Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Shida ya hizi series za Bongo unakuta huyo mtunzi hajui hata mwisho wa series yake.
Siku atakavyoamka na upepo atakaouona ndio anatunga mwendelezo.
Kimasihara hivi hivi unaweza kuta hizi tamthiliya zinagonga 2024 au hata 2030 huko, Wakati ilitakiwa ziishe muda mrefu sana hapo nyuma.
Mfano hiyo Huba ndio vituko vituko sijui ilianzaga mwaka gani.
Mfano mdogo tu.
Jamaa anasukuma eti Range halafu anapeleka proposal ya biashara Kwa unyenyekevu Kwa jamaa mwenye kipub uchwala anatembelea Bajaj anaetaka kutimuliwa kwenye nyumba na kaenda kukopa mkopo na kukataliwa.
Jua kali walianza vizuri tu lakini Mtunzi anairefusha bila sababu za msingi ilitakiwa iishe Muda mrefu saaana.