mwenyewe sehemu tulivu.
Siku hizi nimekua, Mambo ya kurudishia kujibu mtu nishayaacha.
 
Huwa nafanya kazi ya kuwekeza akili

Naweza nikapangua nguo nikapanga moja moja
Naweza nikaanza kufua

Naweza nikapangua vyombo nikapanga

Naweza nikameditate

Ama naweza nikalia ama nikacheka
 
Back
Top Bottom